Tanzania yalaumu wageni kwa uhalifu, wapanga mpango wa kuwasaka mlango kwa mlango

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809

Dar es Salaam’s Regional Commissioner Paul Makonda. The RC has blamed foreigners for the spike in crime in Dar es Salaam. FILE PHOTO | NMG


In a week marked by xenophobic attacks in South Africa and strong backlash from even Tanzania’s parliament, Dar es Salaam’s Regional Commissioner Paul Makonda announced a plan to carry out door-to-door searches and registration of alleged immigrants in the country’s commercial capital. They are being blamed for the spike in crime.
The residential registry will identify where each and every city resident lives and work.
Building on an existing system that requires all local representative to keep tabs on and report all ''new'' people moving into their locations, Mr Makonda's directive will see local community groups tasked with detecting ''strangers'' or ''suspicious-looking people in their areas, and reporting them to the police or other law enforcement authorities for further action.
According to his office, there were 16,000 unidentified visitors in Dar es Salaam last year alone.
He further instructed ward, council and district leaders to work with immigration and national security officials to enforce his directive.
The issue of illegal immigrants has been a thorny one in Tanzania. Authorities say illegal aliens endanger the country’s social and economic stability and pose a security risk.

Mr Makonda accused illegal aliens of misusing state resources and taking over jobs and education opportunities meant for Tanzanians.
 
Wabongo wana roho mbaya sana. Wamejaa chuki na majungu chungu nzima. Punde si punde, utawaona hapa wakitiririka na roho zao nyeusi kama mkaa.
At least we dont kill them, not like what you kenyans did back then, Tunafuata taratibu na sheria, ulishawahi sikia mbongo anajali kuhusu foreigners? C tunaishi nao tu, so if the government decided to that for our safety, thats fine by me lakn sis watanzania hatuna shida na wageni wacha serkali etu ifanye inavojiskia
 
Wabongo wana roho mbaya sana. Wamejaa chuki na majungu chungu nzima. Punde si punde, utawaona hapa wakitiririka na roho zao nyeusi kama mkaa.
Duh!
Hivi umewahi sikia watanzania wakiuwa au kunyanyasa mgeni zaidi ya serikali kufuata utaratibu Wa kisheria dhidi ya wahamiaji haramu?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Unaweza linganisha alichosema makonda na ule upuuzi Wa jaguar na ukaungwa mkono na wakenya? Bila serikali kuona tatizo ulitegemea nini kingetokea? Wacheni chuki semeni iliyo kweli!
 
Mwogope Mungu wako, acha Maneno ya chuki dhidi ya watu wasiofikiria jambo hilo....
Usihamishe madhaifu yenu kwa wengine ili uhalalishe uharamia...kuna kiongzi Tanzania amewahi tamka chuki dhidi ya wahamiaji badala ya kufuata utaratibu Wa kisheria kama alivofanya Jaguar Wa huko kwenu?
Na ndio maana mimi husema ya kwamba tz ni kama sa ni tu vile hawajaamua kuwaua hawa ma “foreigners”

Tz na Sa wako na inferiority complex moja kubwa na ni wazembe.
 
Wafuate utaratibu sahihi Wa kisheria wasiwatese RAIA Wa nchi zingine hilo ndilo muhimu...
 
Hapa bongo Wanyasa,Warundi,Wakongo na Wakenya wamejaa
Wengi sana na tunaishi nao kwa amani kabisa, msumbiji watu wanauawa kwa chuki za kijinga za wenyeji, huko Kenya wameshatoa matamko kibao ukiachilia mbali lile la mbunge wao Jaguar, wamesahau walivojisemea hadharani kuwa madaktari watz wakienda watawamaliza..
 
Hatuui wageni hapa TZ. Kama wameingia kinyume na utaratibu tunawafikisha kortini. Then tunawarejesha kwao. Nukta.
Wafuate utaratibu Wa kisheria, RAIA watanzania hawana chuki na RAIA wengine na daima serikali hutumia utaratibu Wa kisheria dhidi ya wahamiaji haramu nchini...
Wasiwatendee wahamiaji unyama ni kinyume na haki za binadamu na utu...
Xenophobia sio kuua tu, hata kutia moto vifaranga wasio na hatia na kupiga ng'ombe wa wafugaji mnada ni kiashiria kizuri cha uovu huo. Nimetaja sisiemu yenu kimakusudi, maanake ndio sera ambayo wameiendeleza tangu jadi. Chuki dhidi ya wakenya. Rejea kwenye zile figisu dhidi ya Sylvia Mulinge, mkenya aliyeteuliwa na Vodacom. Upande wa pili nao mwendawazimu mmoja Jaguar aliamka na kichaa chake, ila kilichofata ni alikemewa kwa nguvu zote na wakenya na akafikishwa mahakamani. Nyie mlikenua tu vifaranga wakiungua. Makonda si ni kifaranga wa Jiwe? 1+1=2.
 
www.kenyans.co.ke/news/34729-angela-quintal-reveals-muthoki-mumo-was-more-targeted-tanzania-arrest
 
wamesahau walivojisemea hadharani kuwa madaktari watz wakienda watawamaliza..
ni vizuri tukiambiana ukweli dada, njaro za madaktari wenu ndizo zilizowakosesha kazi Kenya kwa maana walikuwa wamechoka/ wamefulia ajabu
 
Mnafik katika ubora wake, uongo uongo tu. Madaktari wa Kenya walisema kwamba wenzao kutoka Tz hawajahitimu vizuri kwenye taaluma yao na wakawaita manesi. Hawakusema chochote kuhusu kumaliza mtu yeyote yule. Madaktari wa Kenya wanajielewa sio wa kienyeji kama unavodhania, walifika mahakamani kusitisha mpango huo. Mpango ambao wakenya na serikali yao walikuwa wameshaukubali.
 
Zambi ya ukabila Haiwezi kukuacha salama [emoji23][emoji23][emoji23] yaani ni kama kula nyama ya mtu huwezi kuiacha,
Hizi chuki bakizeni huko huko,
Wakenya hamjazoea na hampendi kufata sheria nchini kwenu ndio maana mkiwa nchi zingine mnaona mnaonewa.
ni vizuri tukiambiana ukweli dada, njaro za madaktari wenu ndizo zilizowakosesha kazi Kenya kwa maana walikuwa wamechoka/ wamefulia ajabu
 
Hata Mo Dewji alipotekwa mlianza kwa kuwataja wakenya, ila mwishowe aibu iliwarudia nyie tena kwa kishindo. Sasa hapo mwenye 'zambi' ni nani? Najua ukweli unaujua, jaribu kutuvumilia sisi manyang'au, maanake huwa hatujui kufumbia macho na kujitia hamnazo. Utamaduni wetu ni kwamba yote huwa tunayatwaa mezani na kuyaanika hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…