Tanzania yadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700. Yadhaniwa ni kwa matumizi ya Rais

Tanzania yadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700. Yadhaniwa ni kwa matumizi ya Rais

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
Tanzania inadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700, ambayo ni kwa matumizi ya serikali - bila shaka matumizi ya Rais.

Pichani ni aina ya ndege iliyonunuliwa. Hii ni ndege ilizinduliwa mwaka 2019, na ina uwezo wa kukimbia kwa zaidi ya 990km/hr, karibu sawa na spidi ya Boeing Dreamliner. Kama ndege ya rais (customized), gharama yake inaweza kuwa dola za Marekani milioni mia moja ($100m)

Hizi ni baadhi ya facts kuhusu Gulfstream G700
  • Kuiboresha kwa matumizi maalum, mfano kuwa ndege ya Raisi - gharama kuanzia $5–$20 milion juu ya bei ya ndege ya $80 million.
  • Umbali wa kuruka bila kuongeza mafuta ni 7,500 nautical miles (13,890 km), yaani inaweza kwenda nchi yeyote duniani toka Dar bila kutua
  • Wastani wa gharama za uendeshaji ni $3,000 - $4,000 kwa saa, kutia ndani mafuta, service, mishahara ya pilots na wahudumu
  • Speed ya Gulfstream G700 inafikia 993km/hr (spidi ya Dreamliner ni zaidi kidogo ya 1000km/hr)
  • Ina uwezo wa kubeba abiria 19
====
1735846502452.png


Tanzania took delivery of a brand-new government aircraft, a G700, ch-aviation research revealed. The transaction is part of the VIP transport fleet renewal plans announced earlier this year.

The ultra-long-range Gulfstream Aerospace jet, 5H-ONE (msn 87015) was at Appleton Outgamie County Regional from August 8, 2024, after a flight from Savannah International. It was then ferried to Dar es Salaam, via Casablanca Mohamed V, between December 21 and 22, and has not yet entered service following its arrival.

In February 2024, Tanzania’s Parliamentary Committee on Administration, Constitution and Law identified three aircraft used by officials. These included a 20.3-year-old G550, 5H-ONF (msn 5030), previously registered as 5H-ONE, intended to serve the president. The aircraft was ferried back from Dar es Salaam to Savannah between November 28 and December 1. The other two aircraft are a F50, serving other officials, and a F28-3000, which is currently stored at Dar es Salaam.

While both the G550 and the F50 are owned by the Ministry of Communications and Transport, the G550 is also operated by that institution, whereas the F50 is operated by TGF - Tanzania Government Flight. It is currently unclear which entity will operate the new G700.

This delivery may not mark the end of the VIP fleet renewal, as Tanzania's Ministry of Finance announced in the 2024/2025 national budget an interim payment to Boeing for a B737-700(BBJ), while De Havilland Aircraft of Canada revealed in July that TGF - Tanzania Government Flight had acquired a used DHC-8-Q400.

CHANZO: Tanzania takes delivery of new government Gulfstream G700
 
Tanzania imenunua ndege mpya ya Gulfstream G700, ambayo ni kwa matumizi ya serikali - bila shaka matumizi ya raisi. Pichani ni aina ya ndege iliyonunuliwa. Hii ni ndege ilizinduliwa mwaka 2019, na ina uwezo wa kukimbia kwa zaidi ya 990km/hr, karibu sawa na spidi ya Boeing Dreamliner. Kama ndege ya raisi (customized), gharama yake inaweza kuwa dola za Marekani milioni mia moja ($100m)

Hizi ni baadhi ya facts kuhusu Gulfstream G700
  • Kuiboresha kwa matumizi maalum, mfno kuwa ndege ya Raisi - gharama kuanzia $5–$20 milion juu ya bei ya ndege ya $80 million.
  • Umbali wa kuruka bila kuongeza mafuta ni 7,500 nautical miles (13,890 km), yaani inaweza kwenda nchi yeyote duniani toka Dar bila kutua
  • Wastani wa gharama za uendeshaji ni $3,000 - $4,000 kwa saa, kutia ndani mafuta, service, mishahara ya pilots na wahudumu
  • Speed ya Gulfstream G700 inafikia 993km/hr (spidi ya Dreamliner ni zaidi kidogo ya 1000km/hr)
  • Ina uwezo wa kubeba abiria 19
View attachment 3190964
Wamnunulie hata yatch na kumjengea mahekalu kila mkoa kama mwenzake Saddama Husseina. Hili ndilo tatizo la watu wansiona mbali zaidi ya matumbo na maslahi yao binafsi. Wanajizungushia wapigaji kama Nchembaa unategemea nini hapa. Wakisifiwa wanalewa chakari hadi wanachakazwa na wapigaji. Mwe! Kweli mwendazake alijua kututenda.
 
Kwani huo uzi una shida gani? Mbona wa kawaida kabisa?
Nadhani walifikiri nimetunga kichwani hasaukizingatia nimesema ndege ya raisi ya $100m na wastani wa gharama ya $3000-$4000 kila siku. Labda kuna kigogo wa CCM hakupenda hii thread kawashinikiza
 
Natumaini mtairududisha na mmeutoa kwa ajili ya maboresho. Au tatizo ni kusema ndege hii imecost karibu $100m na gharama za uendeshaji zitakuwa kama $3000 - $4000 kwa saa, na kwamba ni likely itatumiwa na raisi?
Kwamba pesa ya kujenga flyover 3 imeyeyukia hapo?! ,, My Gosh!
 
Wale wataalamu wa Utawala bora na sheria, wahoji kwa sauti kubwa tu kuwa, mzigo wa kuchukua mwewe huyo uliidhinishwa lini na nani?

Kama kweli kuna huo uhuru wa Habari, mnona hakuna chombo chochote chenye taarifa hiyo, achilia mbali jambo kuwa la siri kwa wananchi?

Mwisho, isije kuwa ni kwaajili ya mtukufu chizimkazi kwao mixer watumwa kulipia maisha yao yote madeni!
 
100 milion dollars na bei halisi nasikia hata 50 milion dollars wanachukua hii nchi ukiwa na akili inakuwa raha sana .
 
Natumaini mtairududisha na mmeutoa kwa ajili ya maboresho. Au tatizo ni kusema ndege hii imecost karibu $100m na gharama za uendeshaji zitakuwa kama $3000 - $4000 kwa saa, na kwamba ni likely itatumiwa na raisi?
Labda kwa sababu umeandikwa kwa lugha tusiyoielewa, walikuwa bado wanatafuta tafsiri google wewe ukadhani wameutoa.

Wasomaji ndio sisi, kwanini mnatuwekea nyuzi kwa lugha ngeni na ngumu?

Tafadhali muwe mnatafsiri hata kwa uongo uongo sisi watanganyika huwa tunaelewa hivyo hivyo.

Walisema ndege bado zitaendelea kuletwa nyingi tu, Pesa zipo.

Hukuona Ma trilioni yanayokusanywa na TRA kwa miezi mitatu? Tutayafanyia nini sasa kama hatutatafuta vitu vinavyohitaji matumizi mazuri ya pesa?

Walisema Treni za mchongoko na ndege zitaendelea kuletwa hadi tuvizoee, tatizo nini sasa watanganyika wenzangu?

Na yule mwanamuziki anaitwa Diamond naye alisema yake inatengenezwa muda si mrefu italetwa, tutazoea tu.
 
Back
Top Bottom