Tanzania yaitaka Kenya kuwaachia raia wake haraka kabla ya hatua kali za kulipiza kisasi kuchukuliwa dhidi ya Kenya

Tanzania yaitaka Kenya kuwaachia raia wake haraka kabla ya hatua kali za kulipiza kisasi kuchukuliwa dhidi ya Kenya

epidemiologically that is IMPOSSIBLE! It started in Wuhan now it is all over the world!
According to Uhuru Kenyatta is possible, that's why he listed Tanzania among safe countries
 
ndio nawaambia mwakurupuka...sheria zenu za nchi zasema mchome ng'ombe na kuku??kama zasema hivyo sawa ila sidhani...huku hatujakurupuka..tumefuata sheria ambazo hata sisi wakenya wenyewe lazima tuzifuate la sivyo tunaadhibiwa..
Ujinga na upumbavu wenu wa akili ndio uaosababisha kila mnapoazisha chokochoko tuawazidi mwisho mnaomba msamaha, kwahiyo wewe unadhani kila tunalifanya huku hatufuati sheria zetu ila ninyi mnaofuata sheria?,
 
Mkuu

Naona unapata shida sana yaani

Mimi natoa hoja,wewe toa hoja pia..acha personal attacks za kipumbavu

Kenya hanilipi chochote,Tanzania hanilipi chochote,natoa hoja tu,sipati faida popote

Mkiambiwa ukweli mnaishia kutafuta sababu za kipumbavu

Mimi Mtanzania kwa kuzaliwa,ila sio Mtanzania kwa kusema uongo na kusifia upumbavu na mediocrity

Hamsimamii sheria zenu,wao wapo strict wanasimamia sheria zao na ukileta usenge wanakufunga bila huruma,unakuja hapa unaanza kulia eti nyie wakali sana bana,and blah blah za kipumbavu

Kafieni huko maiti nyie
Kwahiyo sheria zao zinaruhusu rushwa, wizi wa fedha za umma, polisi kuua wananchi, dhuluma ya umiliki wa ardhi?.

Mbona tulipochoma vifaranga na kutaifisha Ng'ombe zao kwa kuvunja sheria za Tanzania wanalia hadi leo kama kweli wao wanafuata sheria?
 
Mimi sizijui,wewe unazijua kiazi?

Huna lolote

Mama analia lia upumbavu....

Unaona kabisa ni mediocrity inamsumbua

Wewe hufanyi kazi unataka wengine wasifanye,punguani kabisa

Hapa ndio unaona tofauti kabisa,ya wanaofanya kazi serious na majinga majinga

Yaani Kenya ina wa-outperform kila level

Umeona level ya chini kabisa,likuu la mkoa linalilia wakuu wa mkoa wa jirani kwa kutimiza kazi zake kisawasawa,eti apunguze kufanya kazi sana

Sijui lini tutaendelea,such a stupid govt and set type of leaders,so bure kabisa yaani

kalisha tako chini,wacha kiherehere.

nyinyi mihemko yenu ya kisiasa,inafanya mnaonekana kama mna matatizo ya akili,na taarifa tutaleta hapa,ili komamanga kama wewe na vizibo wenzako muone.
 
Kwahiyo sheria zao zinaruhusu rushwa, wizi wa fedha za umma, polisi kuua wananchi, dhuluma ya umiliki wa ardhi?.

Mbona tulipochoma vifaranga na kutaifisha Ng'ombe zao kwa kuvunja sheria za Tanzania wanalia hadi leo kama kweli wao wanafuata sheria?

huyu jamaa ni kama ana matatizo ya akili,shida yake inaanzia mbali ndugu.
 
1. Hakuna aliyelia juu ya vifaranga
2. Vifaranga kuchomwa siyo haki wala sheria. Ni kukosa utu tu. Hamna sheria Tanzania inayekubali kuchomwa kwa vifaranga vitokavyo nchi geni. Kama mngempiga mwenyewe faini tu ingemake sense.
Kwa hiyo unatufundisha jinsi ya kuedesha nchi yetu?. Eti hakuna mtu aliyelia, wacha ujinga, kuanzia Amina Mohamedi alipokua waziri wa mambo ya Nje, hadi Duale katika vikao vya bunge walitoa mapovu ya kutosha.

Ninyi wakenya ni watu wa hovyo sana ndio sababu mnakwaruzana na majirani wenu wote. Kwahiyo unajifanya kuijua zaidi Tanzania na kutufundisha jinsi ya kuendesha nchi yetu?.

Tanzania tulipitisha sheria ya kupambana na magonjwa ya wanyama ambayo inazuia kuingiza ndege hai bila vibali halali, mwaka 2014 tulichoma vifaranga 12K kutoka Malawi, hatujasikia malalamiko toka Malawi.
 
Mama kachemka kweli, makosa ya mazoea??? wewe unaingia nchi ya watu bila sheria sababu tu ulikuwa unafanya bila kushikwa ndio kuhalalisha makosa. Kuna nchi ukikuwa huna barakoa fine dola 800 hapo Dubai tu sasa wewe utoke hapa uende nchi ya watu uvunje sheria. Hapana sio sawa hapa sio sheria nzuri au mbaya muhimu sheria zao, sisi huku Tz barakoa sio issue kufanya makosa ya mazoea sio issue wenzetu barakoa alfu 30 kwa wote wakenya au wa Tz kuingia bila ruhusa alfu 20 sasa kosa liko wapi. mbona wengine wamelipa. Hii kama vitisho mkuu wa mkoa wa kuteuliwa ukampe amri mtu aliyeshaguliwa.
Unajua wakenya wanafanya makosa mangapi?
 
Ujinga na upumbavu wenu wa akili ndio uaosababisha kila mnapoazisha chokochoko tuawazidi mwisho mnaomba msamaha, kwahiyo wewe unadhani kila tunalifanya huku hatufuati sheria zetu ila ninyi mnaofuata sheria?,
sasa hayo mengine siyajui...issue tunongelea hapa ni watz kushikwa bila barakoa kenya na nyinyi kuchoma vifaranga....mbona iko wazi mlikurupuka...ila nadhani wataka kuambiwa tanzania ndio baba lao na kenya atawapigia magoti......sawa basi,tanzania ndio superpower dunia nzima,kila nchi yawaogopa nyinyi..happy now?
 
sasa hayo mengine siyajui...issue tunongelea hapa ni watz kushikwa bila barakoa kenya na nyinyi kuchoma vifaranga....mbona iko wazi mlikurupuka...ila nadhani wataka kuambiwa tanzania ndio baba lao na kenya atawapigia magoti......sawa basi,tanzania ndio superpower dunia nzima,kila nchi yawaogopa nyinyi..happy now?
Nimekuambia hiyo tabia yenu ya kujifanya ninyi ndio mnajua kila kitu ndio inayowafanya mnakwaruzana na majirani wenu wote, kwahiyo Tanzania hatukufuata sheria tulipochoma vifaranga ila tulikurupuka?, ila Kenya kila mnalofanya mnatumia sheria hamkurupuki sio?, soma post yangu hapo juu #85, na uwache kuwa mjinga.
 
  • Thanks
Reactions: Lob
Mkuu kule Kenya huenda wapo watanzania kibao ambao huenda hawana vibali.
Ujirani mwema ni muhimu.
Wakenya hawana ujirani mwema, sisi tumekaa huko kwao tunawajua, na MTZ kuishi,kupata kazi au kufanya Biashara kwao ni kama haiwezekani, hata mfagiaji kwenye office yako atakufanyia hujuma.
 


MY TAKE: Wakenya lini mtajifuza?, mara zote mnapoanzisha migogoro mnaishia kupiga magoti na kuomba msamaha, lakini bado mnarudia chokochoko za kijinga.

Safi sana RC
1. Wakenya ni wanafiki sana. Wanahubiri ujirani Mwema wakati wananyanyasa Raia wetu.
Sisi hatuna shida kwa raia wote wa EA. Fika dsm wageni wamejaa wakifanya mahitaji yao. Dsm ni kama Bombay- india
2. Police wa Kenya ni very Corrupt. Ukute hapo walikua wanaomba rushwa
 
Nimekuambia hiyo tabia yenu ya kujifanya ninyi ndio mnajua kila kitu ndio inayowafanya mnakwaruzana na majirani wenu wote, kwahiyo Tanzania hatukufuata sheria tulipochoma vifaranga ila tulikurupuka?, ila Kenya kila mnalofanya mnatumia sheria hamkurupuki sio?, soma post yangu hapo juu #85, na uwache kuwa mjinga.
tumia akili sio hisia ...kuchoma vifaranga ni sheria kweli..huo ni ukatili dhidi ya wanyama..mngeshika na kuwatoza faini hao wakenya waliovunja sheria sio kuchoma kuku.hakuna sheria inayoruhusu kuchoma wanyama wakiwa hai wewe...usijitie hamnazo.
 
This is not how you talk about another nation

Wamewashika for what reason?

Kenya sio vichaa washike watu tu bila kuvunja sheria zao. You have to query kwa adabu uambiwe

Sio unaongea na nchi superpower kama unaongea na vitoto vyako huko sebuleni kwako

Endeleeni ku-normalize ugomvi ugomvi mkidhani you can handle ugomvi

Kila siku mnagombana na majirani zenu, hizi gomvi zimezidi
msinge waachia mngeona cha mtema kuni
 
Kaniacha hoi eti makosa ya kimazoea tu sio uhalifu. Kwa hiyo mimi nikipigwa fine na speed nimwambie trafic mimi nimezoea tu kila siku napita hapa speed sijagonga mtu niachiwe tu.
nyie ni wapumbavu, hiyo ilikuwa kauli ya kidiplomasia zaidi, ujumbe hapa ulikuwa vijana walioshikiliwa ni lazima waachiwe bila masharti yoyote, na wameshaachiwa!
 
Mama kachemka kweli, makosa ya mazoea? Wewe unaingia nchi ya watu bila sheria sababu tu ulikuwa unafanya bila kushikwa ndio kuhalalisha makosa. Kuna nchi ukikuwa huna barakoa fine dola 800 hapo Dubai tu sasa wewe utoke hapa uende nchi ya watu uvunje sheria.

Hapana sio sawa hapa sio sheria nzuri au mbaya muhimu sheria zao, sisi huku Tz barakoa sio issue kufanya makosa ya mazoea sio issue wenzetu barakoa alfu 30 kwa wote wakenya au wa Tz kuingia bila ruhusa alfu 20 sasa kosa liko wapi. mbona wengine wamelipa. Hii kama vitisho mkuu wa mkoa wa kuteuliwa ukampe amri mtu aliyeshaguliwa.
kachemka kwa vile hujui, vijana washaachiwa bila masharti kama alivyotaka.
 
Back
Top Bottom