Tanzania yaitaka Kenya kuwaachia raia wake haraka kabla ya hatua kali za kulipiza kisasi kuchukuliwa dhidi ya Kenya

Tanzania yaitaka Kenya kuwaachia raia wake haraka kabla ya hatua kali za kulipiza kisasi kuchukuliwa dhidi ya Kenya

Mkuu

Mashindano ya kitoto haya....Tanzania tusipoacha huu upumbavu soon or later tutakuja kuonekana mataahira kama wanadamu

Tanzania tumekua exposed kabisa kwamba hatufanyia kazi sawa sawa upande wa ardhi yetu

Hatusimamii sheria zetu kisawasawa

Na kama hujui,rule of law ndio msingi wa taifa kua taifa serious!

Tunaishia kulia kama matoto yaani

Unakaa kwenye national TV unawalalamikia wakenya,eti sisi hatusimamii sheria zetu,nyie mnasimamia zenu,nyie watu wabaya sana....

Ndio kiongozi tuliempa dhamana anaongea huu ugoro?

Very lousy group of leaders tulionao....such a disgrace kabisa!
Wyatt, watu wengine wala sio wa kubishana nao unawaacha tu mtu unamjuwa na majibu yake tu type gani.
 
Wyatt, watu wengine wala sio wa kubishana nao unawaacha tu mtu unamjuwa na majibu yake tu type gani.
Raha humu ndani watu mnabishana kwa hoja tu bila matusi mwisho wa siku mtu unajifunza kitu kwa mwenzako sababu hakuna mtu anajuwa kila kitu.
 
Wakenya hawana ujirani mwema, sisi tumekaa huko kwao tunawajua, na MTZ kuishi,kupata kazi au kufanya Biashara kwao ni kama haiwezekani, hata mfagiaji kwenye office yako atakufanyia hujuma.
lakini huku kwetu wanaishi kama wapo mbinguni.
 
yanakuja majinga majinga hapa kutetea ufalamanga huo,eti kenya inasimamia sheria😆😆😆.

mngejua sheria hizi hizi mnazozijua zinakosa nguvu fulani kwemye maswala ya kidiplomasia,mngeenda kuoga kwanza ujinga upungue.

haya watu wameachiwa huko,enedeleeni na sonona.
 
CC: Tony254 naona mmenyamba kwa woga!
 
Mkuu

Askari law enforcer barabarani anajua usenge wa diplomasia umsaidie nini?

Mkuu wa kituo cha polisi anajua diplomasia imsaidie nini wewe maiti?

Yeye yupo pale kuhahakisha sheria za Kenya zinafuatwa,wewe umeingia Kenya bila barakoa au helmet,eti unategemea eti aone huruma sababu eti usenge wa TZ sijui wana huruma na nonsense kibao

Mjifunze,Kenya hua wanasimamia sheria zao kisawasawa...

Mahakama zao zinafanya kazi kisawasawa

Unaambiwa faini ili upate dhamana ni KES 50,000/=,ni hiyo hiyo,hakuna eti Watanzania ni ndugu zetu tufute hii dhamana sijui wanatupenda sana

Hakuna sentiments,vaa barakoa,vaa...hakuna usenge

Upumbavu wetu wa kutokusimamia sheria zetu kisawasawa,uzaifu huu msidhani upo upande wa pili

Mmekua exposed how stupid and incompetent you monkeys are.....what a pile of shit!
KENYA ni nchi iliyotamalaki kwa rushwa na Tanzania kupitia kwa mkuu wetu wa mkoa ameligundua hili, wananchi hawa wamebambikizwa makosa ikiwa ni mbinu ya kuomba rushwa na kuzuia bidhaa za kitanzania zisiingie kenya (imbalance trade). Kama taifa linalojali watu wake TANZANIA hatuwezi kulivumilia hili. Hii ndiyo basis ya kauli ya mh. mkuu wa mkoa.
 
EsLBTptXIAA-3GO.jpeg

Free ni wewe! Valia barakoa.
 
Watu wako serious na kusimamia sheria zao nyie mnaleta upumbavu wa lege lege..

Linchi la hovyo and weak government ndio linashindwa kusimamia sheria

Kenya wapo serious, mnaanza kulia

Mkafie huko
Mkuu wewe ni mpumbavu sijawahi ona aisee,
Vijana wafunzwe kwanza utaifa,
Mfano mimi nikikuta ndugu yangu anapigwa siulizi kakosa nini natembezi na mimi kichapo ndio mambo mengine yanafuata aisee.

Unaongea hovyo kweli aisee pole sana hata hii inchi iweje., sijali nchi yangu Tanzania naipenda.
 
Mkuu

Askari law enforcer barabarani anajua usenge wa diplomasia umsaidie nini?

Mkuu wa kituo cha polisi anajua diplomasia imsaidie nini wewe maiti?

Yeye yupo pale kuhahakisha sheria za Kenya zinafuatwa,wewe umeingia Kenya bila barakoa au helmet,eti unategemea eti aone huruma sababu eti usenge wa TZ sijui wana huruma na nonsense kibao

Mjifunze,Kenya hua wanasimamia sheria zao kisawasawa...

Mahakama zao zinafanya kazi kisawasawa

Unaambiwa faini ili upate dhamana ni KES 50,000/=,ni hiyo hiyo,hakuna eti Watanzania ni ndugu zetu tufute hii dhamana sijui wanatupenda sana

Hakuna sentiments,vaa barakoa,vaa...hakuna usenge

Upumbavu wetu wa kutokusimamia sheria zetu kisawasawa,uzaifu huu msidhani upo upande wa pili

Mmekua exposed how stupid and incompetent you monkeys are.....what a pile of shit!

umeona ulivyo kiazi wewe pakacha!!!
eti askari barabarani hajui diplomasia,labda kwenu nyinyi mliojipeleka nchi za watu bila kufata utaratibu kama wewe mbeba box la kuzamia.
gari ya ubarozi au afisa wa ubarozi akifanya kosa hakamatwi kama anavyokamatwa wewe muuza maandazi,vivyo hivyo kwa raia wa nchi nyingine.kama hujui kitu uwe unatulia uelekezwe.

wameachiwa sasa,kama una malalamiko kata rufaa.
 
Kwa hiyo unatufundisha jinsi ya kuedesha nchi yetu?. Eti hakuna mtu aliyelia, wacha ujinga, kuanzia Amina Mohamedi alipokua waziri wa mambo ya Nje, hadi Duale katika vikao vya bunge walitoa mapovu ya kutosha.

Ninyi wakenya ni watu wa hovyo sana ndio sababu mnakwaruzana na majirani wenu wote. Kwahiyo unajifanya kuijua zaidi Tanzania na kutufundisha jinsi ya kuendesha nchi yetu?.

Tanzania tulipitisha sheria ya kupambana na magonjwa ya wanyama ambayo inazuia kuingiza ndege hai bila vibali halali, mwaka 2014 tulichoma vifaranga 12K kutoka Malawi, hatujasikia malalamiko toka Malawi.
Sasa kama mlifurahi mlipotuchomea vifaranga mkasema sheria lazima zifuatwe mbona sahii mnalialia? 😂 😂 😂
 
Mkuu

Nchi haiendeshwi kwa huruma ya monkey mmoja mmoja

Wewe upo hapa,kichwa chako kinakutuma eti wamebambikizwa kesi as if una proof,huna proof!

Kenya mahakama zinafanya kazi,serikali inashitakiwa na inatoa fidia,kama serikali ya Kenya imebambikia mtu yeyote kesi,itaenda mahakamani na serikali itadaiwa fidia

Kenya unaona ina rushwa zaidi maana rushwa za kwao zinatangazwa kwenye vyombo vya habari kwa uwazi,hivyo unadhani wana rushwa kubwa zaidi ya Tanzania

Its sad rushwa za Tanzania ni marufuku kutajwa kokote maana vyombo vya habari havifanyi kazi zao kisawasawa kama Kenya

Bunge letu halisemi chochote kuhusu rushwa maana kutaja rushwa popote ni kuichafua serikali,Kenya bunge lao,kufichua rushwa ni agenda numero uno!

Elewa,kutajwa sana idadi ya rushwa kwa uwazi na nyie rushwa zenu kuficha chini ya kapeti,hakumaanishi eti Kenya ndio ina rushwa zaidi ya Tanzania

Infact Kenya wanapata faida ya rushwa kuwekwa wazi,tofauti na kwetu,hakuna mtu anaruhusiwa kuongea chochote kuhusu chochote!

Mkuu wa mkoa ni hovyo,kulalamikia taifa jingine kufanya kazi kisawasawa zaidi yake yeye legelege!

Bure kabisa
You are a very wise man.
 
yanakuja majinga majinga hapa kutetea ufalamanga huo,eti kenya inasimamia sheria😆😆😆.

mngejua sheria hizi hizi mnazozijua zinakosa nguvu fulani kwemye maswala ya kidiplomasia,mngeenda kuoga kwanza ujinga upungue.

haya watu wameachiwa huko,enedeleeni na sonona.
Kama wametoa faini na wakaachiliwa sasa diplomasia inaingilia wapi?
 
Kama vipi na sisi tuwabambikizie kesi za uhujumu uchumi wakenya 8... Ili twende nao sawa... Hawa sio wa kuwachekea
 
Back
Top Bottom