Tanzania yakopeshwa Billion 459 kutoka korea kusini

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Tanzania imepewa mkopo wa billion 459 kutoka Korea kusini fedha hizo zitatumia kwenye ujenzi wa chuo cha AI and digital technology
Mimi najua hizo ela wamekopa za kuwalipa majaji wa mchongo kila siku kukopa hii nchi itauzwa
Source: Africaninsider
 
Hali ni mbaya sana tunarudi nyuma kila siku
ni aibu...mfano wangeweza kusema vyuo vyote nchini vitoe 10 asilimia ya mapato kuwezesha kujenga chuo kipya kwa ajili ya AI
Taasisi za umma nazo zifanye hivyo
kisha Serikali imalizie

Au hata wangesema usajili wa taasisi zote za kidini nchini watoe ada ya kiasi kadhaa kuchangia ujenzi huo
 
Tanzania imepewa mkopo wa billion 459 kutoka Korea kusini fedha hizo zitatumia kwenye ujenzi wa chuo cha AI and digital technology
Mimi najua hizo ela wamekopa za kuwalipa majaji wa mchongo kila siku kukopa hii nchi itauzwa
Source: Africaninsider
Bado hili limama linaendelea kukopa pesa na ku spend na toto lake, Abdul. Hii nchi ina mambo ya kiquma na kichoko sana.
 
Tanzania imepewa mkopo wa billion 459 kutoka Korea kusini fedha hizo zitatumia kwenye ujenzi wa chuo cha AI and digital technology
Mimi najua hizo ela wamekopa za kuwalipa majaji wa mchongo kila siku kukopa hii nchi itauzwa
Source: Africaninsider
Mhmmm chuo cha AI? Ama kweli tutaona mengi nyakati hizi...
 
Kama wamekopa kwa ajili ya kujenga chuo cha AI kama taarifa inavyosema basi wana ulemavu wa kudumu kwenye akili zao.
 
Back
Top Bottom