Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Mishahara ya waaalimuuu imepandaahh Sisiemuu hoyeeee!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HongereniMishahara ya waaalimuuu imepandaahh Sisiemuu hoyeeee!!!!
Nikiingia Madarakani kada ya ualimu nitaipa kipaumbele cha pekee. Sitaongeza mishahara lakini nitawafanya walimu wasijutie kuwa walimu maisha Yao yote.Mishahara ya waaalimuuu imepandaahh Sisiemuu hoyeeee!!!!
Boeing 737-800Nasikia zinakuja 2, hii na nyingine
Nahisi KIMYA KIMYA Jay Moe feat NgwairTunaenda kuipokea airport lini ?
Jf ina maneno hii, mi nashnda bila stress isee!Wale wataalamu wa Utawala bora na sheria, wahoji kwa sauti kubwa tu kuwa, mzigo wa kuchukua mwewe huyo uliidhinishwa lini na nani?
Kama kweli kuna huo uhuru wa Habari, mnona hakuna chombo chochote chenye taarifa hiyo, achilia mbali jambo kuwa la siri kwa wananchi?
Mwisho, isije kuwa ni kwaajili ya mtukufu chizimkazi kwao mixer watumwa kulipia maisha yao yote madeni!
..at least mshukuru hiyo ndege imekuwa delivered i.e si hewaKulikuwa na haja gani? Madili tu ya watu hapo wamepiga pesa.
Nishukuru ufujaji?..at least mshukuru hiyo ndege imekuwa delivered i.e si hewa
Halafu ni juzi tu nimetoka kufanyiwa assessment ya kodi ya mwaka huu. Kwa ufujaji huu wa kufanya maendeleo ya kujaza tumbo...Nitaanza kulipa kodi mwezi wa tatu.Wao wamenunua ndege Sisi. Wanatunywesha ujiView attachment 3225605
lipa tu ndugu yanguHalafu ni juzi tu nimetoka kufanyiwa assessment ya kodi ya mwaka huu. Kwa ufujaji huu wa kufanya maendeleo ya kujaza tumbo...Nitaanza kulipa kodi mwezi wa tatu.
Usikute ni ya mtoto wa Rais yule kibaka aishiye Dubai kwa wajomba zake.Tanzania inadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700, ambayo ni kwa matumizi ya serikali - bila shaka matumizi ya Rais.
Pichani ni aina ya ndege iliyonunuliwa. Hii ni ndege ilizinduliwa mwaka 2019, na ina uwezo wa kukimbia kwa zaidi ya 990km/hr, karibu sawa na spidi ya Boeing Dreamliner. Kama ndege ya rais (customized), gharama yake inaweza kuwa dola za Marekani milioni mia moja ($100m)
Hizi ni baadhi ya facts kuhusu Gulfstream G700
====
- Kuiboresha kwa matumizi maalum, mfano kuwa ndege ya Raisi - gharama kuanzia $5–$20 milion juu ya bei ya ndege ya $80 million.
- Umbali wa kuruka bila kuongeza mafuta ni 7,500 nautical miles (13,890 km), yaani inaweza kwenda nchi yeyote duniani toka Dar bila kutua
- Wastani wa gharama za uendeshaji ni $3,000 - $4,000 kwa saa, kutia ndani mafuta, service, mishahara ya pilots na wahudumu
- Speed ya Gulfstream G700 inafikia 993km/hr (spidi ya Dreamliner ni zaidi kidogo ya 1000km/hr)
- Ina uwezo wa kubeba abiria 19
View attachment 3190964
Tanzania took delivery of a brand-new government aircraft, a G700, ch-aviation research revealed. The transaction is part of the VIP transport fleet renewal plans announced earlier this year.
The ultra-long-range Gulfstream Aerospace jet, 5H-ONE (msn 87015) was at Appleton Outgamie County Regional from August 8, 2024, after a flight from Savannah International. It was then ferried to Dar es Salaam, via Casablanca Mohamed V, between December 21 and 22, and has not yet entered service following its arrival.
In February 2024, Tanzania’s Parliamentary Committee on Administration, Constitution and Law identified three aircraft used by officials. These included a 20.3-year-old G550, 5H-ONF (msn 5030), previously registered as 5H-ONE, intended to serve the president. The aircraft was ferried back from Dar es Salaam to Savannah between November 28 and December 1. The other two aircraft are a F50, serving other officials, and a F28-3000, which is currently stored at Dar es Salaam.
While both the G550 and the F50 are owned by the Ministry of Communications and Transport, the G550 is also operated by that institution, whereas the F50 is operated by TGF - Tanzania Government Flight. It is currently unclear which entity will operate the new G700.
This delivery may not mark the end of the VIP fleet renewal, as Tanzania's Ministry of Finance announced in the 2024/2025 national budget an interim payment to Boeing for a B737-700(BBJ), while De Havilland Aircraft of Canada revealed in July that TGF - Tanzania Government Flight had acquired a used DHC-8-Q400.
CHANZO: Tanzania takes delivery of new government Gulfstream G700