Tanzania yadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700. Yadhaniwa ni kwa matumizi ya Rais

Tanzania yadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700. Yadhaniwa ni kwa matumizi ya Rais

Itafanya tripu nne chap! TRA itatafuta jinsi ya kufidia hasara kwa mama.
Raisi akisafiri anaondoka na watu wake hana muda wa kusubiri.

Gulf stream is not practice wanahitaji ndege zilizotengenezwa kwa masafa mafupi na marefu kwa sasa na zenye uwezo wa kubeba msururu wa watu anaosafiri nao.

Ndege ambayo inaweza enda Dar-Dodoma bila ya kuchosha engine na wakiamka wakisema Australia inaruka bila ya shida.

Gulf Stream can do that, Iła aiwezi beba msafara wa raisi.

Value for money ni kununua ndege ya maana sasa na kuacha kuharibu ratiba za ATCL.
 
Raisi akitua anaondoka na watu wake hana muda wa kusubiri.

Gulf stream is not practicle wanahitaji ndege zilizotengenezwa kwa masafa mafupi na marefu kwa sasa.

Kama Dar-Dodoma inaenda bila ya kuchosha engine na wakiamka wakisema Australia inaruka bila ya shida.

Gulf Stream can do that, Iła aiwezi beba msafara wa raisi.

Value for money ni kununua ndege ya maana sasa na kuacha kuharibu ratiba za ATCL.
Hela za mama wewe hazikuhusu, acha tutengeneze machawa wengi kwa ajili ya uchaguzi.
 
Mimi nimeomba heka 20 nilime mpaka leo waziri wa kilimo hajajubu email yangu.
 
Tanzania inadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700, ambayo ni kwa matumizi ya serikali - bila shaka matumizi ya Rais.

Pichani ni aina ya ndege iliyonunuliwa. Hii ni ndege ilizinduliwa mwaka 2019, na ina uwezo wa kukimbia kwa zaidi ya 990km/hr, karibu sawa na spidi ya Boeing Dreamliner. Kama ndege ya rais (customized), gharama yake inaweza kuwa dola za Marekani milioni mia moja ($100m)

Hizi ni baadhi ya facts kuhusu Gulfstream G700
  • Kuiboresha kwa matumizi maalum, mfano kuwa ndege ya Raisi - gharama kuanzia $5–$20 milion juu ya bei ya ndege ya $80 million.
  • Umbali wa kuruka bila kuongeza mafuta ni 7,500 nautical miles (13,890 km), yaani inaweza kwenda nchi yeyote duniani toka Dar bila kutua
  • Wastani wa gharama za uendeshaji ni $3,000 - $4,000 kwa saa, kutia ndani mafuta, service, mishahara ya pilots na wahudumu
  • Speed ya Gulfstream G700 inafikia 993km/hr (spidi ya Dreamliner ni zaidi kidogo ya 1000km/hr)
  • Ina uwezo wa kubeba abiria 19
====

Tanzania took delivery of a brand-new government aircraft, a G700, ch-aviation research revealed. The transaction is part of the VIP transport fleet renewal plans announced earlier this year.

The ultra-long-range Gulfstream Aerospace jet, 5H-ONE (msn 87015) was at Appleton Outgamie County Regional from August 8, 2024, after a flight from Savannah International. It was then ferried to Dar es Salaam, via Casablanca Mohamed V, between December 21 and 22, and has not yet entered service following its arrival.

In February 2024, Tanzania’s Parliamentary Committee on Administration, Constitution and Law identified three aircraft used by officials. These included a 20.3-year-old G550, 5H-ONF (msn 5030), previously registered as 5H-ONE, intended to serve the president. The aircraft was ferried back from Dar es Salaam to Savannah between November 28 and December 1. The other two aircraft are a F50, serving other officials, and a F28-3000, which is currently stored at Dar es Salaam.

source: ch-aviation
View attachment 3190964
Hapo kwenye idadi ya abiria. Kwahiyo itabidi aendelee kusafiri na ndege 2 ili kubeba ile crue yake yote?
 
Labda kwa sababu umeandikwa kwa lugha tusiyoielewa, walikuwa bado wanatafuta tafsiri google wewe ukadhani wameutoa.

Wasomaji ndio sisi, kwanini mnatuwekea nyuzi kwa lugha ngeni na ngumu?

Tafadhali muwe mnatafsiri hata kwa uongo uongo sisi watanganyika huwa tunaelewa hivyo hivyo.

Walisema ndege bado zitaendelea kuletwa nyingi tu, Pesa zipo.

Hukuona Ma trilioni yanayokusanywa na TRA kwa miezi mitatu? Tutayafanyia nini sasa kama hatutatafuta vitu vinavyohitaji matumizi mazuri ya pesa?

Walisema Treni za mchongoko na ndege zitaendelea kuletwa hadi tuvizoee, tatizo nini sasa watanganyika wenzangu?

Na yule mwanamuziki anaitwa Diamond naye alisema yake inatengenezwa muda si mrefu italetwa, tutazoea tu.
Hapana niliandika Kiswahili. Si unaona wameurudisha baada ya ku-appeal
 
Ndiyo maana naendelea kuwakumbusha ndugu zangu Watanganyika! Mkipata mianya wa kukwepa kodi, nyinyi kwepeni tu.
Si mnaona wenyewe matumizi ya kodi zenu?
 
Ndiyo maana naendelea kuwakumbusha ndugu zangu Watanganyika! Ukipata mwanya wa kukwepa kodi, wewe kwepa tu.

Si unaona matumizi ya kodi yako? Wewe unahangaika kutafuta juani, wenzako wanakula kivulini na pia kuishi maisha ya peponi kupitia hiyo kodi yako.
Mmmh, hii kali sana. Niliwahi kusema humu JF 60% ya matajiri wa Tanzania ni wanasiasa au walikuwa wanasiasa na viongozi wa mashirika na taasisi za serikali, sio wafanyabiashara
 
Back
Top Bottom