Kiswahili gani ya Kenya aseeeHuwa mnadhani kwamba kiswahili ni yenu pekee yenu. Kiswahili ni ya Kenya pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiswahili gani ya Kenya aseeeHuwa mnadhani kwamba kiswahili ni yenu pekee yenu. Kiswahili ni ya Kenya pia.
So what?Kenya tumeproduce professors wa kiswahili na waandishi wakubwa wa vitabu vya kiswahili ikiwemo kifo kisimani, siku njema, utengano n.k
Waandishi wakubwa ni kama Said A. Mohamed, Wallah bin Wallah na Ken Walibora. Wengi wao wanafunza kiswahili katika vyuo vikuu huku Kenya na ulaya pia.