Tanzania yafadhili mkutano wa Shirikisho la Soka baada CAF kukosa pesa

Tanzania yafadhili mkutano wa Shirikisho la Soka baada CAF kukosa pesa

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Kwa mara ya kwanza katika historia yake, Mkutano Mkuu wa CAF umefadhiliwa kikamilifu na Serikali ya Tanzania, jambo ambalo halijawahi kutokea hapo nyuma.

Taarifa zinasema Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imekosa fedha na iko kwenye hatari ya kufilisika kiasi cha kufikia kuomba serikali za Kiafrika kufadhili hafla zao.

1660052953812.png
 
Ngoja tusubiri ufafanuzi kutoka kwa msemaji.
 
sawa,, watoe mkeka wa CAF huko Misri tujue kinanani watalala na panadol usiku wa leo.
 
Back
Top Bottom