Tanzania yajibu mapigo kwa kauli za baadhi ya wabunge wa nchi za Ulaya

Waziri amekosea, amekwenda nje kabisa ya agenda. Naona ametoa tu vitisho na majigambo badala ya kujibu hoja. Haiwezi kusaidia kitu.

Hoja imetolewa na wabunge wa EU ndani ya vikao vya kamati ya bunge la EU, busara ilikuwa ni kwa waziri wa Tanzania kuomba kukutana na wabunge wa EU ili kuwapa ufafanuzi wa kile ambacho anakiamini.

Waziri ametengeneza jukwaa la vita ya kidiplomasia unnecessary, hiyo vita sisi waafrika hatuiwezi. Nasema hatuiwezi. Tujifunze kwa yaliyotokea Zimbabwe.

Binafsi naona serikali ya Tanzania haijajipanga kabisa katika hili, viongozi wanakurupuka kujibu ovyo ovyo kipropaganda sana. To win the battle you need to be smarter than your opponent.
 
Ushahidi gani unataka?Kwani siyo sahihi kusema kwamba Tanzania hatukuangaika na Corona?
Sasa kama walijua hatukuhangaika na Corona, kitu gani kiliwafanya watupe hizo pesa?, sisi hatukuomba hiyo pesa, nyege zao ndio ziliwafanya wazitoe, waache ujinga, pumbavu kabisa hawa jamaa, waende kuwatia vidole wakenya wenye kuhitaji mikopo na misaada ya Chakula.
 
Sijaelewa uzi huu, kuhusu drama zenu hizi na hao mabeberu wenu, mmeuanzisha humu kwenye jukwaa hili kwa nia ipi. Hayatuhusu sisi wakenya, wala hayaihusu nchi yetu ya Kenya. Alafu if I was to be completely honest, hivi vioja vyenu vya kila mara vina'bore' sana. Yaani ni sawa kabisa na kusoma ule ukurasa wa matangazo ya vifo kwenye gazeti. Tafuteni wataalamu wa kuwa andikia 'scripts' na mjitahidi zaidi pia kwenye kipengele nyeti cha ubunifu. Anyway, Moderator do the necessary.
Lengo ni kuwaonyesha kwamba sio Kenya pekee ambayo tunaipa kibano mara tu inapotuletea ujinga.

Mara kwa mara wakenya mnalia pale tunapo "retaliate" mnapotufanyia mambo ya kijinga kwamba tunawalenga wakenya pekee lakini sio nchi zingine.

Pia tunataka kuwaonyesha kwamba sisi sio taifa la mchezo, sisi hatuwaogopi wazungu kama ninyi mnavyowaogopa na kuwalamba miguu.
 
Waziri amekosea, amekwenda nje kabisa ya agenda. Naona ametoa tu vitisho na majigambo badala ya kujibu hoja. Haiwezi kusaidia kitu.

Hoja imetolewa na wabunge wa EU ndani ya vikao vya kamati ya bunge la EU, busara ilikuwa ni kwa waziri wa Tanzania kuomba kukutana na wabunge wa EU ili kuwapa ufafanuzi wa kile ambacho anakiamini.

Waziri ametengeneza jukwaa la vita ya kidiplomasia unnecessary, hiyo vita sisi waafrika hatuiwezi. Nasema hatuiwezi. Tujifunze kwa yaliyotokea Zimbabwe.

Binafsi naona serikali ya Tanzania haijajipanga kabisa katika hili, viongozi wanakurupuka kujibu ovyo ovyo kipropaganda sana. To win the battle you need to be smarter than your opponent.
Kwanini wao hawakutuma balozi wao kuja kuzungumza na serikali ya Tanzania?. Hii vita tumeshashinda na hapo ndio mwisho, hutosikia wakirudia kulisema tena hilo. Tuliwafukuza miaka ya 1970s, hatushindwi kuwafukuza hivi sasa kama wataendelea na upuuzi wao.
 
Waziri amekosea, amekwenda nje kabisa ya agenda. Naona ametoa tu vitisho na majigambo badala ya kujibu hoja. Haiwezi kusaidia kitu.

Hoja imetolewa na wabunge wa EU ndani ya vikao vya kamati ya bunge la EU, busara ilikuwa ni kwa waziri wa Tanzania kuomba kukutana na wabunge wa EU ili kuwapa ufafanuzi wa kile ambacho anakiamini.

Waziri ametengeneza jukwaa la vita ya kidiplomasia unnecessary, hiyo vita sisi waafrika hatuiwezi. Nasema hatuiwezi. Tujifunze kwa yaliyotokea Zimbabwe.

Binafsi naona serikali ya Tanzania haijajipanga kabisa katika hili, viongozi wanakurupuka kujibu ovyo ovyo kipropaganda sana. To win the battle you need to be smarter than your opponent.
Ufafanuzi upi tuwape hao wahuni wanaosema Tanzania ilaumiwe sababu ya machafuko huko Mozambique?

Tanzania sisi tunahusikaje na vikundi vya wahuni huko Mozambique?
 
Imeisha hiyo. Tutashirikiana na yule anayeheshimu utu wa mwafrika.
Bahati mbaya sana huyo mtu anayeheshimu mwafrika mweusi hayupo,hata mwafrika mwenyewe hamheshimu mwafrika mwenzie kwa "utu" wake,bali kwa vitu vyake,hata rais mwafrika anawaona wananchi wake kama mamburula tu,ndiyo maana anaeza kufanya chochote bila kufanywa chochote.
 
Hawezi kuishi bila usaidizi. Hata kama ni biashara lazima usfanye na mataifa mengine. Hiyo ni kujimwabafai tu. Wabanwe tu. Wameiiabisha Tanzania na hawafai kuwa katika ofisi hizo.

Sovereignty haina maana kuwa CCM iibe uchaguzi na kuua watu huku dunia ikiwa kimya. Ni sawa na mtu mwenye familia. Hauwezi kuuwa watoto wako huku majirani na serikali wakitizama tu. Ukiulizwa unakodoa macho kwa hasira na kusema hawa ni watoto wangu. Hiyo ni argument ya kijinga.

kwani bro umesikiliza video mpaka mwisho???

mbona hakuna alipokataa ushirikiano,ila ni kwa mashart ya kuheshimiana.
 
MY TAKE: Wale waliodhani kwamba "tit for tat" tunawafanyia Kenya pekee.......

Sisi hatijaribiwi, Mwalimu Nyerere alishawahi kuwafukuza wajerumani na kuwarudishia pesa zao walizokua wameipatia Tanzania kama misaada, Magufuli anajiandaa kuwarudishia yeyote atakayejaribu kutuchokonoa.
Ingekua nchi moja hivi upande wa kichwani saa hizi Rais wao angeshapanda ndege kwenda kupiga magoti ulaya Kwa kupiga cm angeona haitoshi
 
Waziri amekosea, amekwenda nje kabisa ya agenda. Naona ametoa tu vitisho na majigambo badala ya kujibu hoja. Haiwezi kusaidia kitu.

Hoja imetolewa na wabunge wa EU ndani ya vikao vya kamati ya bunge la EU, busara ilikuwa ni kwa waziri wa Tanzania kuomba kukutana na wabunge wa EU ili kuwapa ufafanuzi wa kile ambacho anakiamini.

Waziri ametengeneza jukwaa la vita ya kidiplomasia unnecessary, hiyo vita sisi waafrika hatuiwezi. Nasema hatuiwezi. Tujifunze kwa yaliyotokea Zimbabwe.

Binafsi naona serikali ya Tanzania haijajipanga kabisa katika hili, viongozi wanakurupuka kujibu ovyo ovyo kipropaganda sana. To win the battle you need to be smarter than your opponent.
Wewe ndiye umekurupuka. EU wanahojije hela zimetolewa kwa kigezo gani, kwa nini, ilhali wao wenyewe ndio walizitoa??? Kama walituhonga wakidhani tutawanyenyekea na kuwalamba migongo na miguu, wasahau! Tanzania ya sasa inajitambua sana tu. Baada ya makampuni yao ya kinyonyaji kupigwa panga, na kibaraka wao -- Mr Mzungu -- kukataliwa na wananchi, sasa wanajifanya kufuatilia matumizi ya fedha yetu halali??? Tutawagaragaza sana tu awamu hii kama hamtaki kushughulikia mambo yenu ya Covid-19 huko Ulaya. Halafu naona sasa Prof. Kabudi amezidisha upole. Alitakiwa kabisa awandikie barua ya LAST WARNING, OR ELSE!
 
Ambassador kakanusha hku waziri anabwetuka tu na kutoa macho ni km kuna mtu ulaya atamsikiza..

Si wamtume ambassador akatoe hayo maneno hko au hata mreply katika social networks zao km nyinyi hamtaki misaada wala nn mukione cha moto..

Hzo zinaitwa kelele za chura babu

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Sasa hivi dunia kijiji wewe mtukane Rais wako halafu tuma kwenye group la wasap tu uone kama taarifa hatoipata muhufika .unaongea kama unahara vile shida ujumbe kufika sio mpaka lazima uongelee kwenye tovuti zao Kwan wao waliongelea kwenye tovuti za serikali?
 
Ingekua nchi moja hivi upande wa kichwani saa hizi Rais wao angeshapanda ndege kwenda kupiga magoti ulaya Kwa kupiga cm angeona haitoshi
Au hata yule Mr Mzungu kama ndiye angekuwa kwenye hiyo nafasi. Hicho kitu kiepushiwe mbali kabisa!
 
Ambassador kakanusha hku waziri anabwetuka tu na kutoa macho ni km kuna mtu ulaya atamsikiza..

Si wamtume ambassador akatoe hayo maneno hko au hata mreply katika social networks zao km nyinyi hamtaki misaada wala nn mukione cha moto..

Hzo zinaitwa kelele za chura babu

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Kumbe hata huelewi kitu. Ambassador amekanusha upotoshaji wa watu kama ninyi wa Ufipa. Profesa yeye amewachapa hao jamaa zako mabeberu za uso! Huo unaitwa mgawanyo wa kazi na ushirikiano. Tanzania mpya hiyo! Go JPM Go!!!
 
MY TAKE: Wale waliodhani kwamba "tit for tat" tunawafanyia Kenya pekee.......

Sisi hatijaribiwi, Mwalimu Nyerere alishawahi kuwafukuza wajerumani na kuwarudishia pesa zao walizokua wameipatia Tanzania kama misaada, Magufuli anajiandaa kuwarudishia yeyote atakayejaribu kutuchokonoa.
Kubum kubam[emoji123]
 
Wacha kuitaja nchi yangu tukufu pamoja na raisi wangu Kenyatta kwenye uchafu na upumbavu huo wenyu hapo matopeni.
 
hiii nchi sio ya jiwe na genge lake la CCM fursa zitolewe kwa usawa sio chato tu na chamwino hatutegemei msaada lakini hela ikija lazima tuhoji zinaenda wapi stupid ni nyie walamba makalio...na kujifanya hamuoni
Endeleeni na umasikini wenu ukisubiri misaada ya wazungu, stupid
 
hakuna wenye akili huko...wote ni vilaza
Nadhani Balozi wetu kule alisema kwamba tulichosikia ni uzushi tu, kwamba kilichokaa kikao sio Bunge zima bali ni kamati ndogo tu na ni wajumbe watano pekee ndio waliokuwa na ‘kiherehere’

Leo Waziri anasemaje? Are these people communicating and speaking the same language? Waziri nae anaanzaje kuongelea uzushi, tena wa ‘wahuni’ watano tu?
 
Back
Top Bottom