Tanzania yajibu mapigo kwa kauli za baadhi ya wabunge wa nchi za Ulaya

Huna akili kuna maraisi kibao tu hawajui kingereza hata kwenye hilo bunge la EU pia baadhi ya wa bungee wajumbe hawajui kingereza wanatumia lugha zao pumbavu
wabunge EU hawajui kingereza 🤣 🤣 🤣

Chief fanya mpango ule chakula cha mchana.
 
WANATUZIDI KILA KITU LAKINI SIO KUUZA UTU UNAONEKANA UPO TAYARI HATA KUWA MTUMWA TENA nyie ni watanzania kweli
 
Toka tupate uhuru Tanzania imetumia pesa yake ya ndani kuendesha uchaguzi nchi nzima pia miradi yote mikubwa tunatumia pesa za ndani 100% ingekuwa hivyo mpaka sasa tungekuwa vibaya sana kiuchumi TANZANIA ya sasa sio ile broo fungua macho fungua macho
 
Zaidi ya TZS billion 70 za kupambana na Corona zimeenda wapi?
 
Zaidi ya TZS billion 70 za kupambana na Corona zimeenda wapi?
Mo anautajiri wa T.3 serikali je inapesa kiasi gani B. 70 ndio serikali ya Tanzania ishindwe kulipa mbona mnajidharau sana hakika nyie ndio mabazazi ambao mpo tayari kupoteza utu wenu
 
Mo anautajiri wa T.3 serikali je inapesa kiasi gani B. 70 ndio serikali ya Tanzania ishindwe kulipa mbona mnajidharau sana hakika nyie ndio mabazazi ambao mpo tayari kupoteza utu wenu
Kwani ishu hapa ni kuweza kulipa au kushindwa kulipa?
 
Kwani ishu hapa ni kuweza kulipa au kushindwa kulipa?
Walitupa wakisema zipo wapi mmetumiaje tunawaludishia pesa zao kwani kuna shida gani labda zilipokuja tukazitumia kwenye mambo mengine pia Tanzania wagonjwa tulikuwa nao wa corona sasa sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…