Tanzania Yachomoa Kusaini Mkataba wa EPA

Wakenya ni wapuuzi tuuu.
Mnatakiwa mjiulize wale Black Americans na wale South Africa people wenye Asili ya kiafrika. Kwa nn wanakuwa masikini na wazungu wanapeta sio mnakuwa mnawashobokea wazungu, nyinyi Wakenya amna uwezo wa kupeleka bidhaa soko la ulaya. Kama chakula mnategemea kutoka Tanzania
Mnaishi kwa kutegemea soko la kuuza sabuni apa Tanzania amna uwezo wa kuuza bidhaa yoyote apo ulaya

Nyinyi Wakenya acheni upuuzi tumieni akili kufikiria na sio mnatumia tumbo kufikiria
 
Kajifiche huko,
I respect tz leaders kwenye this agreement or whatever you call it, u kenyans mnapopelekwa na wazungu mnaenda tu kama mang'ombe.
At least we are showing u the way.
And besides hata tusiposign bado tutaacess EU market tax free as LDC.
Na kwa taarifa yako., mtapigwa saundi mixa kalenda mpaka miaka mi5 iishe, I hope unawajua wabongo, we r also good at that., especially kwa ving'ang'anizi kama nyie.
Deadline ilikuwa ni September 30, we made it to January 2017.
Boss huu mchezo hauhitaji hasira.
 
Ni dharau mtu kukufata akushawishi kitu usichokitaka huku akiamini kwa akili zake atakushawishi hadi ukubali.
Kama vile tunavyowashawishi kwamba kuwauwa albinos ni ujinga?


Tuseme uko na options mbili:
1. Uwe maskini na usilipe tax
2. Uwe tajiri na ulipe tax

Unataka kuniambia umechagua option 1?

Woi! Uko na ka-shida.
 
Kama vile tunavyowashawishi kwamba kuwauwa albinos ni ujinga?



Tuseme uko na options mbili:
1. Uwe maskini na usilipe tax
2. Uwe tajiri na ulipe tax

Unataka kuniambia umechagua option 1?

Woi! Uko na ka-shida.
Kama chakula chenyewe mmeshindwa kujilisha mtaweza compete with European countries
 
Kama chakula chenyewe mmeshindwa kujilisha mtaweza compete with European countries
EU hawatatuuzia bidhaa za ukulima...hio iko kwwnye dili, lakini vile wapuzi kama nyinyi mnapinga kwasababu ya uzembe na hata hamjui dili yenyewe iko vipi. umeshinda hapa ukitetea Tz kwa kukataa hio dili kumbe ata haujui dili yenyeww... nkt, ondoa aibu hapa, enda ukasome hio dili alafu ndo uje upinge kistaarabu
 
Haijalishi, let me tell you, hatutasain,hata hiyo January, believe me. Sisi sio wajinga kama nyinyi, and for point of your formation, tunajua hilo deal kuliko nyinyi na ndio maana hatutasain.
 
Watu wanaingiza porojo na ujuaji mwingi!!
Hakuna hata mmoja mwenye ushawishi,
Kuropoka tu.
 
The real threat to kenya's industrialisation is Ethiopia, and china.
 
Haijalishi, let me tell you, hatutasain,hata hiyo January, believe me. Sisi sio wajinga kama nyinyi, and for point of your formation, tunajua hilo deal kuliko nyinyi na ndio maana hatutasain.

Mtu husema "for your information".
 
Haijalishi, let me tell you, hatutasain,hata hiyo January, believe me. Sisi sio wajinga kama nyinyi, and for point of your formation, tunajua hilo deal kuliko nyinyi na ndio maana hatutasain.
mara unasema haijalishi mara unasema nyinyi ndo mnajua hio dili kutuliko....lipi ni lipi? alafu unasema believe me we mwenyewe hata hujui nini unapinga.... you are either a sheep or a sheep-dog...
 
Tz pia inafaa ijue EAC is at stake here. kataeni hio dili baada ya mazungumzo kwa miaka 14, eti bado you still analysing.... mjue mkikataa hio dili hapo ndo mwanzo wa mwisho wa EAC.... kenya ita loose interest kwa chochote chengine, if you wont sacrifies for single customes, we also wont sacrifice our currency, we wont sacrifice our education systome just for the sake of harmonisation... thats it, mkikataa hio dili this is the furthest EAC itaenda, itabaki kua jina tu. diplomacy is about negiciation, and negociating is about give and take and compromises... tanzania did not ask for anything that the rest were supposed to compromise, tanzania just balantly refused to sign even after agreeing inthe discussion, you havent given a specific reason, you just refused everything, after taking for 14 years and finally, your negitiators agreed, alafu later you change your minds and refuse everything in enterity
 
What are we getting from you anyway!!!
 
Nahatusaini tu nyie semeni yoyote.Kama EAC inavunjika kisa huo mkataba uchwara ivunjike tu.Tz tutaendelea kusimamia msimamo wetu kwa maslai ya taifa letu.Ova
 
Watanzania tusiwe watu wakuogopaogopa.

Tunahofu sana manufacturing sector haitoweza shindana sasa lini tutaweza? Lini tutakuwa tayari tumeshaandaa watu wetu kushindana?

Mbona hiko kipindi cha almost 14 year ni muda mrefu sana?

Tutawezaje ku-improve kama hatutojaribu vitu vipya? Hatujui time inaendaa? Aaargh.....

Hapa Arusha vijana tunataka iyo nafasi tuanze kuuzaa bidhaa zetu za sanaa na mambo mengine mob....tukipata hii chance tutajua mambo mob sio kuopoa na kuchelewesha mambo.
 

Ficha ujuhawako wewe!!
Imekuwaje ikafikiwa kauli moja ya kusitisha kuweka saini?
Kama mnaweza bila Tanzania kwanini mmeafiki kujiuliza upya!?

Lazima ujue kuna masuala yameibuka upya hapa karibuni ,
Hatuwezi kurupuka kirahisi hivyo.

Yameorodheshwa mambo muhimu yakujiuliza kwanza kwanini hamkuyajibu pale ili Turidhike nasi tusaini mpaka mka afiki kuongeza miezi 3 mbele!!!
Hii inaonyesha Kenya mli kurupuka hamna lolote.
 
Yes, that is reality.
 

Bruh, ata wasumbue aje, bado sisi ni mandugu. EAC haivunjikiki.
 
Bruh, ata wasumbue aje, bado sisi ni mandugu. EAC haivunjikiki.
EAC yenyewe kama organistion haitavunjika, lakini ile spirit ya EAC itakua imeisha..... my reasin ni hii... kwa hii inteegration ya EAC, kitu kikuu kabisa kwa sasa, au achievment kubwa zaidi inayolengwa ni ile kitu wanaita Single Customes Territory SCT ama Custome Union... hii ndo mkataba ambao ndo ni rahisi zaidi, ambapo tunaondoa vizuizi ili nchi za EAC ziwe zinaweza uziana bidhaa kana kwamba hakuna mipaka....
sasa Tanzania ikikataa ku sign, na kenya ibaki kulipa tax kwa EU, kuna vile itabidi tupige hesabu, siku zote tokea hio siku itakua hatujioni wamoja ikija kwa ku export bidhaa nje ya nchi zetu... who knows, pale tukianza kula loss na industry zetu za ovacado,maembe,maua, mboga,machungwa hapo ndo utaona vile tutakua desparate...... tukifika hapo utaniambia which kenyan will be feeling friendly with our neighbours down south
the only thing then, that will be keeping us in EAC will be because of trade, not because of the spirit of good neighbourliness and brotherhood,,,,, it wont be because its in our hearts that we have a destiny, it will just be to fill our pockets..... the dream will be lost
 
Tunaogopa nini mkuu? Kwa hiyo kutosaini EPA kumewazuia vipi vijana wa Arusha? Hiki sio kipindi cha akina Mangungo!!!!
 
Mkuu, ni kama vile umezaliwa juzi, tumeshaonja maumivu ya epa, we tried it and we suffered the consequence. Hatuwezi saini makubaliano haya ya kinyonyaji sababu tunataka kuuza vinyago ulaya ,
Be serious sometimes!
Halafu bila hata epa hivyo vinyago vinauzika ulaya tax free!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…