Mkuu
Nchi haiendeshwi kwa huruma ya monkey mmoja mmoja
Wewe upo hapa,kichwa chako kinakutuma eti wamebambikizwa kesi as if una proof,huna proof!
Kenya mahakama zinafanya kazi,serikali inashitakiwa na inatoa fidia,kama serikali ya Kenya imebambikia mtu yeyote kesi,itaenda mahakamani na serikali itadaiwa fidia
Kenya unaona ina rushwa zaidi maana rushwa za kwao zinatangazwa kwenye vyombo vya habari kwa uwazi,hivyo unadhani wana rushwa kubwa zaidi ya Tanzania
Its sad rushwa za Tanzania ni marufuku kutajwa kokote maana vyombo vya habari havifanyi kazi zao kisawasawa kama Kenya
Bunge letu halisemi chochote kuhusu rushwa maana kutaja rushwa popote ni kuichafua serikali,Kenya bunge lao,kufichua rushwa ni agenda numero uno!
Elewa,kutajwa sana idadi ya rushwa kwa uwazi na nyie rushwa zenu kuficha chini ya kapeti,hakumaanishi eti Kenya ndio ina rushwa zaidi ya Tanzania
Infact Kenya wanapata faida ya rushwa kuwekwa wazi,tofauti na kwetu,hakuna mtu anaruhusiwa kuongea chochote kuhusu chochote!
Mkuu wa mkoa ni hovyo,kulalamikia taifa jingine kufanya kazi kisawasawa zaidi yake yeye legelege!
Bure kabisa