Tanzania yadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700. Yadhaniwa ni kwa matumizi ya Rais

Itafanya tripu nne chap! TRA itatafuta jinsi ya kufidia hasara kwa mama.
Raisi akisafiri anaondoka na watu wake hana muda wa kusubiri.

Gulf stream is not practice wanahitaji ndege zilizotengenezwa kwa masafa mafupi na marefu kwa sasa na zenye uwezo wa kubeba msururu wa watu anaosafiri nao.

Ndege ambayo inaweza enda Dar-Dodoma bila ya kuchosha engine na wakiamka wakisema Australia inaruka bila ya shida.

Gulf Stream can do that, Iła aiwezi beba msafara wa raisi.

Value for money ni kununua ndege ya maana sasa na kuacha kuharibu ratiba za ATCL.
 
Hela za mama wewe hazikuhusu, acha tutengeneze machawa wengi kwa ajili ya uchaguzi.
 
Kuna kipindi kama sio cha JK basi ni JPM bungeni walisema bora wananchi wale majani ila ndege ya Rais inunuliwe. Hii nchi ina viongozi wajinga sana

wakati wa Mkapa...
 
Mimi nimeomba heka 20 nilime mpaka leo waziri wa kilimo hajajubu email yangu.
 
Hapo kwenye idadi ya abiria. Kwahiyo itabidi aendelee kusafiri na ndege 2 ili kubeba ile crue yake yote?
 
Hapana niliandika Kiswahili. Si unaona wameurudisha baada ya ku-appeal
 
Ndiyo maana naendelea kuwakumbusha ndugu zangu Watanganyika! Mkipata mianya wa kukwepa kodi, nyinyi kwepeni tu.
Si mnaona wenyewe matumizi ya kodi zenu?
 
Mmmh, hii kali sana. Niliwahi kusema humu JF 60% ya matajiri wa Tanzania ni wanasiasa au walikuwa wanasiasa na viongozi wa mashirika na taasisi za serikali, sio wafanyabiashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…