Tanzania yakataa ombi la Kenya la kuomba msamaha kuhusu mzozo wa zuio la ndege za Kenya

Tanzania yakataa ombi la Kenya la kuomba msamaha kuhusu mzozo wa zuio la ndege za Kenya

Ndugu zetu wakenya tunawapenda ngoja tumalize jambo letu kwanza
 
nyie sinamsema ni matajiri kuliko sisi, sasa pandeni hizo ndege zenu wenyewe!!! soko lene tumeshaliziba kwa kuongeza route za rwanda air na ethiopian airlines ambazo hawatuweki quaranteen, MASIKINI UNAMGOMEA TAJIRI YAKO POOR KENYANS
Wajue tu kuwa Boss hanuniwi
 
Hakuna Cha normal business na Kenya. ikibidi tutajenga ukuta au kuweka waya katika mpaka wote wa Kenya na Tanzania Kama USA ilivyofanya na Mexico..
Waeke kabisa hata sisi tumechoka na nyie miccm mijinga sana .Mujenge hio ukuta tu huko chato lakini hapo Arusha muwache maana tunao ndugu zenu wanaofanya biashara huku Kenya wengi.
 
Waeke kabisa hata sisi tumechoka na nyie miccm mijinga sana. Mujenge hio ukuta tu huko chato lakini hapo Arusha muwache maana tunao ndugu zenu wanaofanya biashara huku Kenya wengi.
Mlipokua mnafunga mipaka hao ndugu zenu wa Arusha walikua wameacha kufanya biashara huko Kenya?

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Waeke kabisa hata sisi tumechoka na nyie miccm mijinga sana .Mujenge hio ukuta tu huko chato lakini hapo Arusha muwache maana tunao ndugu zenu wanaofanya biashara huku Kenya wengi.
Hili suala sio la CCM tena ni suala la nchi hakuna mwananchi atakuelewa na hakuna mwananchi wa TZ anaepinga hatua zilizochukuliwa na serikali ya TZ dhidi ya COVID hata wakenya wanakubali Magufuli alifanya vyema.

Sasa Kenya walitutengenezea mazingira magumu na kutuhujumu hata nchi zilipokubaliana kwamba kila raia apime kwao na aonyeshe cheti Kenya wakavunja makubaliano.

Sasa hata hii ya kuomba maridhiano tena wakikubaliana inawezekana baada ya makubaliano Kenya wakavunja tena makubaliano Ndio maana TZ imeamua kuacha kuzungumza na vigeugeu wasio na msimamo.


Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
For the First time naona watanzania wakiwa very Partiotic...tuna serikali inayotupa kiburi na kutufanya tujiamini.

People love their country and proud of it.

La quarantine tumelimaliza now tupeni route za kuja kwenu ndo tuelewane,hamuwezi kurusha KA kuja kwetu while ATCL haziji kwenu...

Sisi km watanzania hatutaki suluhu kirahisi rahisi hivi...Mlilikoroga wenyewe sasa lazima mlinywe na mlimeze.

And next time mnapoanzisha vita na sisi muwe mnajua kabisa itakavyoisha sio kukurupuka kurupuka tu, km hamjui its for the best of your interest mjitulize tu coz kipimo mtakachotupimia sisi tutawapimia mara mbili na bonus on top of it.

cc wazalendo wenzangu.
 
For the First time naona watanzania wakiwa very Partiotic...tuna serikali inayotupa kiburi na kutufanya tujiamini.

People love their country and proud of it.

La quarantine tumelimaliza now tupeni route za kuja kwenu ndo tuelewane,hamuwezi kurusha KA kuja kwetu while ATCL haziji kwenu...

Sisi km watanzania hatutaki suluhu kirahisi rahisi hivi...Mlilikoroga wenyewe sasa lazima mlinywe na mlimeze.

And next time mnapoanzisha vita na sisi muwe mnajua kabisa itakavyoisha sio kukurupuka kurupuka tu, km hamjui its for the best of your interest mjitulize tu coz kipimo mtakachotupimia sisi tutawapimia mara mbili na bonus on top of it.

cc wazalendo wenzangu.
Route karibia 30 kwa week halafu wanaleta kiburi? Poor Kenyans
 
Wamazidi fitina na maringo. Sasa wayaone wao wenyewe!
Hiyo ndiyo arrogance ya Wakenya, wasome historia hamna aliyetudhihaki akabaki salama, wawaulize waganda, katika vita ya kagera, nigeria vita ya Biafra na mataifa ya kusini mwa afrika tulichowahi kukifanya, bila kusahau tulichokifanya kwa m 23 huko drc kwa mwavuli wa un.
 
Nchi kubishana na kuzibiana fursa zenye manufaa kwa wananchi wake ni utoto na ujinga.

Kama ni lazima kufanya huu utoto basi nasimama upande wa nchi yangu kuwanyoosha hawa majirani. Uzuri ni kuwa utoto na ujinga tz tunauweza sana, majirani watanyooka tu.
bidhaa zetu za kilimo kama mahindi, asali, mboga mboga etc hayajakosa soko, kumbuka tanzania inavutia wawekezaji wa aina mbalimbali kuja kujenga viwanda hivyo tunayahitaji kwa ajili ya kufeed viwanda vyetu, tz hatuna shida na ndege zenu kwani tuna za kwetu na tayari nafasi ya KQ imeshazibwa na ETHIOPIAN NA RWANDA AIR, WATOTO NA WAPUUZI WAKUBWA MSIOJIELEWA NI WAKENYA MNAESHINDANA NA UNAYEMTEGEMEA KWA KILA KITU! Hata mlipochinjana 2007 TANZANIA ndiyo ilikuwa wa kwanza kuwasaidia. kuna upendo zaidi ya huo? sasa tume amua ni kuwanyoosha tu
 
Unazuia ndege halafu wananunua Mazao Brazil wewe Wananchi wako wanabaki Maskini
Tuwauzie mahindi viwanda vyetu vya kuprocess unga vipate wapi malighafi? Tanzania sasa tuna viwanda mjomba, fikiri nje ya box hii siyo ile Tanzania ya kuuza mahindi na kununua unga!
 
tuwauzie mahindi viwanda vyetu vya kuprocess unga vipate wapi malighafi? Tanzania sasa tuna viwanda mjomba, fikiri nje ya box hii siyo ile tanzania ya kuuza mahindi na kununua unga!
Hujui kitu fala wewe, Ardhi yetu yote tuzalishe mahindi tusage unga halafu tule ugali tushibe tuzidi kuwa masikini badala ya kuuza tupate maendeleo.
 
Hujui kitu fala wewe, Ardhi yetu yote tuzalishe mahindi tusage unga halafu tule ugali tushibe tuzidi kuwa masikini badala ya kuuza tupate maendeleo
Tunaprocess unga katika viwanda vyetu, vijana wetu wanapata ajira, pumba za mahindi zinazopatikana tunatengeneza vyakula vya mifugo, vijana wanaendelea kupata ajira, unga tunakula na ziada na tunauza kwa wahitaji kama Kenya na kwingineko tunapata fedha za kigeni, UKIUZA MAHINDI WEWE FALA UMEUZA AJIRA KWA WENGINE, PIA UMEWAPA FAIDA YA ZIADA KWA BYPRODUCTS ZA MAHINDI KAMA PUMBA KWA AJILI YA KUTENGENEZEA VYAKULA VYA MIFUGO!
 
Kuna vitu vingine ni vya kijinga sasa, kuendelea kulikumbatia limzozo la ajabu ajabu hamna mpango cha msingi maisha yarejee normal business should re operate again ma covid yenye ni janja ya waxungu na nampongeza Jaden ameweza kutumia fursa ametumbua pesa za wazungu vi deadly

Yaan juzzi nimemtazama M7 kapungua mzee wa watu kweli alikuwa anawaza na kuwazua lkn nikimtazama Jaden ako amenenepa
Kenya wanapaswa wapate fundisho kwanza, wamekuwa vichwamaji sana.
 
Hiyo ndiyo arrogance ya Wakenya, wasome historia hamna aliyetudhihaki akabaki salama, wawaulize waganda, katika vita ya kagera, nigeria vita ya Biafra na mataifa ya kusini mwa afrika tulichowahi kukifanya, bila kusahau tulichokifanya kwa m 23 huko DRC kwa mwavuli wa UN.

Wajinfunze namna Mungu alivyotuinua juu ya mbabe wao CORONA. Wanapashwa wabadilike maana Tanzania si nchi ya kawaida. Wakiendelea na ujanja wa nyani, itakuwa ni "SIKIO LA KUFA".
 
Jana nilikuwa nnasikikiza bbc swahili sasa kuna kitu kilinichekwsha sana ni Rwanda ktk vita zidi ya covid 19.

Chama cha soka cha rwanda kime propose ligi ya kandanda irejee sasa izo guideline waliojiwekea utacheka yaan as if wame copy toka nchi zilizoendelea na wao kuzi paste.

Timu zita gharamia upimaji wa covid 19 kwa kila mchezaji, kipimo kwa mchezaji mmoja ni not less 50 USD ss timu ina wachezaji 30 iyo gharama yake ni kiboko.

Hapo hapo uwezo wa vilabu vyao ni DUNI, mtu mmoja akatoa maoni ya kuwa vilabu viwili tu ndio ambavyo vinaweza at least kumudu iyo gharama.

My Take: Kuna nchi za Africa zina mikwara sana yaan mtu anataka afanye kqma ULAYA wanavyo fanya kisa TU SIFA.
 
Back
Top Bottom