Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Lissu ni rais wa wasomi wa Twitter, wanayo Jamhuri yao ya kina Maria Sarungi na Zitto Kabwe.Ripoti ya makinikia iliyoleta matunda haya,
Mgombea wa Urais kupitia Chadema Bwn. Lisu aliiita takataka.
Sasa ndio mtaona kuwa Lisu hana judgement nzuri, na hafai kuongoza nchi.
Lissu anasumbuliwa na majivuno ya kisomi, yanamnyima uwezo wa kutaka kujua asiyoyajua.
Aliwatukana wale maprofesa na hawezi kuona kama alikosea jambo lolote.