Ngigana
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 2,106
- 1,443
Kwetu kuna corona tusije waambukiza Wakenya, ndege zao zikija kwetu zisije beba virus🙄TATIZO mkenya anataka kukinga mafuriko kwa mkono hahahahhahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwetu kuna corona tusije waambukiza Wakenya, ndege zao zikija kwetu zisije beba virus🙄TATIZO mkenya anataka kukinga mafuriko kwa mkono hahahahhahahaha
Wajue tu kuwa Boss hanuniwinyie sinamsema ni matajiri kuliko sisi, sasa pandeni hizo ndege zenu wenyewe!!! soko lene tumeshaliziba kwa kuongeza route za rwanda air na ethiopian airlines ambazo hawatuweki quaranteen, MASIKINI UNAMGOMEA TAJIRI YAKO POOR KENYANS
Waeke kabisa hata sisi tumechoka na nyie miccm mijinga sana .Mujenge hio ukuta tu huko chato lakini hapo Arusha muwache maana tunao ndugu zenu wanaofanya biashara huku Kenya wengi.Hakuna Cha normal business na Kenya. ikibidi tutajenga ukuta au kuweka waya katika mpaka wote wa Kenya na Tanzania Kama USA ilivyofanya na Mexico..
Mlipokua mnafunga mipaka hao ndugu zenu wa Arusha walikua wameacha kufanya biashara huko Kenya?Waeke kabisa hata sisi tumechoka na nyie miccm mijinga sana. Mujenge hio ukuta tu huko chato lakini hapo Arusha muwache maana tunao ndugu zenu wanaofanya biashara huku Kenya wengi.
Hili suala sio la CCM tena ni suala la nchi hakuna mwananchi atakuelewa na hakuna mwananchi wa TZ anaepinga hatua zilizochukuliwa na serikali ya TZ dhidi ya COVID hata wakenya wanakubali Magufuli alifanya vyema.Waeke kabisa hata sisi tumechoka na nyie miccm mijinga sana .Mujenge hio ukuta tu huko chato lakini hapo Arusha muwache maana tunao ndugu zenu wanaofanya biashara huku Kenya wengi.
Arusha mnakuja kuiba Tanzanite na kununua vitunguu na mahindi huko ndio tutaanza kuweka ukutaWaeke kabisa hata sisi tumechoka na nyie miccm mijinga sana. Mujenge hio ukuta tu huko chato lakini hapo Arusha muwache maana tunao ndugu zenu wanaofanya biashara huku Kenya wengi.
Wewe pambana na umaskini yako huko Chato wacha ndugu zako wajitafutie riziki.Arusha mnakuja kuiba tanzanite na kununua vitunguu na mahindi huko ndio tutaanza kuweka ukuta
Hakuna Cha normal business na Kenya. Ikibidi tutajenga ukuta au kuweka waya katika mpaka wote wa Kenya na Tanzania Kama USA ilivyofanya na Mexico.
Wameuziwa mahindi ya 1980 hukoUnazuia ndege halafu wananunua Mazao Brazil wewe Wananchi wako wanabaki Maskini
Route karibia 30 kwa week halafu wanaleta kiburi? Poor KenyansFor the First time naona watanzania wakiwa very Partiotic...tuna serikali inayotupa kiburi na kutufanya tujiamini.
People love their country and proud of it.
La quarantine tumelimaliza now tupeni route za kuja kwenu ndo tuelewane,hamuwezi kurusha KA kuja kwetu while ATCL haziji kwenu...
Sisi km watanzania hatutaki suluhu kirahisi rahisi hivi...Mlilikoroga wenyewe sasa lazima mlinywe na mlimeze.
And next time mnapoanzisha vita na sisi muwe mnajua kabisa itakavyoisha sio kukurupuka kurupuka tu, km hamjui its for the best of your interest mjitulize tu coz kipimo mtakachotupimia sisi tutawapimia mara mbili na bonus on top of it.
cc wazalendo wenzangu.
Hiyo ndiyo arrogance ya Wakenya, wasome historia hamna aliyetudhihaki akabaki salama, wawaulize waganda, katika vita ya kagera, nigeria vita ya Biafra na mataifa ya kusini mwa afrika tulichowahi kukifanya, bila kusahau tulichokifanya kwa m 23 huko drc kwa mwavuli wa un.Wamazidi fitina na maringo. Sasa wayaone wao wenyewe!
bidhaa zetu za kilimo kama mahindi, asali, mboga mboga etc hayajakosa soko, kumbuka tanzania inavutia wawekezaji wa aina mbalimbali kuja kujenga viwanda hivyo tunayahitaji kwa ajili ya kufeed viwanda vyetu, tz hatuna shida na ndege zenu kwani tuna za kwetu na tayari nafasi ya KQ imeshazibwa na ETHIOPIAN NA RWANDA AIR, WATOTO NA WAPUUZI WAKUBWA MSIOJIELEWA NI WAKENYA MNAESHINDANA NA UNAYEMTEGEMEA KWA KILA KITU! Hata mlipochinjana 2007 TANZANIA ndiyo ilikuwa wa kwanza kuwasaidia. kuna upendo zaidi ya huo? sasa tume amua ni kuwanyoosha tuNchi kubishana na kuzibiana fursa zenye manufaa kwa wananchi wake ni utoto na ujinga.
Kama ni lazima kufanya huu utoto basi nasimama upande wa nchi yangu kuwanyoosha hawa majirani. Uzuri ni kuwa utoto na ujinga tz tunauweza sana, majirani watanyooka tu.
Tuwauzie mahindi viwanda vyetu vya kuprocess unga vipate wapi malighafi? Tanzania sasa tuna viwanda mjomba, fikiri nje ya box hii siyo ile Tanzania ya kuuza mahindi na kununua unga!Unazuia ndege halafu wananunua Mazao Brazil wewe Wananchi wako wanabaki Maskini
Hujui kitu fala wewe, Ardhi yetu yote tuzalishe mahindi tusage unga halafu tule ugali tushibe tuzidi kuwa masikini badala ya kuuza tupate maendeleo.tuwauzie mahindi viwanda vyetu vya kuprocess unga vipate wapi malighafi? Tanzania sasa tuna viwanda mjomba, fikiri nje ya box hii siyo ile tanzania ya kuuza mahindi na kununua unga!
Tunaprocess unga katika viwanda vyetu, vijana wetu wanapata ajira, pumba za mahindi zinazopatikana tunatengeneza vyakula vya mifugo, vijana wanaendelea kupata ajira, unga tunakula na ziada na tunauza kwa wahitaji kama Kenya na kwingineko tunapata fedha za kigeni, UKIUZA MAHINDI WEWE FALA UMEUZA AJIRA KWA WENGINE, PIA UMEWAPA FAIDA YA ZIADA KWA BYPRODUCTS ZA MAHINDI KAMA PUMBA KWA AJILI YA KUTENGENEZEA VYAKULA VYA MIFUGO!Hujui kitu fala wewe, Ardhi yetu yote tuzalishe mahindi tusage unga halafu tule ugali tushibe tuzidi kuwa masikini badala ya kuuza tupate maendeleo
Kenya wanapaswa wapate fundisho kwanza, wamekuwa vichwamaji sana.Kuna vitu vingine ni vya kijinga sasa, kuendelea kulikumbatia limzozo la ajabu ajabu hamna mpango cha msingi maisha yarejee normal business should re operate again ma covid yenye ni janja ya waxungu na nampongeza Jaden ameweza kutumia fursa ametumbua pesa za wazungu vi deadly
Yaan juzzi nimemtazama M7 kapungua mzee wa watu kweli alikuwa anawaza na kuwazua lkn nikimtazama Jaden ako amenenepa
Hiyo ndiyo arrogance ya Wakenya, wasome historia hamna aliyetudhihaki akabaki salama, wawaulize waganda, katika vita ya kagera, nigeria vita ya Biafra na mataifa ya kusini mwa afrika tulichowahi kukifanya, bila kusahau tulichokifanya kwa m 23 huko DRC kwa mwavuli wa UN.