Kenya tumeproduce professors wa kiswahili na waandishi wakubwa wa vitabu vya kiswahili ikiwemo kifo kisimani, siku njema, utengano n.k
Waandishi wakubwa ni kama Said A. Mohamed, Wallah bin Wallah na Ken Walibora. Wengi wao wanafunza kiswahili katika vyuo vikuu huku Kenya na ulaya pia.