Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
Hawa viongozi waliojipa mamlaka kwa "WIZI NA MABAVU" na hawa wengine "WANAOJIKOSHA KWA MKUU (Kwasababu ya matumbo yao na familia zao)" muda si mrefu wanaliangamiza taifa letu.
Wanaleta kiburi cha kijinga kwenye maswala ya muhimu kwa mustakbali na hatima ya taifa letu (Maswala muhimu hata kwa wale ambao hata hawajazaliwa bado na wale wala mimba zao kutunga).
WITO: Wao kama wanaona wana jeuri/viburi/ukaidi wa kupambana na wafadhili wetu na mataifa yenye nguvu duniani, wajikusanye na kujiorodhesha kwa majima kikundi chao na waende wakapambane nao kivyao huko. Wasitutumie kwa "NIABA" watanzania "WOTE" kupambana na wanaotuzidi hela/mejeshi/silaha/maarifa.