Tanzania yaipa Malawi Helkopta 2 na Dola milioni moja

Mpaka sasa vilimi vyao vimeshavimba midomoni hata sauti hawatoi tuwasubirie ndundu zikipungua watatema nyongo zao!

Mada inaongelea msaada, ila nyie msiokuwa na jema mmeleta issue ya CHADEMA. Inaonekana mnafanya mambo kwa aajili ya CHADEMA sio kwa uhalisia.
 
Ila wananchi wanakufa njaa hawawez toa chakula wala bima ya afya [emoji706]
 
Hii serikali inapesa aisee lakini Huwa ikija ishu ya madawati hatuishi kuomba mikopo ya kujenga hata vyoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…