Brussels, Belgium
Makao Makuu ya
Umoja wa Ulaya / EU
KOMBO ATUMWA BELGIUM KUOMBA WASIKILIZWE KUHUSU VIKWAZO, TANZANIA YAPIGA MAGOTI NA KUIANGUKIA MIGUUNI EU / UMOJA WA ULAYA, CHONDE CHONDE ... NYIE SIYO MABEBERU BALI NI WADAU WETU ...
View attachment 3539194
Picha : Waziri wa mambo ya nje Mahmoud Thabit Kombo, katika mkutano wake na Kamishna wa Ushirikiano wa kidau Jozef Sikela
Kufuatia ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na haki ya kuishi, EU mwaka jana iliweka kikwazo kwa kuzuia msaada wa
€156,000,000 kwa Tanzania na kukazia kikwazo hicho baada ya mauaji ya 29 Oktoba 2025 wakati na siku baada ya uchaguzi mkuu
Mkutano huo ulihudhuriwa pia na Kaja Kallas makamu wa rais wa EU masuala ya nje na sera za usalama pamoja Naibu spika wa bunge la ulaya Younous Omarjee.