Kwa mara ya kwanza katika historia yake, Mkutano Mkuu wa CAF umefadhiliwa kikamilifu na Serikali ya Tanzania, jambo ambalo halijawahi kutokea hapo nyuma.
Taarifa zinasema Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imekosa fedha na iko kwenye hatari ya kufilisika kiasi cha kufikia kuomba serikali za Kiafrika kufadhili hafla zao.