Tanzania yakabidhiwa gawio la Tsh. bilioni 100 kutoka Kampuni ya Twiga

Achana na ma-Flyovers ya bei kubwa, zungumzia vile vituo vya Afya kila Kata vya TZS 400 - 500M tutapata Vituo almost 200. There we go, tumecheleweshwa sana. Tukutane trh 28.
Si tumeisha vijenga??
 
Hebu nikumbush


Hebu nikumbushe, hivi lile deni la taifa limefika kiasi gani tena?
Nambie wewe ni nchi ipi ya Africa aidaiwi?
Hata deni liweje tutalipa tu,sababu ya kulipa tunayo,fursa za kulipa madeni tunazo na nia tunayo tutalipa tu.
 
Hilo zee cheyo!!
Limejichokea kama ngedere wa mtoni!
 
Mungu anayeishi hataki mtu muaji, mtekaji, anayepora wafanyabiashara fedha zao, anayepiga watu risasi, anayebagua majimbo yalichagua upinzani, n.k
Ukiweza kuthibitisha hayo uliyoyaandika hapo juu???

Imeandikwa..... "Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu. 3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu. 4 Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu. 5 Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.
6 Kwa sababu hiyo hiyo mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu ambao hutumia muda wao wote kutawala. 7 Wal ipeni wote haki zao; mtu wakodi mlipe kodi; na mtoza ushuru mli pe ushuru; astahilie kunyenyekewa, mnyenyekee; astahiliye hesh ima, mheshimu.
Warumi13
 
Hivi hii jamii forum ni genge la mabeberu ila watanzania watawajibu 28/oktoba hamtaamini watumwa wakubwa nyie
 
Unataka uthibitisho wa lipi hapo? Kila kitu kiko wazi. Unadhani Mo alitekwaje? Kwa sababu gani? Kwa maagizo ya nqni?

Unadhani Azory Gwanda, Ben Sa8, Ney wa Mitego, n.k walitekwaje? Kwasabb gani? Kwa maagizo ya nqni?

Unadhani Lisu alipigwa risasi kwa maagizo ya nani? Kwann Magufuli alikataza kumuombea Lisu, kumchangia damu, kumtibia na hata akamvua ubunge?

Wafanyabiashara wa maduka ya fedha za kigeni waliporwa fedha zao mpk leo mpk kesho fedha zao hazijarejeshwa.

Kabendera, mwandishi wa habari aliteswa kama mnyama bila kosa lolote. Uonevu tu.

Unataka uthibitisho gani?
 
 
Haya yote ni kiki za kampeni ,tuko na lissu zamu hii hizo hela hata upokee chooni hatutoi kiki
 
 
Mkuu, kama tunaambulia S 200 million kwa mwaka wakati tuna shares, hivi zile $ 198 Billion zilitoka wa bila shares? Ni sawa na mtu unamdai million 10 halafu anuka 10000 au anakununulia bia unafurahia kwamba tunamahusiano mazuri!!

Ningekuwa ni mimi ningengangania tu zile Billion 198 na kuwaachia madini hata wachimbe mpaka siku ya mwisho wa dunia!!
 
Kuna watu wanapenda publicity, duh okay basi na kina Mkulima stain tunavyomlipa kila mwezi bilioni mbili muwe mnaonyesha live
 
Hivi Paskali.. tufafanulie kidogo,

Mwanzo ilikuwa Tsh Trillioni 460 tukaambiwa hii ndiyo kodi wanayodaiwa kwa kuikwepa miaka yote. Mdau mmoja akakokotoa akaona kila mtz atapata NOAH

Baadaye ikawa Tsh billioni 300 tukaambiwa hii ndiyo 'kishikauchumba' kwani ile trillioni 460 "wamewasamehe"

Leo ni Tsh billioni 100 tunaambiwa hii ni "gawio"

Swali, ile billioni 300 ulipaji ukoje ratiba yake? NOAH tuifute kabisa kwa akili zetu?
Halafu kama una miliki 16% unapataje 50/50 ya faida ya kampuni?
 
Gawio hilo Kwio??? Hahahahahahaaaaa... Kuna mafuriko huku nje..
 
Gawio wakati Wananchi wananjaa huo ni upuuzi.
 
Siwezi nadhani kwamba walitekwa na rais sababu hata wewe anayetaka nadhani hivyo huna uthibitisho wa yeye kuwateka au kutoa maagizo.
Ulimuombea Tundu nyumbani kwako au kwenye nyumba ya ibada unayoamini ukaja kuzuiwa usiombe?
Ulienda kutoa mchango wa damu hospitalini ukakataliwa au ulitaka uwekewe mrija itoke kwako iingie kwa lisu direct?
Unazijua sababu za hao wafanyabiashara wa fedha za kigeni unaosema waliporwa? Walipokua wanaipora serikali uliwahi kusema?
Unajua alichokiri kabendera au unaongea uliposikiasikia tuu?

Tukiacha ubinafsi tunaweza fanikiwa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…