Tanzania yaingiza Hotel mbili ndani ya Top 10 ya 'The Most expensive Hotels in the World'

Tanzania yaingiza Hotel mbili ndani ya Top 10 ya 'The Most expensive Hotels in the World'

Mimi nimemsema huyo Mcanada kwa sababu ndiyo founder wa hiyo kampuni, baadaye akauza hisa nyingi kwa Gates na mwarabu lakini bado ana hisa hivyo ni mmiliki wa Four Seasons. Tunachojadiliana hapa ni mmiliki wa hiyo hotel, nimeshakubali kwamba si mali ya Four Seasons. Hapa tunajadiliana, nyie mnaojua tuambieni NI MALI YA NANI?

Ni mali yangu. Vipi kuna mtu kaibiwa
 
Hayo ni mawazo yako Albwardy alianza biashara ya hoteli na lodges kabla hata mzee wa kaya kuwa waziri na baadae kuwa rais!

Mkuu hiyo siyo case, kuna kampuni zilianza miaka ya 1800, na bado zinapiga dili chafu africa, na duniani kiujumla, embu jaribu kutafuta connection ya jamaa na uae, halafu uchambue mwenyewe, sina haja ya kukushawishi unaamini unavyoamini pia kujua mwisho wa ukomo wako, hizo nyingine hisia tuu
 
absilutely right! ngoja nitafute coz naona kuna changa la macho hapa
 
Mimi nimemsema huyo Mcanada kwa sababu ndiyo founder wa hiyo kampuni, baadaye akauza hisa nyingi kwa Gates na mwarabu lakini bado ana hisa hivyo ni mmiliki wa Four Seasons. Tunachojadiliana hapa ni mmiliki wa hiyo hotel, nimeshakubali kwamba si mali ya Four Seasons. Hapa tunajadiliana, nyie mnaojua tuambieni NI MALI YA NANI?

anaitwa Ali Albwardy, a UAE citizen,,,,,,,allegedly 5th richest man in Dubai
 
Huo ndiyo ushahidi wa Baba Mwana kumiliki hiyo Hotel? Haya lete ushahidi, siyo kuleta ushabiki wa maandazi tu!

Four Seasons;

40% Prince Al Waleed Bin Talal
40% Bill & Melinda Gates Foundation
20% Isadore Sharp

Bilila Lodge, Melia hotel, Kilimanjaro Hotel, Park Hyat Zanzibar, Ngorongoro campsite, upcoming kiwengwa hotel = 100% owned by Ali Albward via ASB Holdings
 
Hao Four Seasons ni management tu, lakini hotel (majengo) siyo yao, mwisho wa siku wanachukua asilimia. Mwenye hotel hajajulikana bado.
 
Four Seasons wanafanya management pekee,lakini sio mali yao,kama unakumbuka lodge hiyo mwanzo ilikuwa inajulikana kama Bilila Lodge Kempinski, baada ya wao kushindwa management wakaondoka na kuacha lodge na hatimaye kuitwa Four Seasons Serengeti,mwenye hiyo lodge pamoja na nyingine kama Hyatt Kilimanjaro hotel na Hyatt Park(Zanzibar) na Melia Zanzibar.Kwa wale msio jua muache kupotosha na kusema mara Four Seasons ni mali ya mzee wa kaya mara ya mkanada hizo zote ni blaa blaa,angalia hapa Investment holding company UAE, Food Distribution & Logistics Services, Industrial, Engineering & Construction, Hospitality & Lifestyle Services Dubai

Issue alioibua huyu mdau hapa chini Rene Jr ikakufanya Emilias G ufunguke na mwisho wa siku mmenifaidisha mie maana nimepiga misele humo mbugani nikawa najiuliza hiyo Four Seasons ni ipi mpaka ulivyosema Bilila maana hata mie nilitaka kuropoka kuna nyigine ya tatu inaitwa Bilila kumbe ndio hiyo Four seasons (imekuwa kama Sheraton walivyokuwa wanaibadilibadili hata hiyo Grumete Reserve ipo under management of Singita ambao wapo kusini mwa Africa zaidi chini ya umilki wa Mmarekani bw. Paul Tudor Jones)

Mimi nimemsema huyo Mcanada kwa sababu ndiyo founder wa hiyo kampuni, baadaye akauza hisa nyingi kwa Gates na mwarabu lakini bado ana hisa hivyo ni mmiliki wa Four Seasons. Tunachojadiliana hapa ni mmiliki wa hiyo hotel, nimeshakubali kwamba si mali ya Four Seasons. Hapa tunajadiliana, nyie mnaojua tuambieni NI MALI YA NANI?
 
]
anaitwa Ali Albwardy, a UAE citizen,,,,,,,allegedly 5th richest man in Dubai

Nathibitisha kile alichosema Punda wa Dobi kwamba owner ni Ali Albwardy kama maandishi yanavyosema hapo chini nilipo bold

"This is the first step in a bold development project that will see three diverse Four Seasons experiences in what are considered to be three of the most important and attractive destinations in Tanzania," says Scott Woroch, executive vice president worldwide development at Four Seasons. "The responsibility of taking over such as irreplaceable asset within the Serengeti National Park is one that we take very seriously. This is an extremely rare opportunity for Four Seasons in that no other property of this size or scale exists, or is likely to ever be developed again in the Park. With the future development of a luxury tented safari camp in the Ngorongoro Conservation Area and an exclusive beach resort on the island of Zanzibar, Four Seasons will offer some of the finest holiday experiences in Tanzania."
The news was announced to us long time before it became official by owner Ali Albwardy fromAlbwardy Investment and co-owner Ong Beng Seng from Hotel Properties Limited during their visits at Onsea House and Machweo. We look forward to welcoming clients in Arusha before or after their stay at the Four Seasons Safari Lodge Serengeti.
 
Last edited by a moderator:
Mmmhhh!!!
Tembea uone mkuu mimi nilitembea hotel zote serengeti zipo 2 tuu ambazo hazikujengwa nyerere mojawapo ni hiyo.Kupata kibali cha kujenga mbugani ni issue hizo 2 ndiyo hufikia matajiri na superstars wa dunia. Wanakuja kwa private jets.Kilichonishangaza zaidi vyumba vya usd 11200 kuna booking za mpaka mwaka 2016 watu wameshalipia.Pia hizi za kawaida muda wote zina wageni.Kenya wanawaibia watalii pesa wanaua swala kisha wanamtundika mtini chui aje kumla kisha wanamuonyesha mtalii,wakati serengeti hivyo ni vitendo live.Kwa utajiri wa serengeti hatupaswi kuwa masikini hivi
 
Back
Top Bottom