Tanzania yaiangukia EU/ Umoja wa Ulaya ibadilishe msimamo wa kuinyima misaada

Nasema hivi, EU wakamatie hapo hapo! Wasisahau kirahisi rahisi kwamba juzi kati fazafaka wa Kizimkazi aliwauliza, โ€œWho are you?โ€ Eti hababaiki na fedha kidogo wanayotugea. Faki zati bichi.
 
Sasa jinga kama hilo linaenda kuomba msaada yaan kuna viongozi hata unaona aibu kua mtanzania ..Hawa wapuuzi imefika mahata tunaona tz km sio sehem salama
Usiwe na hofu mkuu; Tanzania itasimama tena kama nchi yenye heshima miongoni mwa mataifa.

Hatuwezi kuikatia tamaa Tanzania. Never.
 
Siku moja kabla ya kuongea na wazee nilishauri aandikiwe speech asitoe kichwani hakusikia akaropoka. Who are you.
Lakini jambo la kusikitikia zaidi ni hiyo hela yenyewe! Euro milioni 156; nchi kama hii inatuvunjia heshima kiasi hiki?

Kampuni kama Nvidia (AI) inaweza kutununua na kutufuga kabisa miaka kadhaa!.

Hii yote ni ukosefu wa uongozi wa nchi unaojuwa maendeleo maana yake ni nini.
 
Wazungu hawanaga shida na Tanzania shida iliyopo ni viongozi wetu kugeuza tume ya uchaguzi kuwa idara ya ccm, wakirekebisha wakirekebisha mambo ya kura ushirikiano utakuwepo na hela toka EU itapatoka. Kombo anaenda kubembeleza wazungu wakati akina mafwele huku bado wanawaingiza watu miti matakoni.
 
Fake news.... Tanzania ni tajiri

Brussels EC / Berlaymort

Visit of Mahmoud Thabit Kombo, Tanzanian Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, to the European Commission​

Jozef Sรญkela, European Commissioner for International Partnerships, receives Mahmoud Thabit Kombo, Tanzanian Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation.




 
Jozef Sikela na Mahmoud Thabit Kombo

 
Wengi walijaribu kumuingia kamishna, Jozef Sikela, kutengeneza ushawishi chanya baada ya uchafuzi wa uchaguzi wa TAMISEMI 2024 wa Mohamed Mchengerwa pamoja na utekaji pia upotezaji mzee Mohamed Kibao, Deo Soka, Mdude Nyagali na wakanogewa damu za raia, ukatili wakazidisha mauaji MO29, 2025

TOKA MAKTABA :
24 September 2025
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana mawazo na Mhe. Jozef Sikela, Kamishna wa Umoja wa Ulaya anayeshughuklikia Ushirikiano (Partnership) usiku kuamkia leo ambapo ameshiriki katika hafla ya โ€œGoalkeepersโ€ Jijini New York Marekani, iliyoandaliwa na Taasisi ya Bill Gates na kukutana na wadau mbalimbali

​

Jozef Sรญkela is the Commissioner for International Partnerships. He ensures that the EU builds long-term, mutually beneficial partnerships with its international partners for our prosperity, resilience and security.

He is responsible for:โ€ฏ

  • making the Global Gateway programme a trusted and quality brand throughout the world by accelerating the EUโ€™s offer to its partners, including on infrastructure investment, measuring its impact and building its global profile
  • building on the Team Europe approach, mobilising resources from EU countries, public development or investment banks and development finance institutions, export credit agencies, and the private sector
  • leading the EUโ€™s engagement in all just transition partnerships to help partner countries decarbonise the power sector
  • ensuring the EU promotes the United Nationsโ€™ 2030 Agenda for Sustainable Development and the Sustainable Development Goals
  • strengthening EU partnerships and deepening cooperation with Africa, Central Asia, Asia and the Indo-Pacific, Latin America and the Caribbean
  • supporting a differentiated approach regarding Least Developed Countries by focusing more effectively on their specific vulnerabilities, as well as for conflict areas and fragile countries
  • promoting gender equality and the empowerment of women and girls in the EUโ€™s international cooperation and development policies
 
Watawala wanahaha, habari hii na mapichpicha yake waliiweka kapuni wananchi wasifahamu sheikh Kombo alikwenda Brussels kuomba mabeberu misaada ya kifedha
 
Masikini 'Who are you?'......
Tuna uranium, dhahabu, almas,gesi,mbuga za wanyama,bandari,Tanzanite n.k.
 

Hivi Wajomba kazi yao ni nini? Wamepewa bandari, Ngorongoro na misitu yetu lakini wanajikausha wakati tuna shida.
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Rudia tena hapo mwishoni, halafu ongezea kila wakihema..!!
Hahahahah hio inapendeza haswa ikitamkwa na "Wajakoya" yule mwanasiasa wa Kenya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hahahahah hio inapendeza haswa ikitamkwa na "Wajakoya" yule mwanasiasa wa Kenya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Unajua nimecheka sana ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Serikali hii inatia hasira sana kuliko kipindi chochote tulichowahi kupitia kama taifa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ