joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ambassador kakanusha hku waziri anabwetuka tu na kutoa macho ni km kuna mtu ulaya atamsikiza..MY TAKE: Wale waliodhani kwamba "tit for tat" tunawafanyia Kenya pekee.......
Sisi hatijaribiwi, Mwalimu Nyerere alishawahi kuwafukuza wajerumani na kuwarudishia pesa zao walizokua wameipatia Tanzania kama misaada, Magufuli anajiandaa kuwarudishia yeyote atakayejaribu kutuchokonoa.
Sililiza video dogo. Mbona unakuwa mwehu.Ambassador kakanusha hku waziri anabwetuka tu na kutoa macho ni km kuna mtu ulaya atamsikiza..
Si wamtume ambassador akatoe hayo maneno hko au hata mreply katika social networks zao km nyinyi hamtaki misaada wala nn mukione cha moto..
Hzo zinaitwa kelele za chura babu
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Imeisha hiyo. Tutashirikiana na yule anayeheshimu utu wa mwafrika.Hawezi kuishi bila usaidizi. Hata kama ni biashara lazima usfanye na mataifa mengine. Hiyo ni kujimwabafai tu. Wabanwe tu. Wameiiabisha Tanzania na hawafai kuwa katika ofisi hizo.
Sovereignty haina maana kuwa CCM iibe uchaguzi na kuua watu huku dunia ikiwa kimya. Ni sawa na mtu mwenye familia. Hauwezi kuuwa watoto wako huku majirani na serikali wakitizama tu. Ukiulizwa unakodoa macho kwa hasira na kusema hawa ni watoto wangu. Hiyo ni argument ya kijinga.
Miaka ya 70s walileta ujinga wao kwa Nyerere akawafukuza wajerumani na Waingereza kama Mbwa koko na vipesa vyao akawarudishia, hawawezi kututisha na ujinga wao, wameambiwa kama wanao ushahidi kwa hayo wanayoyasema watoe ili tujadiliane, badala ya kuyaleta ili yatolewe majibu, wao wanatishia na misaada, wajinga sana hawaHawezi kuishi bila usaidizi. Hata kama ni biashara lazima usfanye na mataifa mengine. Hiyo ni kujimwabafai tu. Wabanwe tu. Wameiiabisha Tanzania na hawafai kuwa katika ofisi hizo.
Sovereignty haina maana kuwa CCM iibe uchaguzi na kuua watu huku dunia ikiwa kimya. Ni sawa na mtu mwenye familia. Hauwezi kuuwa watoto wako huku majirani na serikali wakitizama tu. Ukiulizwa unakodoa macho kwa hasira na kusema hawa ni watoto wangu. Hiyo ni argument ya kijinga.
Mbona wao hawakumtuma balozi wao aliyepo Tanzania?, wacha kujishusha, hawawezi kutufanya lolote hawa, wanadhani Tanzania ni Kenya ambayo wanaitikisa wapendavyo.Ambassador kakanusha hku waziri anabwetuka tu na kutoa macho ni km kuna mtu ulaya atamsikiza..
Si wamtume ambassador akatoe hayo maneno hko au hata mreply katika social networks zao km nyinyi hamtaki misaada wala nn mukione cha moto..
Hzo zinaitwa kelele za chura babu
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Nani huyo sasa, kama ninyi hamheshimu utu na uhai wa watu wenu... mnachekesha sanaImeisha hiyo. Tutashirikiana na yule anayeheshimu utu wa mwafrika.
Time never tell. Haina mdomo.Time will tell
Unatoka mkoa gani huo!?mkoa naotoka mimi kuna maskini 60% na mafukara 20% hizo yuro 27milioni zimeenda wapi sisi huku hali tete hayo ndio tunataka kusikia
Usilazimishe mambo weweTime never tell. Haina mdomo.
Imeisha hiyo subiri mengine.
Miaka ya 70s walileta ujinga wao kwa Nyerere akawafukuza wajerumani na Waingereza kama Mbwa koko na vipesa vyao akawarudishia, hawawezi kututisha na ujinga wao, wameambiwa kama wanao ushahidi kwa hayo wanayoyasema watoe ili tujadiliane, badala ya kuyaleta ili yatolewe majibu, wao wanatishia na misaada, wajinga sana hawa
Kwn siku hizi tanzania mna balozi EUMbona wao hawakumtuma balozi wao aliyepo Tanzania?, wacha kujishusha, hawawezi kutufanya lolote hawa, wanadhani Tanzania ni Kenya ambayo wanaitikisa wapendavyo.
Wewe ndiye unayelazimisha.Usilazimishe mambo wewe
Imeisha hiyo. Tutashirikiana na yule anayeheshimu utu wa mwafrika.
Kwahiyo umeanza kutupangia cha kifanya!? We kajamba nani unaubavu huo!?Kama imekwisha acheni kuitisha press conference...
Endeleeni na umasikini wenu ukisubiri misaada ya wazungu, stupidmkoa naotoka mimi kuna maskini 60% na mafukara 20% hizo yuro 27milioni zimeenda wapi sisi huku hali tete hayo ndio tunataka kusikia