mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ndugai ni Spika mstaafu wa bunge la Jamhuri wa Tanania na mkereketwa wa maslahi ya Tanganyika kwenye muungano!! Aliyoyasema tunaanza kuona dalili zake hata mwaka haujapita!1Nchi haipigwi mnada? Who is Ndugai by the way?
Hapo kwenye vifaa tiba ndipo tutakapopigiwa! mabilioni yatatumika kuagiza chanjo za ugonjwa hewa wa corona, mashine za kupimia corona, madawa na vifaa vya kupambana na corona hewa!! Hela tunakopa kwao, tunanunua vitu kwao na hivyo kuwarudishia wao hizo pesa na mwisho wa siku tutalipa deni na riba juu!!Zile za mwanzo walijotahidi Sana kuzisimamia kiukweli madarasa tumeona,maji,masoko ya machinga,majengo ya huduma za dharura, kwenye utalii na Sasa tunasubiria vifaa tiba viingie Nchini tayari kugawanywa .
Sio saw kuleta maelezo ya Mwalimu maana alikuwa hajui chochote Kuhusu Uchumi.
Acha mambo zako, serikali imeeleza mara nyingi kwamba itanunua ambulance zaidi ya 200,X Ray Machine za Hospital zote za Tanzania,CT Scan kwa hospital zote za Rufaa za Mikoa na Wilaya na MRI Machine kwa hospital zote za Rufaa za Kanda.Hapo kwenye vifaa tiba ndipo tutakapopigiwa! mabilioni yatatumika kuagiza chanjo za ugonjwa hewa wa corona, mashine za kupimia corona, madawa na vifaa vya kupambana na corona hewa!! Hela tunakopa kwao, tunanunua vitu kwao na hivyo kuwarudishia wao hizo pesa na mwisho wa siku tutalipa deni na riba juu!!
Kwa sera za kijamaa na kujitegemea nyerere alikuwa sahihi sana na akili kubwa. Swali ni, Tanzania ya leo ni ya kijamaa?Hivi hio nafuu ni percent ngapi ? na kwa muda gani ?
Yule na Mwendazake wote fyatu sasa unaweza wasikiliza watu wajinga?Ndugai ni Spika mstaafu wa bunge la Jamhuri wa Tanania na mkereketwa wa maslahi ya Tanganyika kwenye muungano!! Aliyoyasema tunaanza kuona dalili zake hata mwaka haujapita!1
Mbona imeshaanza kitambo tuHaya mambo ndio aliyakataa Ndugai Ipo siku nchi itapigwa mnada.
Ndugai mbona enzi za jpm alikuwa haongei wakati kipindi kile jamaa miaka mitano amekopa kuliko jk aliyekaa miaka 10Haya mambo ndio aliyakataa Ndugai Ipo siku nchi itapigwa mnada.
Nadhani haujamuelewa Nyerere kwenye hio clip, Hasemi mikopo ni Mibaya wala hajalaumu kuanzishwa kuanzishwa kwake madhumuni yalikuwa ni bora kabisa..., anachoongelewa ni hiki chombo kutumiwa na baadhi ya developed countries kama tool ya kuwa-marginalize developing countries kwa kuwapangia sera....., hayo ya Ujamaa na vinginevyo ni topic tofauti ingawa kwenye Kujitegemea labda ndio tujiulize tunakoelekea ni kwenye kujitegemea au kuendelea kuwa tegemeziKwa sera za kijamaa na kujitegemea nyerere alikuwa sahihi sana na akili kubwa. Swali ni, Tanzania ya leo ni ya kijamaa?
Okey mkuuNadhani haujamuelewa Nyerere kwenye hio clip, Hasemi mikopo ni Mibaya wala hajalaumu kuanzishwa kuanzishwa kwake madhumuni yalikuwa ni bora kabisa..., anachoongelewa ni hiki chombo kutumiwa na baadhi ya developed countries kama tool ya kuwa-marginalize developing countries kwa kuwapangia sera....., hayo ya Ujamaa na vinginevyo ni topic tofauti ingawa kwenye Kujitegemea labda ndio tujiulize tunakoelekea ni kwenye kujitegemea au kuendelea kuwa tegemezi
Naanza kumwelewa Ndugai....Haya mambo ndio aliyakataa Ndugai Ipo siku nchi itapigwa mnada.
Siku ya kupigwa mnada mtaliwa hadi mkMikopo oye, IMF oyee
Daah, funga mkanda , austerity measures, ili tuweze kulipa mikopo, inauma sanaHivi hio nafuu ni percent ngapi ? na kwa muda gani ?
Wameshaanza na Loliondo, eti waarabu wakutangaze bure Dubai, wanaundugu na sisi?Ndugai ni Spika mstaafu wa bunge la Jamhuri wa Tanania na mkereketwa wa maslahi ya Tanganyika kwenye muungano!! Aliyoyasema tunaanza kuona dalili zake hata mwaka haujapita!1
Akawaulize wamasai wa Loliondo, ghafla wanaitwa wavamiziMbona imeshaanza kitambo tu
acha tukope bhana ,angalau tulambe asali wote,deni haliui .nchi inajiweza hii,tutalipa tu.Daah, funga mkanda , austerity measures, ili tuweze kulipa mikopo, inauma sana
Siku ya kulipa deni utashangaa hadi hewa unayovuta utailipia kodi, unapimwa uzito na kukadiriwa hewa unayovuta kwa siku, na TRA watakudai kila mwezi kodi ya hewa uliyovuta ili tulipe deni, nyie subirini tuacha tukope bhana ,angalau tulambe asali wote,deni haliui .nchi inajiweza hii,tutalipa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app