joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Tayari umekosea, ungesema "Huwa mnadhani kiswahili ni chenu peke yenu, kiswahili ni cha Kenya pia"Huwa mnadhani kwamba kiswahili ni yenu pekee yenu. Kiswahili ni ya Kenya pia.
Mbona hao UNESCO hawajaweka picha ya Keny, Kiswahili ni Tanzania's baby, Kenya mnakidharau na kujidhalilisha, endeleeni kukithamini "kizungu" tuachieni lugha yetu.Huwa mnadhani kwamba kiswahili ni yenu pekee yenu. Kiswahili ni ya Kenya pia.
Nyie si mnasemaga wabongo tunaenzi kiswahili hatuweZi kizungu... tuacheni tukuze kiswahili chetu ili kije kizungumzwe na wengi kama kizungu....Huwa mnadhani kwamba kiswahili ni yenu pekee yenu. Kiswahili ni ya Kenya pia.
Yenu na nani wewe Msukuma?Mbona hao UNESCO hawajaweka picha ya Keny, Kiswahili ni Tanzania's baby, Kenya mnakidharau na kujidhalilisha, endeleeni kukithamini "kizungu" tuachieni lugha yetu.
Huwa hatusemi mnaenzi Kiswahili, huwa tunasema hamkijui kiingereza.Nyie si mnasemaga wabongo tunaenzi kiswahili hatuweZi kizungu... tuacheni tukuze kiswahili chetu ili kije kizungumzwe na wengi kama kizungu....
Wajinga nyie wakenya
Au "Huwa mnadhani Kiswahili ni lugha yenu peke, Kiswahili ni cha Kenya pia".Tayari umekosea, ungesema "Huwa mnadhani kiswahili ni chenu peke yenu, kiswahili ni cha Kenya pia"
Ninyi hamjui Kiswahili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa hatusemi mnaenzi Kiswahili, huwa tunasema hamkijui kiingereza.
I'm pretty sure I'd outscore you in any Kiswahili exam and I'm pretty sure Kenyans would beat Tanzanians in Kiswahili exams.Ninyi hamjui Kiswahili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Kiswahili kipi?I'm pretty sure I'd outscore you in any Kiswahili exam and I'm pretty sure Kenyans would beat Tanzanians in Kiswahili exams.
Hahahaha, wazee wa njaa hamna akili ya kuzidi watanzania katika eneo lolote labda ukabila, wizi na crime[emoji23][emoji23][emoji23]I'm pretty sure I'd outscore you in any Kiswahili exam and I'm pretty sure Kenyans would beat Tanzanians in Kiswahili exams.
Ndoto za mchana hiziiI'm pretty sure I'd outscore you in any Kiswahili exam and I'm pretty sure Kenyans would beat Tanzanians in Kiswahili exams.
Unalazimisha kosa pasipo kosaTayari umekosea, ungesema "Huwa mnadhani kiswahili ni chenu peke yenu, kiswahili ni cha Kenya pia"