Tanzania yaingiza baridi, haitotuma JWTZ kuisaidia Msumbiji licha ya mashambulizi kuwaathiri pia

Tanzania yaingiza baridi, haitotuma JWTZ kuisaidia Msumbiji licha ya mashambulizi kuwaathiri pia

Border patrol police unit .(BPU) cant even compare to some neighboring armies.In terms of training ,Equipment na level of experience wako way ahead.BPU wako na campus yao ambayo iko na Multiple Interactive Learning Objective (MiLO) Range, where officers can immerse themselves into different training situations.
1622216792170.png

1622216912194.png

1622216945467.png
 
We jamaa mmefanikiwa vipi wakati Al shabab bado wanatawala maeneo ya kusini na kati na juzi hapa mlikuwa mnajitamba Rais wao anaishi Kenya, Na bado kuna habari wanakusanya mapato kuliko serikali ya Somalia.

Pili, Somalia kuna AMISOM hata mapambano yanafanyika chini ya huo mwamvuli. Kuna majeshi ya burundi na Msumbiji pia. Kwahiyo sio tu jeshi la Kenya limechemka bali jeshi la Afrika kwa ujumla wake.

Mafanikio ni kuitokomeza Al shabab na kuleta amani Somalia hakuna mlichofanikiwa kwenye hivyo.

Na nahitaji chanzo cha hiyo habari ya nyie kudhibiti hayo maeneo uliyoyataja.

Kdf was never part of Amisom before 2012.We joined Amisom after a successful crusade from Liboi to Kismayu.Uganda has been there since 2006.
 
TPDF ni jeshi la uoga na halipendi watanzania.
Ni waoga hadi hawaezi kwenda kupigana guerilla warfare kama KDF wanaamua kuzubaisha wadanganyika Dar.

TPDF is weak and full of FOOLS. Inafaa ibanduliwe na watu wapya waekwe. View attachment 1800381
Uncircumcised baboon hicho ulichoandika na attachment wala haviendani Inawezekana ukawa kilaza kuliko wote humu jf
 
Kdf was never part of Amisom before 2012.We joined Amisom after a successful crusade from Liboi to Kismayu.Uganda has been there since 2006.
Oky but Kdf military intervention in Somalia was not fruitful even before joining Amisom. You need to know what prompted Kdf to enter Somalia. A successful military operation would be total elimination of insurgents, you won the battle not war Also Al shabab was formed in 2006 so you fought them when they were at the infancy stage.
 
Acha tu tuingize baridi au barafu ikiwezekana. Wee mtoa post kinachokuwasha nini.. kama vipi wee wapelekee hao magaidi hiyo pua yako wakusaidie kutoa makamasi
 
Hizi hadithi za sijui mlipigana mara mliikomboa Afrika kwa ulimwengu wa leo ni makelele yasiyokua na tija.
Hao magaidi wamekata vichwa vya raia wenu leo hii mnasema waitwe kikao cha kuwabembeleza.
Ina maana JWTZ wamebaki jeshi la maonyesho siku za sherehe tu, wale hupasua matofali.
Kuna Mtanzania/Watanzania waliokatwa kichwa?

Wangapi? Hawakupigwa picha?
 
Oky but Kdf military intervention in Somalia was not fruitful even before joining Amisom. You need to know what prompted Kdf to enter Somalia. A successful military operation would be total elimination of insurgents, you won the battle not war Also Al shabab was formed in 2006 so you fought them when they were at the infancy stage.
Who said insurgency is over? As far as I know, they're still(terrorists) there and will be there for many years to come. And to be clear, a successful military op ' isn't about total elimination of insurgents, but to have success on certain types of objectives and interventions.
 
I know it is not over that's why i told your fellow countryman that kenya military intervention in somalia was not successful. Since you said successful military operation isnt abt total elimination tell me the primary objectives setforth by Kenya prior entering Somalia and if those objectives are met.
 
Ww MK254 haya mambo bila shaka ni mgeni nayo nikukumbushe
Raisi Phillipe nyusi alikutana na maraisi wa Sadc wa Nchi kadhaa pale MZA mwezi wa 4 na alitamka HAWAITAJI MSAADA WA KIJESHI TOKA SADC wao walisema WANATEGEMEA MSAADABWA KIKESHI TOKA USA NA JESHI LA PORTUGAL
 
We jamaa mmefanikiwa vipi wakati Al shabab bado wanatawala maeneo ya kusini na kati na juzi hapa mlikuwa mnajitamba Rais wao anaishi Kenya, Na bado kuna habari wanakusanya mapato kuliko serikali ya Somalia.

Pili, Somalia kuna AMISOM hata mapambano yanafanyika chini ya huo mwamvuli. Kuna majeshi ya burundi na Msumbiji pia. Kwahiyo sio tu jeshi la Kenya limechemka bali jeshi la Afrika kwa ujumla wake.

Mafanikio ni kuitokomeza Al shabab na kuleta amani Somalia hakuna mlichofanikiwa kwenye hivyo.

Na nahitaji chanzo cha hiyo habari ya nyie kudhibiti hayo maeneo uliyoyataja.
Hata Alqaeda na ISIS bado wako, ilhali hamwafiki hao wazungu hata robo, licha ya kushindwa kuwatokomeza. Nani alikwambia ugaidi unaisha leo? , upo na utakuwepo. Vijego wanazaliwa kila kukicha! 🤣 🤣 🤣
 
Hata Alqaeda na ISIS bado wako, ilhali hamwafiki hao wazungu hata robo, licha ya kushindwa kuwatokomeza. Nani alikwambia ugaidi unaisha leo? , upo na utakuwepo. Vijego wanazaliwa kila kukicha! 🤣 🤣 🤣
Vijego ni nini? Marekani na ulaya hawana nia ya dhati ya kuvimaliza hivyo vikundi mf, Marekani ipo Syria kwa ajili ya kumtoa Assad, Isis wanapambana na Assad pia kwahiyo unategemea wawamalize ISIS wakati wanawasaidia kwenye vita dhidi ya Assad. Lakini cha kushangaza zaidi Marekani huyohuyo aliungana na wakurdi kupigana ISIS. Hata vyombo vya habari vina upendeleo kwenye kuripoti habari, jeshi la serikali wakienda kupiga maeneo yanayokaliwa na magaidi wanaripoti serikali imeua raia kibao lakini Isis wakishambulia maeneo yanayokaliwa na serikali wanasema tu ISIS imepigana na majeshi ya serikali.

Angalia pia Libya wamefanya kazi nzuri kumtoa Gadafi lakini sasa wanafadhili gaidi Haftah kuua raia wa Libya na hawataki kutambua serikali.

ISIs na al qaida pia wanafadhiliwa na Qatar ambae ni mshirika wa Marekani na mnunuaji wa silaha.

Marekani hataki tu kuviondoa hivyo vikundi lakini si kwamba wameshindwa.
 
Tunabana matumizi... Mambo yao tumeamua kuwaachia wenyewe...
 
acha kuropoka, Tanzania ilipigana sana msumbiji wakati wa vita vya serikali na renamo ila uzoefu ilioupata mara nyingi vita vya ndani ni ngumu kumjua adui yako kwani unaweza kupanga mipango na serikali lakini serikali haohao ndio wanaoenda kuwaambia magaidi mipango mliyopanga.
 
..inawezekana vijana wetu wakaenda Msumbiji lakini haitatangazwa ktk vyombo vya habari.

Hilo litakuwa jambo la busara sana kwani hao magaidi wasipothibitwa wataathiri maendeleo yetu pia hivyo ni vyema tukawatokomeza kabla hawajatuletea madhara zaidi!!!

"Shamba la mahindi la jirani yako likivamiwa na nyani ni vyema mkasaidiana kuwamaliza ama sivyo shamba lako pia litavamiwa na wote mtavuna mabua!!!"
 
Kukomesha uharamia Somali mlishindwa usijipe sifa ambayo hamna. Na ni baada ya ninyi kushidwa njia nyingine zikaja za kupambana nao ikiwa pamoja na mataifa mbali mbali kwenda kupambana nao mf, Tanzania na Marekani wote walipeleka vikosi baharini kupambana na maharamia, meli pia ziliajiri walinzi binafsi wa kupambana na maharamia.

Kuhusu watalii kutekwa hilo lilikuwa linafanyika ndani ya Kenya hivyo ulikuwa uzembe wenu hadi wao kutekwa na walianza kutekwa baada ya kwenda Somalia. Nahitaji uniambie mlichofanikiwa Somalia hadi sasa?

Piracy: Kenyan Forces Deal Blow to Piracy​

The pacification of vast swathes of the Southern Somali region which led to the ouster of terrorist group Al Shabaab from Kismayu by Kenya Defense Forces (KDF) has dealt a severe blow to piracy in the region. The Kenya Defense Forces entered Southern Somalia a year ago following provocative actions by the renegade group which had started targeting foreign tourists inside Kenya territory as well as bombing public places in high population areas.

According to a report presented to the 90th session of the Maritime Safety Committee of the International Maritime Organization in June 2012, held in London, UK, there has since been a dramatic decline of piracy incidents since the KDF declared war on the extremist Al Shabaab terrorist group which has affiliations to Al Qaeda .The Kenyan delegation’s position was presented by the Kenya Maritime Authority’s Mr. Wilfred Kagimbi who noted that the role of the military action by Kenya and other units under the African Union and IGAD had been grossly understated if not entirely ignored.
 
Back
Top Bottom