Tanzania yaingiza baridi, haitotuma JWTZ kuisaidia Msumbiji licha ya mashambulizi kuwaathiri pia

Tatizo lako misifa ya kijinga.....ikikutoka utaweza ukajadili hoja za kueleweka.

Muhimu sana mkapata mafunzo namna ya kupambana na majihadi wa kweli, maana kwa chizi mmoja huyo namna aliwapa tabu saa nzima mnamfyatulia risasi huku amesimama barabarani, kiukweli hamjakumbana na changamoto za majihadi yenyewe wale huwa mashetani balaa. Ukiangalia hata huko Kibiti walikua vitoto vimelewa gongo tu, sio mashabab.
Japo Kusini huko kwa kweli ilisikitisha namna wanavijiji wenu walichinjwa, ila mkaogopa kwenda Msumbiji mpaka ikambidi Kagame atume watu wake wanyooshe njia ndio mkabwatuka na mijisifa.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hakika ww ni punguani wa kikenya.
Kwanza kisa cha Hamza hakihusiani na ugaidi weka hilo pembeni Hmza alikua ana ugomvi na baadhi ya polisi wala rushwa basi.Na narudia kukwambia Tz ni nchi ilojawa na amani hatujazoea mirindimo ya shaba inapotokea tukio la kushtukiza lazma tuathirike ila JWTZ wakipewa kazi kichapo kinatembea.
Pili uache uongo Mtwara hakuna alochinjwa bali ulikua unafanyika unyang'anyi na ubakaji,
Tatu kibiti walikua wahalifu walokamilika kiumri,kimwili na kiakili na mpk kisilaha.
Usilete visingizio eti walikua watioto wanywa gongo mnywa gongo anatumia rifle?
Ila hao wote pindi JWTZ ilipoingilia kati walitokomezwa.
Usifananishe jeshi letu na lenu.
JWTZ mpk Libya na Lebanon imeshiriki vita.
 
Tanzania yaingiza mhaho, imesema malumbano ya Msumbiji yasuluhusishwe kwa maongezi, yaani kama vipi hayo majihadi yasitishe kukata vichwa vya watu na kuitwa vikao vya kuwabembeleza.

Juzi kikao kimefanyika cha jopo kazi iliyobuniwa na SADC ambayo ilishauri majeshii yatumwe kule maana hayo majihadi hayaelewi kitu kingine cha aina yoyote, yameiva na kutokota.

=======

Tanzania will not send troops to Mozambique to counter insurgents in gas rich Carbo Del Gado Province which is close to the border between the two countries.

The Tanzania government has, instead, emphasised on the need for talks as a means of promoting peace and tranquility in Mozambique, calling on the international community to help the country by sending development aids.

This was stated by Minister of Foreign Affairs Liberata Mulamula during the opening of a two-week discussion on how to contain the insurgency in Cabo Delgado, coordinated by Centre of International Policy (CIP), in Dar es Salaam.

This comes after the regional body of 16-nation states sent a technical team to verify events in the area and advise its heads of state forum on the way forward.

The technical team has recommended that SADC deploys a 3 000-strong robust intervention force comprised of land, air and naval assets to help quell the insurgency.

The decision to intervene militarily is a clear indicator that the deadly insurgency, which began in earnest in October 2017, has long passed the stage where it can be seen as a purely domestic problem to be addressed by Mozambique as a sovereign state.

According ambassador Mulamula Tanzania has no plans because they don’t know whom to fight with, instead they will make sure they participate through talks to stop terrorism and crimes continuing in Mozambique.

The minister said Tanzania will continue to cooperate with Mozambique to discuss the best way to maintain peace, safety and security.

“There have been groups that have conducted acts of terror in Msumbiji, you will remember since the chaos started Southern African Development Community (SADC), has met on different occasions to find a solution,” she said.

She said Cabo Delgado is the border between Tanzania and Mozambique where the regions of Mtwara and Ruvuma are found, so the chaos is threatening tranquility in the border regions and that is why both countries come together to find a solution.

“Tanzania as usual, when the neighbor country is not in peace, we will not sleep so we are on the same line to help with other SADC countries to fight terrorism,” she said.

Off coz we are smart unaweza fikiri kama hatuna akili ila naamini tuna kitu tuna taka kuionyesha dunia
 
Unajua hapo msumbiji cabo kuna shida za kimaisha ndio maana haya mambo yametokea. Isitoshe, kama niliwahi kusoma mahala kuwa msumbiji haitaki foreign armies kuingia ndani ya nchi yao.

Pana jambo hapo Cabo, bora tuchill tu kwanza, wakiingia kwetu tutawasaka ila kwa vile wapo kwa jirani na hataki foreign military intervention, basi ni dalili tosha kuwa wanajua tatizo ni nini. na vile ile video ikionesha wanajeshi wao wakimdhalilisha yule mama kwa kumpiga shaba for fun, tatizo sio ugaidi, tatizo ni serikali yao kwa ujumla
Kwa hiyo ni vita ya wenyewe kwa wenyewe?
 
Tanzania iko sahihi! Vita vya kupambana na Ugaidi si mchezo! Kama Marekani na Nato nchi zenye nguvu kijeshi na kiuchumi zimeikimbia Afghanistan kwa sababu ya Talebani sembuse sisi?
Nadhani ni vizuri tu kama nchi za SADC licha ya kukubaliana kutuma jeshi dogo,lakini zisimamie Dialogue katika Serikali na hao waasi ili kumaliza mgogoro.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hakika ww ni punguani wa kikenya.
Kwanza kisa cha Hamza hakihusiani na ugaidi weka hilo pembeni Hmza alikua ana ugomvi na baadhi ya polisi wala rushwa basi.Na narudia kukwambia Tz ni nchi ilojawa na amani hatujazoea mirindimo ya shaba inapotokea tukio la kushtukiza lazma tuathirike ila JWTZ wakipewa kazi kichapo kinatembea.
Pili uache uongo Mtwara hakuna alochinjwa bali ulikua unafanyika unyang'anyi na ubakaji,
Tatu kibiti walikua wahalifu walokamilika kiumri,kimwili na kiakili na mpk kisilaha.
Usilete visingizio eti walikua watioto wanywa gongo mnywa gongo anatumia rifle?
Ila hao wote pindi JWTZ ilipoingilia kati walitokomezwa.
Usifananishe jeshi letu na lenu.
JWTZ mpk Libya na Lebanon imeshiriki vita.

Hakihusiani na ugaidi kivipi wakati serikali yenu ilitoa taarifa yote na kumuita gaidi kabisa, hehehehe!!! Gaidi ukoko mmoja huyo alivyowasumbua saa nzima tena kama amejianika barabarani mnapiga risasi, ombeni sana msije wachokonoa majihadi wa kweli, mbaki tu na hao wanywa gongo huwasumbua huko.
Kwa Kusini mshukuru sana Kagme maana mlikua mumeshindwa ujanja kabisa, leo hii mnatiririka misifa ya kijinga....heheehehe
 
..Kagame tulishamtandika alipovamia DRC la kikundi chake cha M23.

..Tangu wakati huo hajaleta tena fyokofyoko.
 
Hakihusiani na ugaidi kivipi wakati serikali yenu ilitoa taarifa yote na kumuita gaidi kabisa, hehehehe!!! Gaidi ukoko mmoja huyo alivyowasumbua saa nzima tena kama amejianika barabarani mnapiga risasi, ombeni sana msije wachokonoa majihadi wa kweli, mbaki tu na hao wanywa gongo huwasumbua huko.
Kwa Kusini mshukuru sana Kagme maana mlikua mumeshindwa ujanja kabisa, leo hii mnatiririka misifa ya kijinga....heheehehe
we kweli punguani wa kikenya.
Unataka kunambia hao magaidi mtwara waliondolewa na kagame?
unataka kunambia hao magaidi kibiti waliondolewa na kagame?
Sie tumelinda mipaka yetu hatutaki kujihusisha na vita zaidi maana km vita tushajihusisha sana hyo Msumbiji kipindi inapata uhuru frontlines waliopigana Tanzania ilikuwepo.
Kuhusu Hamza tunajua sisi Watz jinsi serikali dhaifu ya Mama samia ilipojaribu kuficha uovu wa polisi wao waendekeza njaa.
Na ndio maana nakwambia Hamza kesi yake sio ya ugaidi usibishane na sisi wa nyumbani.
 
Magaidi Mtwara baada ya kuchinja wanavijiji walijirudia zao Msumbiji mkaogopa kuwafuata huko, Kagame ndiye amewafuata mpaka ndani ndani Msumbiji na kuwachakaza, ni baada ya hapo mkaanza kutunisha misuli na kuongea ongea, mshukuru sana Kagame.

Kesi ya Hamza wewe mlalahoi wa Tandale unajifanya kujua zaidi ya serikali? Huyo gaidi kawasumbua saa nzima mnapiga marisasi, mpo bado sana mnapaswa training, sio zile sifa zenu za kupasua matofali.
 
Wakisaidia amani ikarudi, wawekezaji wa gas Msumbiji watarudi kuendelea walipokuwa wameishia.
 
Magaidi Mtwara baada ya kuchinja wanavijiji walijirudia zao Msumbiji mkaogopa kuwafuata huko, Kagame ndiye amewafuata mpaka ndani ndani Msumbiji na kuwachakaza, ni baada ya hapo mkaanza kutunisha misuli na kuongea ongea, mshukuru sana Kagame.

Kesi ya Hamza wewe mlalahoi wa Tandale unajifanya kujua zaidi ya serikali? Huyo gaidi kawasumbua saa nzima mnapiga marisasi, mpo bado sana mnapaswa training, sio zile sifa zenu za kupasua matofali.
Usini attack kaka hunijui km mm mlala hoi ama laah.
Serikali yetu tunaijua sis wenyewe embu acha kubishana na sisi wazawa familia yetu imelelewa na majeshi yote ya polisi na jeshi unataka kubishana kuhusu kesi ya Hamza ilhali serikali imejaribu kuficha njaa za polisi wake wanyonyaji?Umeshindwa hoja unalalama.
HAKUNA RAIA WA TZ ALOCHINJWA LETE USHAHIDI.
HAO MAGAIDI NANI ALIWAFUKUZA MPK WAKARUDI MSUMBIJI KM SIO JWTZ?
Hatukushindwa ila tuliamua kulinda mipaka yetu bas.
Tungeamua kuwafata mpk msumbiji tungeenda maana tumeweza kuwafukuza Mtwara sembuse kuwafata!
HIYO MSUMBIJI KIPINDI INAPIGANIA UHURU KIJESHI WALISAIDIWA NA NANI KM SIO TZ?
EMBU KUA MTU MZIMA KIDOGO.
 
Sijakuattack nimetathmini unavyowasilisha hoja eti unabishana na kauli ya serkali utakua wale walalahoi wa vijiweni, halafu ulivyo wa hovyo eti hakuna mwanakijiji alichinjwa wakati taarifa zilitamalaki kote, inapaswa uwe exposed kidogo uwe unasoma na kufuatilia taarifa sio unashinda kijiweni kwenye maisha ya hovyo.
Mshukuru sana Kagame alivyowasafishia huko Msumbiji.
 
Bado hauna hoja unabwata.
Hunijui naishi wap na nafanya nini.sisi tunaujua ukweli kuhusu nchi yetu.
Utakua mpumbavu kukubali uongo eti kisa serikali ndio imesema.Sisi wenyewe tunaelewa ubovu wa serikali iliyokuwepo.
NIMEKWAMBIA LETA USHAHIDI KWA WALIOCHINJWA.
NIMEKUULIZA KAGAME NDIYE ALIYEWAUA NA KUWAFUKUZA HAO MAGAIDI PALE MTWARA?NIPE JIBU.
KAGAME KALETA MAJESHI MTWARA AU CABO DELGADO?
ANAYEPASWA KUMSHUKURU KAGAME NI TZ AU MSUMBIJI?
Unadata ww sio bure.
 
Magaidi Mtwara baada ya kuchinja wanavijiji walijirudia zao Msumbiji mkaogopa kuwafuata huko, Kagame ndiye amewafuata mpaka ndani ndani Msumbiji na kuwachakaza, ni baada ya hapo mkaanza kutunisha misuli na kuongea ongea, mshukuru sana Kagame.

Kesi ya Hamza wewe mlalahoi wa Tandale unajifanya kujua zaidi ya serikali? Huyo gaidi kawasumbua saa nzima mnapiga marisasi, mpo bado sana mnapaswa training, sio zile sifa zenu za kupasua matofali.
Halafu uache kufabricate taarifa hao magaidi hawakujiondokea kwa kutaka bali jeshi ndio limewaondoa.
 
Bado hauna hoja unabwata.
Hunijui naishi wap na nafanya nini.sisi tunaujua ukweli kuhusu nchi yetu.
Utakua mpumbavu kukubali uongo eti kisa serikali ndio imesema.Sisi wenyewe tunaelewa ubovu wa serikali iliyokuwepo.
NIMEKWAMBIA LETA USHAHIDI KWA WALIOCHINJWA.
NIMEKUULIZA KAGAME NDIYE ALIYEWAUA NA KUWAFUKUZA HAO MAGAIDI PALE MTWARA?NIPE JIBU.
KAGAME KALETA MAJESHI MTWARA AU CABO DELGADO?
ANAYEPASWA KUMSHUKURU KAGAME NI TZ AU MSUMBIJI?
Unadata ww sio bure.

Hehehe!! mpaka umenijibu mara mbili, pole ila inabidi ukweli wako upewe, ndio hivyo, wewe haujui zaidi ya serikali.
Nimekuambia uanze kujipa updates za taarifa wacha kuganda kwenye mitaa ya mabanda huko, hizi hapa taarifa magaidi 300 waliingia Tanzania na kuanza kuchinja...yaani 300....jameni 300 halafu kwa upumbavu unajipiga kifua, ilipaswa muwafuate mpaka huko Msumbiji, sio mnakaa ndani na kusema ooh wajaribu kurudi tena.
Kagame aliwafuata huko huko Msumbiji kwa niaba yenu na kusafisha na kufyeka wote, mumshukuru sana.

We hauko mzima nimegundua una utindii wa ubongo.
Nimesoma najielewa na naelewa ipi taaeifa sahihi na ipi siyo sahihi Watz tinafaham Hamza kabambikiwa kesi ya ugaidi km ilivyo kwa Mbowe.Tz tunaijua sisi wazawa.
Tunaelewa wangapi wanasingiziwa kesi zisizowahusu mm sio mpumbavu km ww kukubali kitu kisa serikali imesema.
Taarifa unatoa ww badala ya kuleta chanzo cha habari?
Unalazimisha hoja!?
Na ulivyo mjinga wanajeshi wa Rwanda wameenda Msumbiji ww unasema Tz tuwashukuru hv mzima ww!?Nina wasi wasi na upeo wako wa akili
Doh pole sana embu nisipoteze muda wangu kubishana na ww maana huma pount unayoongea.
NARUDIA MARA YA MWISHO TAARIFA TULIONA ULIFANYIKA UBAKAJI NA UPORAJI NA WALE MAGAIDI WALIONDOLEWA NA JWTZ KATAA USIKATAE USILAZIMISHE HOJA.
UKINIONA NAKUJIBU MM NITAKUA SHOGA wacha nijadiliane na wanaotaka mijadala sio walazimisha hoja km ww.
 
Hamza kabambikiwa kesi ya ugaidi??? Kijiweni mentality kabisa.... jamaa alisimama barabarani na mabunduki...kwa kweli mpo bado sana mnapaswa training ikiwa kagaidi kamoja kama hako kalisumbua kiasi hicho....sembue mashababi bin shetwan.
Kwa Mtwara nafikiri hadi hapo umeelewa maana nimekupa link ya taarifa sema utakua labda hauna bando, magaidi 300 waliingia na kufanya yao kisha wakarudi Msumbiji, mngewafuata huko tatizo uwoga, Kagame kaja na kuwatia aibu sana nyie, hautasikia huo upumbavu tena, kamaliza mchezo huko Msumbiji.
 
Back
Top Bottom