Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kaeni kimya mechi imekwisha tumeshinda .Yule jamaa ndio alikuwa roho ya timu...
kumtoa kocha alibugi sana.. jamaa amelia kabisa.
Hayo mengine hayasaidii.
Kuwa mzalendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaeni kimya mechi imekwisha tumeshinda .Yule jamaa ndio alikuwa roho ya timu...
kumtoa kocha alibugi sana.. jamaa amelia kabisa.
Hao Jamaa Jana walikuwa miyeyusho SanaUmeona mkuu, yaani cross za Kapombe na Faridi zinapotea bure tu hakuna wa kufunga huyu Nchimbi na Lyanga ni wa hovyo sana hawa jamaa aisee
Mzalendo wau*yoko... unapangia watu yakuongea.Kaeni kimya mechi imekwisha tumeshinda .
Hayo mengine hayasaidii.
Kuwa mzalendo
Mnyaki ushaanza kuji exclude utaifa[emoji1]Hahaa! Hapana nipo humu humu Tz !hongera zetu hakika[emoji3]
Ndio Tanzania ndo kama hutaki hama nenda kakae Namibia utelembwe mna tabu sana hata mambo ya taifa mnaleta ujuajiMzalendo wau*yoko... unapangia watu yakuongea.
Hata Mimi sikumuelewa kocha why amtoe Jamaa alikuwa moves nzuri Sana uwanjaniIle sura ya kibushman kabisa yaani.
Toka kipindi cha pili kinaanza jamaa ndio alikuwa anatusumbua. Alivyotoka tuu ndio tukapata goli.
I felt sorry for the boy...kwa kweli alikuwa na haki ya kulia becoz it wasnt fair at all kumtoa.
Kocha wa namibia kwa kweli haniambii kitu hii mechi amebet .
Elewa tu mashabiki wengi wa bongo vichwani hakuna kitu. EMPTY SET.Sasa wewe uliyeunganishwa kwenye uzi kulikuwa na ulazima gani kuandika "akimalizia pasi ya Mchezaji mwenzake wa Yanga" hapa tunazungumzia timu ya taifa achana na mambo yako ya utimu.
Elewa tu mashabiki wengi wa bongo vichwani hakuna kitu. EMPTY SET.Sasa wewe uliyeunganishwa kwenye uzi kulikuwa na ulazima gani kuandika "akimalizia pasi ya Mchezaji mwenzake wa Yanga" hapa tunazungumzia timu ya taifa achana na mambo yako ya utimu.
Nihame nchi..! ya mama yako hii..Ndio Tanzania ndo kama hutaki hama nenda kakae Namibia utelembwe mna tabu sana hata mambo ya taifa mnaleta ujuaji
Subirini muziki wa Guinea sasaTumeshinda ila duuuh,hawajamaa wametutoa jasho sana
Kumbe umetolewa posa? Lini?Nihame nchi..! ya mama yako hii..
acha ushamba utatolewa posa wewe
Una tabia za kike sana wewe.. (shobo acha)Kumbe umetolewa posa? Lini?
Mbona hujatualika?
Au sio utelembweUna tabia za kike sana wewe.. (shobo acha)
Ntakufinger plint
No kwani hawajafunga 3 mkuu?! Kuna mkuu hapo juu kasema wangeweza kufunga hata zaidi ya 3 nikajua walfunga hizo 3kamili ama??🤔🤔Hahaaa umeshapata matokeo rasmi, au bado unayo hayo ya tatu bila!
😀😀😀 taifa lenyewe halieweki kesho utaskia tumechezea kichapo heavy aah, bora kuwa MCongolese tu bana.Mimi ni mnyaki wa Congo 🏃♀️🏃♀️Mnyaki ushaanza kuji exclude utaifa[emoji1]
Scouts wetu sijui wanafanya kazi gani,shida sisi tuliowengi matumbo yetu tumeyaweka mbele kuliko kazi nzur na ya uhakika.Yule mchezaji nashukuru wengi tumlipachika jina la BUSHMAN ndio alikuwa bora Uwanjani. Pili alianza kushangiliwa hadi na Wabongo kwenye Vibanda Umiza. Cha kujiuliza timu zetu zinashindwa nini kusajili wachezaji wa aina ile ya Bushman wa Namibia??