Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Lissu ni rais wa wasomi wa Twitter, wanayo Jamhuri yao ya kina Maria Sarungi na Zitto Kabwe.Ripoti ya makinikia iliyoleta matunda haya,
Mgombea wa Urais kupitia Chadema Bwn. Lisu aliiita takataka.
Sasa ndio mtaona kuwa Lisu hana judgement nzuri, na hafai kuongoza nchi.
Nimechukuwa muda wangu kukujibu nikidhani una nia ya dhati na dhamira njema ya kubishana kwa hoja. Lkn naona unqanza kupindisha ulimi na kuanza kutoa maneno ya shombo.Siwezi nadhani kwamba walitekwa na rais sababu hata wewe anayetaka nadhani hivyo huna uthibitisho wa yeye kuwateka au kutoa maagizo.
Ulimuombea Tundu nyumbani kwako au kwenye nyumba ya ibada unayoamini ukaja kuzuiwa usiombe?
Ulienda kutoa mchango wa damu hospitalini ukakataliwa au ulitaka uwekewe mrija itoke kwako iingie kwa lisu direct?
Unazijua sababu za hao wafanyabiashara wa fedha za kigeni unaosema waliporwa? Walipokua wanaipora serikali uliwahi kusema?
Unajua alichokiri kabendera au unaongea uliposikiasikia tuu?
Tukiacha ubinafsi tunaweza fanikiwa zaidi
Nimechukuwa muda wangu kukujibu nikidhani una nia ya dhati na dhamira njema ya kubishana kwa hoja. Lkn naona unqanza kupindisha ulimi na kuanza kutoa maneno ya shombo.
Mm nina maneno machafu zaidi yako usinipeleke huko nisije nikafungiwa JF.
Jikite kwenye hoja. Vinginevyo nipotezee.
Huo ndio mbadala wa Noah zetu? Ni YEYE tu
Mkuu lini Chadema na mgombea wenu mlikubali kuwa makanikia zilikuwa na thamani kiasi cha kutoa chenji ya bilioni 100? Mlisema kwa kuyazuia tutanyolewa bila maji!!!!Mheshimiwa Magufuli anawakosesha sana usingizi. Yaani anawachezesha kwata mpaka mnajichanganya wenyewe. Subirini kura atakazopata tarehe 28 Oktoba, wengine kati yenu pengine mkaishia Mirembe. Wajanja wameanza kujiunga upande wa ushindi, kimbia ujiondoe huko kwa wakala wa mabeberu.Kampeni hii!
Hii huenda ni chenji tu ya makinikia yaliouzwa nje baada ya kuzuiwa humu nchini maana tuliambiwa mchanga ule ilikuwa na madini ya thamani kubwa .
Tuambieni zilipo dola bilion 190 (Shilingi Trillion 425) ambazo ACACIA a. k. a Barick walituibia. Sisi hatuna haja na hivyo vijisenti senti kutoka kwa hao jamaa. Watulipe hela zetu zote badala ya hizi pipi wanazotulambisha
Acha udanganyifu. Lini mmepata hizo bili 100 toka kwenye makinikia? Hizo ni fedha (hewa) za kwenye matamko tu.Mkuu lini Chadema na mgombea wenu mlikubali kuwa makanikia zilikuwa na thamani kiasi cha kutoa chenji ya bilioni 100?
Asubuhi na mapema kichinjio kinaenda kumchinja mgombea wa chama cha mbowePamoja sana Azizi J Hamad unaachaje kumchagua John Pombe Magufuli sasa
28 tunachukua tunaweka waaaaa
Asubuhi na mapema kichinjio kinaenda kumchinja mgombea wa chama cha mbowe
Mimi nipo SumbawangaNa leo tunaliamsha Dude!!!!!!
Comred uko mitaa gani