Tanzania yaitaka Kenya kuwaachia raia wake haraka kabla ya hatua kali za kulipiza kisasi kuchukuliwa dhidi ya Kenya

Swala ni kuachiwa tu au kujua wana kosa gani na sheria zao zinasemaje?.

Kwani kwa mfano Mkenya akiingia kwetu akafanya Uhalifu tutamuachia arudi kwao kwa sababu sio Mtanzania?
Mkuu boda boda za Tanzania na Kenya zinafanya Safari za kuvuka mpaka zaidi ya safari 500 kwa siku kusafirisha wananchi na bidhaa, kumbuka kwamba chini ya Km 20 wananchi wa mipakani wanaruhusiwa kuingia na kutoka bila vibali

Pale Namanga na Terakea, wakenya huvuka mpaka kila jioni kuja Tanzania kunywa bia, wakiwemo POLISI wa Kenya, je mnataka nao pia tuwazuie, wananchi wa Taveta huvuka kuja Tanzania kutafuta huduma za Afya bila vibali, je mnataka tuwazuie

Anachouliza mkuu wa mkoa ni kwamba hizi sheria mnataka na upande wa Pili pia tuwe "strict?". Kama kweli Kenya inafuata sheria, basi wasiwaachie, hiyo itatusaidia na sisi kuwa strict, tuone nani watakaolalamika.
 
Hopeless comment ever you kunyaland!! Eti mnasimamia sheria!! Corona tu mmeshindwa kuidhibiti then unasema ni superpower country!!
Huyo ni Mtanzania mwenzako unambatiza Ukenya.
 
This is not how you talk about another nation

Wamewashika for what reason?

Kenya sio vichaa washike watu tu bila kuvunja sheria zao. You have to query kwa adabu uambiwe

Sio unaongea na nchi superpower kama unaongea na vitoto vyako huko sebuleni kwako

Endeleeni ku-normalize ugomvi ugomvi mkidhani you can handle ugomvi

Kila siku mnagombana na majirani zenu, hizi gomvi zimezidi
Tatizo wanaigilizia kwa mteule wao.... Kenyata is more reasonable than Jiwe, nathubutu kusema hivyo mnisamehe, hawezi kuwashikilia watu bila sababu ya msingi.
 
Kwahiyo alipitangaza kuwazuia watanzania na Somalia kuingia Kenya kwa kisingizio cha Corona alikua reasonable, ila Tanzania tulipojibu kwa kuzuia gari za Kenya hatukua reasonable?. Walipokataza ndege toka Tanzania kutua Kenya alikua reasonable ila Tanzania ilipozuia ndege za Kenya kuja Tanzania haikua reasonable?
 
Mkuu boda boda za Tanzania na Kenya zinafanya Safari za kuvuka mpaka zaidi ya safari 500 kwa siku kusafirisha wananchi na bidhaa, kumbuka kwamba chini ya Km 20 wananchi wa mipakani wanaruhusiwa kuingia na kutoka bila vibali

Pale Namanga na Terakea, wakenya huvuka mpaka kila jioni kuja Tanzania kunywa bia, wakiwemo POLISI wa Kenya, je mnataka nao pia tuwazuie, wananchi wa Taveta huvuka kuja Tanzania kutafuta huduma za Afya bila vibali, je mnataka tuwazuie

Anachouliza mkuu wa mkoa ni kwamba hizi sheria mnataka na upande wa Pili pia tuwe "strict?". Kama kweli Kenya inafuata sheria, basi wasiwaachie, hiyo itatusaidia na sisi kuwa strict, tuone nani watakaolalamika.
Sawa ila bado hujasema moja kwa moja waliokamatwa wamefanya kosa gani huko Kenya?.
 
Huyo ni mkenya humjui tu. Kunyaland mwenzako ila hujifanya mtz.
Sio kila Mtanzania anayepinga CCM anatokea nchi nyingine. Wengine ni Watanzania wenzenu. Tatizo nyinyi hampendi opposition au pingamizi yoyote. Mkipingwa kidogo mnaanza kubatiza watu Ukenya.
 
Kwahiyo alipitangaza kuwazuia watanzania na Somalia kuingia Kenya kwa kisingizio cha Corona alikua reasonable, ila Tanzania tulipojibu kwa kuzuia gari za Kenya hatukua reasonable?. Walipokataza ndege toka Tanzania kutua Kenya alikua reasonable ila Tanzania ilipozuia ndege za Kenya kuja Tanzania haikua reasonable?
Kenyata alitoa sababu gani kufaya hayo yote? he gave reasons for those actions and the basic one was Magufulis denial and still, it is , that there is no corona in Tanzania!
 
Kwako unadhani Magufuli anayosema ni denial, ila anayosema Uhuru Kenyatta ni ukweli?, kama kweli anayosema Magufuli ni denial iweje serikali ya Kenya iliamua kuweka Tanzania katika orodha ya nchi salama?
 
Kenyata alitoa sababu gani kufaya hayo yote? he gave reasons for those actions and the basic one was Magufulis denial and still, it is , that there is no corona in Tanzania!
Kwako unadhani Magufuli anayosema ni denial, ila anayosema Uhuru Kenyatta ni ukweli?, kama kweli anayosema Magufuli ni denial iweje serikali ya Kenya iliamua kuweka Tanzania katika orodha ya nchi salama?
 
Sio kila Mtanzania anayepinga CCM anatokea nchi nyingine. Wengine ni Watanzania wenzenu. Tatizo nyinyi hampendi opposition au pingamizi yoyote. Mkipingwa kidogo mnaanza kubatiza watu Ukenya.
Inakuaje sisi hatusemi wakenya wanaotetea Kenya ni kutoka Jubilee, ila ninyi kila anayeitetea Tanzania mnasema ni CCM?, au ubaguzi umewazidi?
 
Swala ni kuachiwa tu au kujua wana kosa gani na sheria zao zinasemaje?.

Kwani kwa mfano Mkenya akiingia kwetu akafanya Uhalifu tutamuachia arudi kwao kwa sababu sio Mtanzania?
We kichwa maji, husikii wameshikwa sababu tu ni bodaboda hawana barakoa?
 
Kwako unadhani Magufuli anayosema ni denial, ila anayosema Uhuru Kenyatta ni ukweli?, kama kweli anayosema Magufuli ni denial iweje serikali ya Kenya iliamua kuweka Tanzania katika orodha ya nchi salama?
So Tanzania is free of corona?
 
Sheria za Kenya ni za Kenya kama huwezani nazo, kalisha ujuaji wako kwenu.

When you're in Rome, do as the Romans are doing.

Kama huko hamvai barakoa, huku tunazivalia na ni sheria.
 
Back
Top Bottom