Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Mkuu ukishaihUsisha mtu kutoka huko Asia ujue anahusika 100%
Mimi nimemsema huyo Mcanada kwa sababu ndiyo founder wa hiyo kampuni, baadaye akauza hisa nyingi kwa Gates na mwarabu lakini bado ana hisa hivyo ni mmiliki wa Four Seasons. Tunachojadiliana hapa ni mmiliki wa hiyo hotel, nimeshakubali kwamba si mali ya Four Seasons. Hapa tunajadiliana, nyie mnaojua tuambieni NI MALI YA NANI?
Hayo ni mawazo yako Albwardy alianza biashara ya hoteli na lodges kabla hata mzee wa kaya kuwa waziri na baadae kuwa rais!
Four Seasons Lodge SIO ya mkuu wa KAYA ni ya ALBWARDY anayemiliki makampuni kadhaa duniani more info on www.albwardy.com
Mimi nimemsema huyo Mcanada kwa sababu ndiyo founder wa hiyo kampuni, baadaye akauza hisa nyingi kwa Gates na mwarabu lakini bado ana hisa hivyo ni mmiliki wa Four Seasons. Tunachojadiliana hapa ni mmiliki wa hiyo hotel, nimeshakubali kwamba si mali ya Four Seasons. Hapa tunajadiliana, nyie mnaojua tuambieni NI MALI YA NANI?
Huo ndiyo ushahidi wa Baba Mwana kumiliki hiyo Hotel? Haya lete ushahidi, siyo kuleta ushabiki wa maandazi tu!
Four Seasons;
40% Prince Al Waleed Bin Talal
40% Bill & Melinda Gates Foundation
20% Isadore Sharp
Bilila Lodge, Melia hotel, Kilimanjaro Hotel, Park Hyat Zanzibar, Ngorongoro campsite, upcoming kiwengwa hotel = 100% owned by Ali Albward via ASB Holdings
Hao Four Seasons ni management tu, lakini hotel (majengo) siyo yao, mwisho wa siku wanachukua asilimia. Mwenye hotel hajajulikana bado.
Vipo mkuu na vyumba vingine booking directly from Marekani though hotel kama hiyo Singita ipo SerengetiHahahaa, chumba gani cha 3M pale?...sidhani!
Vipo mkuu na vyumba vingine booking directly from Marekani though hotel kama hiyo Singita ipo Serengeti
Four Seasons wanafanya management pekee,lakini sio mali yao,kama unakumbuka lodge hiyo mwanzo ilikuwa inajulikana kama Bilila Lodge Kempinski, baada ya wao kushindwa management wakaondoka na kuacha lodge na hatimaye kuitwa Four Seasons Serengeti,mwenye hiyo lodge pamoja na nyingine kama Hyatt Kilimanjaro hotel na Hyatt Park(Zanzibar) na Melia Zanzibar.Kwa wale msio jua muache kupotosha na kusema mara Four Seasons ni mali ya mzee wa kaya mara ya mkanada hizo zote ni blaa blaa,angalia hapa Investment holding company UAE, Food Distribution & Logistics Services, Industrial, Engineering & Construction, Hospitality & Lifestyle Services Dubai
Mimi nimemsema huyo Mcanada kwa sababu ndiyo founder wa hiyo kampuni, baadaye akauza hisa nyingi kwa Gates na mwarabu lakini bado ana hisa hivyo ni mmiliki wa Four Seasons. Tunachojadiliana hapa ni mmiliki wa hiyo hotel, nimeshakubali kwamba si mali ya Four Seasons. Hapa tunajadiliana, nyie mnaojua tuambieni NI MALI YA NANI?
anaitwa Ali Albwardy, a UAE citizen,,,,,,,allegedly 5th richest man in Dubai
Tembea uone mkuu mimi nilitembea hotel zote serengeti zipo 2 tuu ambazo hazikujengwa nyerere mojawapo ni hiyo.Kupata kibali cha kujenga mbugani ni issue hizo 2 ndiyo hufikia matajiri na superstars wa dunia. Wanakuja kwa private jets.Kilichonishangaza zaidi vyumba vya usd 11200 kuna booking za mpaka mwaka 2016 watu wameshalipia.Pia hizi za kawaida muda wote zina wageni.Kenya wanawaibia watalii pesa wanaua swala kisha wanamtundika mtini chui aje kumla kisha wanamuonyesha mtalii,wakati serengeti hivyo ni vitendo live.Kwa utajiri wa serengeti hatupaswi kuwa masikini hivi