Tanzania yadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700. Yadhaniwa ni kwa matumizi ya Rais

Jf ina maneno hii, mi nashnda bila stress isee!
 
Halafu ni juzi tu nimetoka kufanyiwa assessment ya kodi ya mwaka huu. Kwa ufujaji huu wa kufanya maendeleo ya kujaza tumbo...Nitaanza kulipa kodi mwezi wa tatu.
lipa tu ndugu yangu
 
Usikute ni ya mtoto wa Rais yule kibaka aishiye Dubai kwa wajomba zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…