Tanzania yaishawishi UNESCO kukienzi na kukieneza Kiswahili Duniani

Tanzania yaishawishi UNESCO kukienzi na kukieneza Kiswahili Duniani

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Mkutano Mkuu wa 41 wa UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani, azimio hilo limepitishwa na Nchi zote Wanachama wa UNESCO bila kupingwa leo November 23, 2021, Paris nchini Ufaransa.



MY TAKE; Kenya msije mkasema hatukuwaambia kwamba Tanzania tukiamua Jambo letu hatushindwi kitu

Tony254
komora096
@
 
Kenya tumeproduce professors wa kiswahili na waandishi wakubwa wa vitabu vya kiswahili ikiwemo kifo kisimani, siku njema, utengano n.k
Waandishi wakubwa ni kama Said A. Mohamed, Wallah bin Wallah na Ken Walibora. Wengi wao wanafunza kiswahili katika vyuo vikuu huku Kenya na ulaya pia.
 
I'm pretty sure I'd outscore you in any Kiswahili exam and I'm pretty sure Kenyans would beat Tanzanians in Kiswahili exams.
Hahahaha, wazee wa njaa hamna akili ya kuzidi watanzania katika eneo lolote labda ukabila, wizi na crime[emoji23][emoji23][emoji23]

Kiingereza chenyewe hamjui Nurses wenu walifeli wote, the only language you can outscore me is Gikuyu and Giriama[emoji23]
 
Tanzania inazidi kukuza ushawishi wake duniani, taifa pekee Africa lenye ushawishi mkubwa wa kitamaduni, popote kiswahili kinapozungumzwa Tanzania inazungumzwa
 
Tanzania tamu sana

FFIQYCjXwAU8yQa.jpeg
 
Back
Top Bottom