Tanzania yajibu mapigo kwa kauli za baadhi ya wabunge wa nchi za Ulaya

Tanzania yajibu mapigo kwa kauli za baadhi ya wabunge wa nchi za Ulaya

Huna akili kuna maraisi kibao tu hawajui kingereza hata kwenye hilo bunge la EU pia baadhi ya wa bungee wajumbe hawajui kingereza wanatumia lugha zao pumbavu
wabunge EU hawajui kingereza 🤣 🤣 🤣

Chief fanya mpango ule chakula cha mchana.
 
Hawa viongozi waliojipa mamlaka kwa "WIZI NA MABAVU" na hawa wengine "WANAOJIKOSHA KWA MKUU (Kwasababu ya matumbo yao na familia zao)" muda si mrefu wanaliangamiza taifa letu.

Wanaleta kiburi cha kijinga kwenye maswala ya muhimu kwa mustakbali na hatima ya taifa letu (Maswala muhimu hata kwa wale ambao hata hawajazaliwa bado na wale wala mimba zao kutunga).

WITO: Wao kama wanaona wana jeuri/viburi/ukaidi wa kupambana na wafadhili wetu na mataifa yenye nguvu duniani, wajikusanye na kujiorodhesha kwa majima kikundi chao na waende wakapambane nao kivyao huko. Wasitutumie kwa "NIABA" watanzania "WOTE" kupambana na wanaotuzidi hela/mejeshi/silaha/maarifa.
WANATUZIDI KILA KITU LAKINI SIO KUUZA UTU UNAONEKANA UPO TAYARI HATA KUWA MTUMWA TENA nyie ni watanzania kweli
 
Yaani upewe hela za kupambana na COVID-19, wewe ukazitumie kusambazia mabango ya kampeni ya uchaguzi mkuu ya chama chako nchi nzima,kugawa hela barabarani kama pipi pamoja na kununua majogoo laki moja moja halafu waliokupa wahoji juu ya matumizi ya hela zao kisha uwafukuze?Hizi ni akili za wapi hizi?How come binadamu anakuwa na akili kama hizi?Ni nini hiki?Kati ya wewe na aliekupa hela zake ukazitumia vibaya kinyume na makubaliano ni nani mwenye makosa?
Toka tupate uhuru Tanzania imetumia pesa yake ya ndani kuendesha uchaguzi nchi nzima pia miradi yote mikubwa tunatumia pesa za ndani 100% ingekuwa hivyo mpaka sasa tungekuwa vibaya sana kiuchumi TANZANIA ya sasa sio ile broo fungua macho fungua macho
 
Zaidi ya TZS billion 70 za kupambana na Corona zimeenda wapi?
 
Zaidi ya TZS billion 70 za kupambana na Corona zimeenda wapi?
Mo anautajiri wa T.3 serikali je inapesa kiasi gani B. 70 ndio serikali ya Tanzania ishindwe kulipa mbona mnajidharau sana hakika nyie ndio mabazazi ambao mpo tayari kupoteza utu wenu
 
Mo anautajiri wa T.3 serikali je inapesa kiasi gani B. 70 ndio serikali ya Tanzania ishindwe kulipa mbona mnajidharau sana hakika nyie ndio mabazazi ambao mpo tayari kupoteza utu wenu
Kwani ishu hapa ni kuweza kulipa au kushindwa kulipa?
 
Kwani ishu hapa ni kuweza kulipa au kushindwa kulipa?
Walitupa wakisema zipo wapi mmetumiaje tunawaludishia pesa zao kwani kuna shida gani labda zilipokuja tukazitumia kwenye mambo mengine pia Tanzania wagonjwa tulikuwa nao wa corona sasa sijui
 
Back
Top Bottom