Tanzania yalaumu wageni kwa uhalifu, wapanga mpango wa kuwasaka mlango kwa mlango

Bashite ana akili za kindezi ndezi kama wale wazulu kwanza yeye na genge lake ndio wahalifu namba moja
 
Dar es Salaam’s Regional Commissioner Paul Makonda.

Dar es Salaam’s Regional Commissioner Paul Makonda. The RC has blamed foreigners for the spike in crime in Dar es Salaam. FILE PHOTO | NMG

In a week marked by xenophobic attacks in South Africa and strong backlash from even Tanzania’s parliament, Dar es Salaam’s Regional Commissioner Paul Makonda announced a plan to carry out door-to-door searches and registration of alleged immigrants in the country’s commercial capital. They are being blamed for the spike in crime.
The residential registry will identify where each and every city resident lives and work.
Building on an existing system that requires all local representative to keep tabs on and report all ''new'' people moving into their locations, Mr Makonda's directive will see local community groups tasked with detecting ''strangers'' or ''suspicious-looking people in their areas, and reporting them to the police or other law enforcement authorities for further action.
According to his office, there were 16,000 unidentified visitors in Dar es Salaam last year alone.
He further instructed ward, council and district leaders to work with immigration and national security officials to enforce his directive.
The issue of illegal immigrants has been a thorny one in Tanzania. Authorities say illegal aliens endanger the country’s social and economic stability and pose a security risk.

Mr Makonda accused illegal aliens of misusing state resources and taking over jobs and education opportunities meant for Tanzanians.
Kabla sijachangia thread kawaida yangu mm huwa nasoma thread na kusoma posts ama comments za wadau.
Kuna mkenya pingli-nywee anachukulia hii xenophobia ameropoka sana mpk basi mpk nacheka.

Tanzania ni nchi ambayo ina huruma sana kiasi cha kwamba hiyo huruma inawaumiza wenyewe.Halafu imezungukwa na majiran wana roho mbaya haijawahi tokea.Sio Kenya wala Burundi wala Rwanda wala Malawi wala Mozambique.
Watu wa Mozambique wanakuja Tz na kuishi vzuri hata kwa uharamia ila watz kwenda kule wananyanyaswa.
Warundi ni waharibifu wa amani hapa Tanzania hususan kata ya juu kusin na kanda ya ziwa.
Ila watz tulinyamaza siku zote hzo.
Kenya Jaguar katamka maneno ya vitisho kwa watz walokuweko kule ila sisi hatukuwahi fanya hilo.Malawi kipindi cha 2014 cha yule mama yao Joyce Banda walitaka kupora lake nyasa tena kwa mtutu ilhali Tz hawakuwa na mzozo wowote nao luckly kikwete katumia diplomacy nzuri mpk sasa ziwa linatumika kwa wote.

Tukija ktk hili suala la makonda nimemsapoti.
Kama nilivyosema hapo juu kuwa Tz tuna huruma ambayo inatugharimu usalama wetu.
Kuna watu wanawapokea wageni na kukubali kubeba mizigo yao ilhali hao wageni wameingia kwa uharamia.
Hususan napoishi kuna watu wamepokea warundi wanaoishi Tz kwa uharamia.
Asa baadae huyo mgeni anakuja kufanya uhalifu unaomgharimu mwenyeji.
Tumewavumilia kwa miaka mingi sanaaaa.
Kanda ya ziwa na kanda ya juu kaskazini Bukoba,Kigoma,Musoma na Mwanza kuna matukio yametokea na yanaendelea kutokea ya kihalifu.
Watu wanaporwa wanabakwa na kuuliwa huko kigoma mpakani na wanaofanya hvyo ni raia wa Kirundi.
Tanzania haikuchoka kuwapokea na kuwahifadhi ila sasa hii imezidi uhalifu umepitiliza.
Sijaona ubaya wa Makonda kusema hvyo ilhali anazungumzia kuhusu usalama wetu na amezungumzia kwa lengo la usalama maana ht Kurasini kuna Warundi walikamatwa wamehusika na uhalifu na walikua wahamiaji haramu.
Hii ikiendelea itaathiri usalama wa nchi kwa ujumla.
Maana km huko kigoma watu wanashikiwa magobore na badu tukawavumilia warundi.
Utaropokaje kusema Tanzania tuna xenophobia ????
Kuna kipindi mtu itabidi ufanye kitu kujilinda wananduguuu!!!!!
Tusipochukua hatua sasa kaz tunayo.

Huwez fananisha na South Africa ambao hao wanasema kuwa eti wageni wamewazibia fursa zao ndio maana wao wako jobless.
Hii sababu walotoa wasouth ni ya kipumbavu na hii ndio Xenophobia yenyewe.
Aloyasema Jaguar kuwa tunaziba fursa za Wakenya ktk masoko yao hii ni sababu ya kipumbavu na ya kishostito kabbisa na hii ndio Xenophobia yenyewe.
Na wakenya ni wahuni haijawahi tokea.
Yani hata ukifuatilia EAC collapse of 1977 wakenya walifanya uhuni sana.
WAKENYA WAHUNI SANA MPK WANAKERA NA WANA ROHO MBAYA.

Unapozungumzia suala la Tanzania kuhamua kusaka wageni ili kuwagundua km ni wahamiaji halali ama haram ni kheri na busara.
Na sababu itolewayo ni ya kiusalama.
Na viongozi hawajakurupuka yametokea mengi mpk sasa ndio maana tunafaaa kupekua raia.
Kwan magereza ya Tz si yamejaa wafungwa wa Kenya pia walofanya ujambazi na waloingia ki uharamia???
Kwann tusiangalie usalama wa nchi yetu ???
Tena kasema anataka serikali ihakikishe km ni mhamiaji halali ama haram.
Kuna ubaya gani????

WAKENYA MUWE MNAONGEAGA FACTS MUDA MWINGINE SIO PUMBA,UMENIELEWA PINGLI-NYWEEE????!!!!
 
Na ndio maana mimi husema ya kwamba tz ni kama sa ni tu vile hawajaamua kuwaua hawa ma “foreigners”

Tz na Sa wako na inferiority complex moja kubwa na ni wazembe.
Sio tz na Sa tu. Ma nchi yote ya watu weusi yana mambo ya kingese sana. Kuanzia viongozi wao hadi watawaliwa.
 
Nimefanya kupitia juu juu kwenye insha yako hii maana naona umekimbilia kujibu comments za watu bila kwanza kusoma taarifa, kama unaelewa kingereza soma hii statement ya mkuu wenu ambayo alinukuliwa kwenye taarifa ya huu uzi "Mr Makonda accused illegal aliens of misusing state resources and taking over jobs and education opportunities meant for Tanzanians. "

Hayo hapo ndio aina ya matamshi yanayosbabisha wageni wanacharangwa mapanga kule south, kama kiongozi wa nchi unapolaumu wahamiaji haramu kwamba wamechukua ajira zote na fursa za kimasomo, hapo kwa makusudi unawasha moto kiunafiki, ili vijana wasio na ajira wataanza kuwachukia wageni wote bila kujali kama ni mhamiaji haramu au halali, leo hii nenda kule Afrika Kusini itokee umekumbana na hao makachinja chinja, hawatajali kama wewe ni mhamiaji wa aina gani, hata kama unafanya kazi ubalozini, ile tu wewe ni mgeni utachezea mapanga na kutiwa kiberiti.

Kama kiongozi mwenye busara hufai kutamka maneno yenye uchonganishi, ndio kama hayo ya Jaguar kusema ataanza kuwasaka wageni wanaofanya biashara zinazopaswa kufanywa na Wakenya.
Kimsingi, nchi zetu hizi hata miaka ije ipi lazima kutakua na wahamiaji baina yetu ambao hawafuati taratibu maana sheria zenyewe zimewekwa za kudhibiti uhamiaji, unakumbuka yule dada Mkenya mliyemkataa asiajiriwe Vidacom, yaani hao Vodacom walimtathimi na kuona anakidhi vigezo vyote, wakataka taratibu zote zifuatwe ila mkamkatalia na kuruhusu mzungu, sasa ikiwa kama huyo anakataliwa kwenye level kama hiyo, mtu wa kawaida atapitia mangapi.

Kiongozi kama unashida na wahamiaji, wewe hamasisha operation bila kufyatuka maneno ya kuleta chuki. La sivyo siku vijana watazingatia ushauri wako, watacharanga watu mapanga, yaani unawapa pasipoti na vibali wanavichana hawataki kuvisoma wala kujua wewe nani, mtaalam au mtu wa aina gani.
 
Wanadhani walivo na roho mbaya wao wakenya ndivyo walivyo watanzania hivyo wanajitia moyo na kujifariji kwa kuhamisha ufedhuli wao!
Wapuuzi sana hawa.

Huwenda hukuelewa nilichokieleza.
Halafu tuliza akili kwanza usiwe km unapapaswa.
Kule juu kabbisa taarifa inasema"Makonda blamed foreigners for the spike in crime".
Na ukiitizama hii taarifa uloileta usalama ndio main body lakin masuala ya fursaa yamekuja baadae km minor factors.
Ila major factor ni usalama.
Umeelewa ht kilicholetwa???

Halafu kuna utofauti kule south Africa wanavamia wahamiaji ambao wengi wao ni wawekezaji wakubwa na wadogo ktk biashara.
Inaonesha hawa mgeni uwe halali uwe haram wao chapa mapanga tu.
Ila Makonda kasema wahamiaji haram ndio tatizo kwetu ktk ustawi wa jamii yetu.
Mm nimestick ktk major factor ya usalama aliyoilenga Makonda hayo masuala ya social services pamoja na ajira ni minor factors.
Makonda hawez kuleta chuki kwasababu yeye amesema kuwa wahamiaji haram wasakwe.
Inamaana amelenga wahamiaji haram.
Na ndio maana amesema wahamiaji haram wanahujumu fursa zetu hyo ni kweli.
Maana wahamiaji haram hp Tz wanafanya Biashara kiharam kiasi ht kodi hawalip wanafanya na uhalifu wa kutosha wa kutuumiza still bado wanatumia na huduma zetu za kijamii.
Na kwakua wananchi huruma zetu zinatuponza basi tutashirikiana na serikali ili kumaliza hili.
Halafu angalia nature ya watu.
Watz hawanaga chuki za hovyo ndio maana nilikutolea mfano licha ya waburundi kubaka dada zetu na kupora mali kwa ujambaz Dar na kigoma bado tunawapokea na kubeba mizigo yao.
Inamaana sisi ni baba huruma na mama huruma.

Tofauti na south kuna kiongozi wao alitamka kuwa "huwez kukuta wasauzi wame dominate mji 80% nchi nyingine lakin kwetu wagen wanafanya hili sio sawa".
Nambie kat ya Makonda na huyu kiongozi wa South Africa nan ameleta maneno ya uchochezi??

Wakenya nyie wahuni aisee tutahurumia wengine ila sio Nyie.
Nyie jamaa ni nyoka hamna wema.
Asee nyie hata mm kuwaonea huruma siwez.
Mna roho mbaya na mnajali maslahi kuliko utu.
Hata muungano wa EAC mwaka 1977 factors nyingi za uvunjikaji mlizisababisha nyie kwa ubinafsi wenu wa kujali maslahi yenu wenyewe.
WAKENYA SIO WATU KABBISA NINYI.
 
Mabwege hawa bro.
Kumbafu kabbisa hawa.
Hata mm huwashangaa.
Kwanza hurumia wote ila sio Mkenya.
Mkenya anambagua mwenzie sembuse ww foreigner ??!!!!
 
Narudia tena kama kingereza kinakushinda, kwa taarifa za huu uzi, kiongozi wenu
- Amesema wahamiaji haramu wanachangia kwenye uhalifu
- Akaongeza wahamiaji haramu wanaharibu raslimali za serikali
- Akaongeza wahamiaji haramu wanamaliza fursa za ajira
- Akamalizia kwamba wahamiaji haramu wanamaliza fursa za kielimu
Baada ya yote hayo, akasema ataanza juhudi za kuwasaka mlango kwa mlango.

Kwa yeye kufyatuka kihivi wakati kuna taharuki za wageni kucharangwa mapanga South, kakosea, maana vijana wengi mtaani waliokosa ajira hawana jinsi wala muda wa kujua nani mhamiaji haramu au nani halali, wataanza chuki kwa kila mgeni, hata ukiwapa pasipoti na vibai wanavichana.
Kama hakua na unafki, angefanya opereshi zake bila kubwatuka, nakumbuka kuna kipindi mliwasaka wahamiaji na kuwasweka kwenye malori na hapakua na taharuki yoyote mjini, labda kule Kagera ambapo naskia mliwafukuza hata Watanzania halisi kisa mihemko.

Fukuzeni wageni ila bila kuibua chuki, mtumie busara na akili.
 
Mkuu we mbona mgumu kuelewa????!!!!!
Unakubali nn na unakataa nn???!!!!!!!
Nimekuelezea shortly kuwa Makonda ameelezea kuwa wageni wanaharibu amani.
Maana uhalifu unatibua amani km haujui na uhalifu wanaofanya wageni hususan waburundi ni ule wa ubakaji na uporaji tena kwa silaha.
We huoni aman imetoweka hapo???
Nikakuelezea kwa ujumla kuwa wanahujumu pia fursa za nchi(maliasili,ajira,huduma za Kijamii ambazo ni elimu pia)
Wewe umechambua nilicho generalize.
Tatizo lako we jamaa husomi ukaelewa.
Unachozungumza nimekielezea kwa kauli za generalizing.
Sijui umenipata hapo???

Kauli yake haiwez kuleta uchochezi nakusisitiza kauli ya Makonda haiwez kuleta uchochezi kwasababu Tz ni baba huruma mno.
Na hatuwezi marumbano.
Mtu akikosa ajira hujifikiria yeye km yeye.
Ingekua kuhusu kupata temper na kuanzisha vurugu tungeanzishia wahindi ambao wanakuja huku kuwekeza kipindi cha Mkapa na Kikwete wanatubagua na kuwajaza wahindi ktk kazi.
Sisi tulibaki kusikitika na kunyamaza mpk Magufuli alipowanyorosha wahindi.

Nakusisitiza Tz nature yetu hatuna chuki za kijinga jinga.
Ndio maana watu ama mataifa mengi yametufanya shamba la bibi na sisi tulibaki tunasikitika miaka yote tu hyo.Mpaka kaja Magufuli ndio anawachachafya sasa hv.
Sembuse iwe hii ya mwaka huu???
Tanzania ni nchi ya raia waoga,wenye huruma za kuwahumiza na waisoweza ht kujitetea waonewapo isipokuwa kulalama tu.
Hatuna hiyo kitu usitufananishe sisi na Nyie wakenya buddah.
 
Wabongo wana roho mbaya sana. Wamejaa chuki na majungu chungu nzima. Punde si punde, utawaona hapa wakitiririka na roho zao nyeusi kama mkaa.
Nchi inaongozwa na KUBWALAMAADUI, unategemea nn?
 
Jaman watz em achaneni Na hawa wakenya, wao c ndo wallianza kusema wahamiaji harammu hasa watz watolewe kenya, sas wao inawauma nn na sis tukiwatoa wahamiaji haramu tz? Tumeamua kujifunza kutoka kwa ndugu zetu Mana mbunge wao alitamka wazi kuwa wageni watolewe basi wacha na sis tuwatoe tu,

..win win
 
Hiv hao Wanyasa si ni Watanzania, si ndio huwa mnatumia jina lao kuwanyang'anya Malawi ziwa lao, sasa iweje na wao muanze kuwabagua.

Inategemea ni wanyasa wa upande ipi!!!?
 
Siwaelewi hawa aidha kingereza kinawapiga chenga wameshindwa kusoma taarifa kama zilivyo.
Ndio nashangaa wanavokemea wachangiaji kwenye uzi huu wakati taarifa zinahusu tamko la Makonda.
 
Dar es Salaam’s Regional Commissioner Paul Makonda.

Dar es Salaam’s Regional Commissioner Paul Makonda. The RC has blamed foreigners for the spike in crime in Dar es Salaam. FILE PHOTO | NMG

In a week marked by xenophobic attacks in South Africa and strong backlash from even Tanzania’s parliament, Dar es Salaam’s Regional Commissioner Paul Makonda announced a plan to carry out door-to-door searches and registration of alleged immigrants in the country’s commercial capital. They are being blamed for the spike in crime.
The residential registry will identify where each and every city resident lives and work.
Building on an existing system that requires all local representative to keep tabs on and report all ''new'' people moving into their locations, Mr Makonda's directive will see local community groups tasked with detecting ''strangers'' or ''suspicious-looking people in their areas, and reporting them to the police or other law enforcement authorities for further action.
According to his office, there were 16,000 unidentified visitors in Dar es Salaam last year alone.
He further instructed ward, council and district leaders to work with immigration and national security officials to enforce his directive.
The issue of illegal immigrants has been a thorny one in Tanzania. Authorities say illegal aliens endanger the country’s social and economic stability and pose a security risk.

Mr Makonda accused illegal aliens of misusing state resources and taking over jobs and education opportunities meant for Tanzanians.
Naona unajikumbusha tulivyo kufukuza tz ? Jiji tulivu la amani
 
Wabongo wana roho mbaya sana. Wamejaa chuki na majungu chungu nzima. Punde si punde, utawaona hapa wakitiririka na roho zao nyeusi kama mkaa.
Nyinyi mbona amtukalibishagi kwenye makazi yenu kama sisi tunavyo Fanya .mkenya ukimtembelea Nairobi awezi kukuonyesha wapi anaishi hata siku moja atakupiga chenga hadi utachoka
 
Labda useme walijaribu kuwabaka kisa ni Wasagaji " lesbian"
angela-quintal-inset.jpeg
Yaani walimlimbikizia Mumo tuhuma za ujasusi, wakamzaba makofi na kikosi chao cha wasiojulikana kikajaribu kumbaka. Kisa eti ni mkenya, alafu mwanahabari mwenzake Angela hakuguswa, unafik wa ajabu huo. Yaani hawa waafrika wenzetu ambao tunawaita majirani wanamuogopa mzungu zaidi ya ukoma.
 
Sisi tunafuata kanuni kuwalaumu wageni siyo tatizo maana unawataka wakae ndani ya mstari ndiyo maana tukafuta viza ya kupewa baada ya kufika tz Kwa wanaijeria
Wengi wa wale ambao wanamaga povu na kutokwa na mishipa shingoni kwenye uzi huu hawajasoma taarifa kwanza. Mimi nawashangaa kwasababu huyo Makonda wao amenukuliwa akiwalaumu wageni kwa uhalifu. Alafu zaidi ya hapo amewalaumu wageni pia kwa kutumia vibaya raslimali za serikali ya Tz na kunyakua ajira za wazawa. Hiyo ndio inaitwa 'state sponsered xenophobia', mbaya zaidi ya ile ya S.Afrika. Simple and clear!
 
Nyinyi mbona amtukalibishagi kwenye makazi yenu kama sisi tunavyo Fanya .mkenya ukimtembelea Nairobi awezi kukuonyesha wapi anaishi hata siku moja atakupiga chenga hadi utachoka

Hehehe!! Waulize Watanzania wa mikoani watakuambia jinsi wao hulalamika kuhusu watu wa Dar, ukimpigia simu uko Dar atakupiga chenga haitotokea hata siku moja ukajua kwake, maana tatizo lenu wambea sana, wanaume mpo kama wanawake, ukimtembelea mtu haungalii mazuri na kutoka nayo, unasheheni mabaya tu na kwenda kuyatangaza.
 
Sasa unategemea unipeleke kwenye makazi ya kibera arafu njia nzima tunakanyaga maviii kisha nikae kimya??? How come!!
 
Back
Top Bottom