mmmhAlafu huyo anayetoa maelekezo kwa ndani amepiga t-shirt ya ccm na polis wanatii bila hiyana.
Mama anaupiga mwingi.Tulieni hapo hapo.
Huyo mama anapiga kazi gani mkuu?.Mwacheni mama apige kazi bana chadema hata hawajui wanataka nn
Awamu hili ndio mbaya zaidi tena?.….Du! 😳 😳Tena awamu hii ni mbaya zaidi sijui hata itakuaje
UTEKAJI umeanza tena🙄Vyombo vya habari vya nchi wanaoisaidia Tanzania tayari vimeanza kutumulika.
Kufuatia Polisi mkoani Mwanza kuwazuia wana CHADEMA kufanya kongamano lao la kudai katiba mpya.
Wahenga walisema kuwa hata mbuyu ulianza mdogo kama mchicha na sasa ndiyo naona wana CCM na viongozi wao wameanza kunyunyizia maji hako kambuyu ili kakue haraka.
Hii picha chini ni moja ya picha iliyo chorwa na msanii wa DW inayoonyesha madhaifu ya Serikali ya CCM.
View attachment 1862128
Mmeanza ya kina kabendela,Vyombo vya habari vya nchi wanaoisaidia Tanzania tayari vimeanza kutumulika.