Tanzania yaitaka Kenya kuwaachia raia wake haraka kabla ya hatua kali za kulipiza kisasi kuchukuliwa dhidi ya Kenya

Wyatt, watu wengine wala sio wa kubishana nao unawaacha tu mtu unamjuwa na majibu yake tu type gani.
 
Wyatt, watu wengine wala sio wa kubishana nao unawaacha tu mtu unamjuwa na majibu yake tu type gani.
Raha humu ndani watu mnabishana kwa hoja tu bila matusi mwisho wa siku mtu unajifunza kitu kwa mwenzako sababu hakuna mtu anajuwa kila kitu.
 
Wakenya hawana ujirani mwema, sisi tumekaa huko kwao tunawajua, na MTZ kuishi,kupata kazi au kufanya Biashara kwao ni kama haiwezekani, hata mfagiaji kwenye office yako atakufanyia hujuma.
lakini huku kwetu wanaishi kama wapo mbinguni.
 
yanakuja majinga majinga hapa kutetea ufalamanga huo,eti kenya inasimamia sheriaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

mngejua sheria hizi hizi mnazozijua zinakosa nguvu fulani kwemye maswala ya kidiplomasia,mngeenda kuoga kwanza ujinga upungue.

haya watu wameachiwa huko,enedeleeni na sonona.
 
CC: Tony254 naona mmenyamba kwa woga!
 
KENYA ni nchi iliyotamalaki kwa rushwa na Tanzania kupitia kwa mkuu wetu wa mkoa ameligundua hili, wananchi hawa wamebambikizwa makosa ikiwa ni mbinu ya kuomba rushwa na kuzuia bidhaa za kitanzania zisiingie kenya (imbalance trade). Kama taifa linalojali watu wake TANZANIA hatuwezi kulivumilia hili. Hii ndiyo basis ya kauli ya mh. mkuu wa mkoa.
 
Watu wako serious na kusimamia sheria zao nyie mnaleta upumbavu wa lege lege..

Linchi la hovyo and weak government ndio linashindwa kusimamia sheria

Kenya wapo serious, mnaanza kulia

Mkafie huko
Mkuu wewe ni mpumbavu sijawahi ona aisee,
Vijana wafunzwe kwanza utaifa,
Mfano mimi nikikuta ndugu yangu anapigwa siulizi kakosa nini natembezi na mimi kichapo ndio mambo mengine yanafuata aisee.

Unaongea hovyo kweli aisee pole sana hata hii inchi iweje., sijali nchi yangu Tanzania naipenda.
 

umeona ulivyo kiazi wewe pakacha!!!
eti askari barabarani hajui diplomasia,labda kwenu nyinyi mliojipeleka nchi za watu bila kufata utaratibu kama wewe mbeba box la kuzamia.
gari ya ubarozi au afisa wa ubarozi akifanya kosa hakamatwi kama anavyokamatwa wewe muuza maandazi,vivyo hivyo kwa raia wa nchi nyingine.kama hujui kitu uwe unatulia uelekezwe.

wameachiwa sasa,kama una malalamiko kata rufaa.
 
Sasa kama mlifurahi mlipotuchomea vifaranga mkasema sheria lazima zifuatwe mbona sahii mnalialia? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
You are a very wise man.
 
Kama wametoa faini na wakaachiliwa sasa diplomasia inaingilia wapi?
 
Kama vipi na sisi tuwabambikizie kesi za uhujumu uchumi wakenya 8... Ili twende nao sawa... Hawa sio wa kuwachekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…