Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,723
- 7,408
Wakenya ni wapuuzi tuuu.Utakua huna uelewa nini kinaendelea hapa, hata mtupige kalenda ya miaka kumi, cha msingi tutaendelea kunufaika kwa kusingizia kwamba tunasubiri Tanzania wasaini. Kibaya ni mngegoma na kusimama kidete na kusema hamtosaini, hapo ingekula kwetu maana hatungekua na namna ila kuachia wazungu watutoze kodi nzito nzito maana nchi yetu haipo kwenye orodha ya mataifa maskini wa kutupwa.
Lakini kwa sasa muendelee na kalenda tu, poa.
Mnatakiwa mjiulize wale Black Americans na wale South Africa people wenye Asili ya kiafrika. Kwa nn wanakuwa masikini na wazungu wanapeta sio mnakuwa mnawashobokea wazungu, nyinyi Wakenya amna uwezo wa kupeleka bidhaa soko la ulaya. Kama chakula mnategemea kutoka Tanzania
Mnaishi kwa kutegemea soko la kuuza sabuni apa Tanzania amna uwezo wa kuuza bidhaa yoyote apo ulaya
Nyinyi Wakenya acheni upuuzi tumieni akili kufikiria na sio mnatumia tumbo kufikiria