Tanzania yaitaka Kenya kuwaachia raia wake haraka kabla ya hatua kali za kulipiza kisasi kuchukuliwa dhidi ya Kenya

epidemiologically that is IMPOSSIBLE! It started in Wuhan now it is all over the world!
According to Uhuru Kenyatta is possible, that's why he listed Tanzania among safe countries
 
ndio nawaambia mwakurupuka...sheria zenu za nchi zasema mchome ng'ombe na kuku??kama zasema hivyo sawa ila sidhani...huku hatujakurupuka..tumefuata sheria ambazo hata sisi wakenya wenyewe lazima tuzifuate la sivyo tunaadhibiwa..
Ujinga na upumbavu wenu wa akili ndio uaosababisha kila mnapoazisha chokochoko tuawazidi mwisho mnaomba msamaha, kwahiyo wewe unadhani kila tunalifanya huku hatufuati sheria zetu ila ninyi mnaofuata sheria?,
 
Kwahiyo sheria zao zinaruhusu rushwa, wizi wa fedha za umma, polisi kuua wananchi, dhuluma ya umiliki wa ardhi?.

Mbona tulipochoma vifaranga na kutaifisha Ng'ombe zao kwa kuvunja sheria za Tanzania wanalia hadi leo kama kweli wao wanafuata sheria?
 

kalisha tako chini,wacha kiherehere.

nyinyi mihemko yenu ya kisiasa,inafanya mnaonekana kama mna matatizo ya akili,na taarifa tutaleta hapa,ili komamanga kama wewe na vizibo wenzako muone.
 
Kwahiyo sheria zao zinaruhusu rushwa, wizi wa fedha za umma, polisi kuua wananchi, dhuluma ya umiliki wa ardhi?.

Mbona tulipochoma vifaranga na kutaifisha Ng'ombe zao kwa kuvunja sheria za Tanzania wanalia hadi leo kama kweli wao wanafuata sheria?

huyu jamaa ni kama ana matatizo ya akili,shida yake inaanzia mbali ndugu.
 
1. Hakuna aliyelia juu ya vifaranga
2. Vifaranga kuchomwa siyo haki wala sheria. Ni kukosa utu tu. Hamna sheria Tanzania inayekubali kuchomwa kwa vifaranga vitokavyo nchi geni. Kama mngempiga mwenyewe faini tu ingemake sense.
Kwa hiyo unatufundisha jinsi ya kuedesha nchi yetu?. Eti hakuna mtu aliyelia, wacha ujinga, kuanzia Amina Mohamedi alipokua waziri wa mambo ya Nje, hadi Duale katika vikao vya bunge walitoa mapovu ya kutosha.

Ninyi wakenya ni watu wa hovyo sana ndio sababu mnakwaruzana na majirani wenu wote. Kwahiyo unajifanya kuijua zaidi Tanzania na kutufundisha jinsi ya kuendesha nchi yetu?.

Tanzania tulipitisha sheria ya kupambana na magonjwa ya wanyama ambayo inazuia kuingiza ndege hai bila vibali halali, mwaka 2014 tulichoma vifaranga 12K kutoka Malawi, hatujasikia malalamiko toka Malawi.
 
Unajua wakenya wanafanya makosa mangapi?
 
Ujinga na upumbavu wenu wa akili ndio uaosababisha kila mnapoazisha chokochoko tuawazidi mwisho mnaomba msamaha, kwahiyo wewe unadhani kila tunalifanya huku hatufuati sheria zetu ila ninyi mnaofuata sheria?,
sasa hayo mengine siyajui...issue tunongelea hapa ni watz kushikwa bila barakoa kenya na nyinyi kuchoma vifaranga....mbona iko wazi mlikurupuka...ila nadhani wataka kuambiwa tanzania ndio baba lao na kenya atawapigia magoti......sawa basi,tanzania ndio superpower dunia nzima,kila nchi yawaogopa nyinyi..happy now?
 
Nimekuambia hiyo tabia yenu ya kujifanya ninyi ndio mnajua kila kitu ndio inayowafanya mnakwaruzana na majirani wenu wote, kwahiyo Tanzania hatukufuata sheria tulipochoma vifaranga ila tulikurupuka?, ila Kenya kila mnalofanya mnatumia sheria hamkurupuki sio?, soma post yangu hapo juu #85, na uwache kuwa mjinga.
 
Reactions: Lob
Mkuu kule Kenya huenda wapo watanzania kibao ambao huenda hawana vibali.
Ujirani mwema ni muhimu.
Wakenya hawana ujirani mwema, sisi tumekaa huko kwao tunawajua, na MTZ kuishi,kupata kazi au kufanya Biashara kwao ni kama haiwezekani, hata mfagiaji kwenye office yako atakufanyia hujuma.
 
mkija kenya fuateni sheria za kenya ..kama hutaki kaa tanzania uone kama kenya tutakuja kushika huko kwenu.wakenya nao wakija tz wafuate sheria za tz..wamekosea wenyewe wakashikwa alafu mnasema ni chokochoko...
Haswaaaa!!! Tatizo sisi watz watu hovyo sana. Kila nchi inasheria zake na lazima zifatwe.
 

MY TAKE: Wakenya lini mtajifuza?, mara zote mnapoanzisha migogoro mnaishia kupiga magoti na kuomba msamaha, lakini bado mnarudia chokochoko za kijinga.
Safi sana RC
1. Wakenya ni wanafiki sana. Wanahubiri ujirani Mwema wakati wananyanyasa Raia wetu.
Sisi hatuna shida kwa raia wote wa EA. Fika dsm wageni wamejaa wakifanya mahitaji yao. Dsm ni kama Bombay- india
2. Police wa Kenya ni very Corrupt. Ukute hapo walikua wanaomba rushwa
 
tumia akili sio hisia ...kuchoma vifaranga ni sheria kweli..huo ni ukatili dhidi ya wanyama..mngeshika na kuwatoza faini hao wakenya waliovunja sheria sio kuchoma kuku.hakuna sheria inayoruhusu kuchoma wanyama wakiwa hai wewe...usijitie hamnazo.
 
msinge waachia mngeona cha mtema kuni
 
Kaniacha hoi eti makosa ya kimazoea tu sio uhalifu. Kwa hiyo mimi nikipigwa fine na speed nimwambie trafic mimi nimezoea tu kila siku napita hapa speed sijagonga mtu niachiwe tu.
nyie ni wapumbavu, hiyo ilikuwa kauli ya kidiplomasia zaidi, ujumbe hapa ulikuwa vijana walioshikiliwa ni lazima waachiwe bila masharti yoyote, na wameshaachiwa!
 
kachemka kwa vile hujui, vijana washaachiwa bila masharti kama alivyotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…