Tanzania yaanza kumulikwa vibaya na Mataifa Wafadhili

Mmeanza ya kina kabendela,
Mnaandika vitaarifa vyenu huko kisha mnasema ni mataifa yanamulika.
Hamtaisha kuchawia mnakolala kisha mnamtafuta mchawi huku ni nyie wenyewe.
Hayo mataifa yenu yana shida gani na katiba yenu.
Hilo povu lako kafulie boxer lako
 
Dictator mwanamke !!!!wazungu watakutoa ..Tena Muislamu ref Ghadafi msiseme hatukuwaambia[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe yote haya tatizo ni Uislamu wake? Hata Magufuli mlimsema hivi leo mnamkumbuka.
 
Ila tukiacha utani, Mbowe ni mwanasiasa wa upinzani wa ukweli, anayepigania mabadiliko!

Hebu tujiulize, hivi kama angekuwa anapigania tumbo lake, kweli angekubali heka heka zote hizi? Kwa sababu kuendesha siasa za upinanzi TZ unaweza hata kuuawawa kabisa!

Hata kama anatumiwa na mabeberu, je mtu mwingine anaweza kukubali shuruba zote hizi?

Pamoja na madhaifu yake, ila mbowe kajitolea maisha yake kwakweli. Mwingine hawezi.

Mwingine utamsikia mimi siwezi hizo siasa za upinzani kwa sababu nina familia! SNi kwa sababu siyo hulka yako! Kwani Mbowe hana familia? Mbowe ni hulka yake!

Kuna aina za watu!

Mbowe yeye ni mwanamageuzi wa kweli, anapigania mabadiliko, kitu ambacho kimo damuni. Ninaamini, mabadiliko yakitokea, Mbowe hawezi hata kugombea urais na akawaachia mwingine
 
Bavicha wameamua kujifariji.
 
Imeanza kumulikwa?
Nilijua inaendelea kumulikwa?
 
Huyu dikteta ndiyo anataka hivi
 
Mmeanza ya kina kabendela,
Mnaandika vitaarifa vyenu huko kisha mnasema ni mataifa yanamulika.
Hamtaisha kuchawia mnakolala kisha mnamtafuta mchawi huku ni nyie wenyewe.
Hayo mataifa yenu yana shida gani na katiba yenu.
Mtapona kichaa hata corona mlisema hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…