Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF

Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF

Zile za mwanzo walijotahidi Sana kuzisimamia kiukweli madarasa tumeona,maji,masoko ya machinga,majengo ya huduma za dharura, kwenye utalii na Sasa tunasubiria vifaa tiba viingie Nchini tayari kugawanywa .

Sio saw kuleta maelezo ya Mwalimu maana alikuwa hajui chochote Kuhusu Uchumi.
Hapo kwenye vifaa tiba ndipo tutakapopigiwa! mabilioni yatatumika kuagiza chanjo za ugonjwa hewa wa corona, mashine za kupimia corona, madawa na vifaa vya kupambana na corona hewa!! Hela tunakopa kwao, tunanunua vitu kwao na hivyo kuwarudishia wao hizo pesa na mwisho wa siku tutalipa deni na riba juu!!
 
Acha mambo zako, serikali imeeleza mara nyingi kwamba itanunua ambulance zaidi ya 200,X Ray Machine za Hospital zote za Tanzania,CT Scan kwa hospital zote za Rufaa za Mikoa na Wilaya na MRI Machine kwa hospital zote za Rufaa za Kanda.

On top of that Kuna mitambo inakuja ya kutafutia maji na kuchimbia maji.
Screenshot_20220524-204657.png
 
Hivi hio nafuu ni percent ngapi ? na kwa muda gani ?

Kwa sera za kijamaa na kujitegemea nyerere alikuwa sahihi sana na akili kubwa. Swali ni, Tanzania ya leo ni ya kijamaa?
 
kwa mikopo hii ukiwacheka wamasai kinachowakuta jua kesho ni kwako..!! kuna siku tutaamka tunaambiwa sisi ni wavamizi mama anadhani kukopa ndio kumaliza matatizo ndugai alimwambia ukweli akaonekana mbaya ila hii rate ya kukopa kuna kitu kitatukutaa walahii
 
Kwa sera za kijamaa na kujitegemea nyerere alikuwa sahihi sana na akili kubwa. Swali ni, Tanzania ya leo ni ya kijamaa?
Nadhani haujamuelewa Nyerere kwenye hio clip, Hasemi mikopo ni Mibaya wala hajalaumu kuanzishwa kuanzishwa kwake madhumuni yalikuwa ni bora kabisa..., anachoongelewa ni hiki chombo kutumiwa na baadhi ya developed countries kama tool ya kuwa-marginalize developing countries kwa kuwapangia sera....., hayo ya Ujamaa na vinginevyo ni topic tofauti ingawa kwenye Kujitegemea labda ndio tujiulize tunakoelekea ni kwenye kujitegemea au kuendelea kuwa tegemezi
 
Okey mkuu
 
Ndugai ni Spika mstaafu wa bunge la Jamhuri wa Tanania na mkereketwa wa maslahi ya Tanganyika kwenye muungano!! Aliyoyasema tunaanza kuona dalili zake hata mwaka haujapita!1
Wameshaanza na Loliondo, eti waarabu wakutangaze bure Dubai, wanaundugu na sisi?
 
acha tukope bhana ,angalau tulambe asali wote,deni haliui .nchi inajiweza hii,tutalipa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ya kulipa deni utashangaa hadi hewa unayovuta utailipia kodi, unapimwa uzito na kukadiriwa hewa unayovuta kwa siku, na TRA watakudai kila mwezi kodi ya hewa uliyovuta ili tulipe deni, nyie subirini tu
 
Back
Top Bottom