econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mpaka sasa vilimi vyao vimeshavimba midomoni hata sauti hawatoi tuwasubirie ndundu zikipungua watatema nyongo zao!
Mada inaongelea msaada, ila nyie msiokuwa na jema mmeleta issue ya CHADEMA. Inaonekana mnafanya mambo kwa aajili ya CHADEMA sio kwa uhalisia.