victormztz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 1,111
- 614
Wakenya mkubali tu kwamba mlikurupuka kwenye hii issue,maana hata rwanda inaonekana mlimlaghai tu mpaka nayeye akajijuta ana saini kitu asichokijua.
Hata hili la kutoa tena miezi mitatu sio kwamba liliibuka tu ghafla,lilikuwa limeshapangwa baada ya kubaini kasoro.
hivi mnaelewa kupitia hili dudu, hata soko kubwa la bidhaa za kenya lilipo hapa tz litafutika kabisa?
Ni bidhaa ipi kutoka afrika inayoweza ku meet standards za hawa watu?au kwa sababu ya hako kamsemo ka middle income sijui ndio mnafikili mnaweza kupewa priority?
Population yetu EA kwa sasa inatosha kabisa kutoa soko la uhakika kwa bidhaa zetu lkn huko mnakotaka kutupeleka ni machokoani kabisa maana hata uchumi wa viwanda inabidi tusahau.