komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Jamaa si umekakaririshwa jamani[emoji1787][emoji1787]Mimi nasema, hakuna watu waoga kufa kama wakikuyu, hakuna watu wanaoogopa bunduki/risasi kama wakikiyu... Hakuna watu wanaoogopa maji/kuogelea kama wakikuyu.. Ila ndio waliojazana navy na kdf.. Ndio maana jeshi ni hovyo tu na lege lege.
Kenya katika convoy ya jeshi unaweza kutana na wakikuyu wachache sna kati ya wajeda 100