Tanzania yalaumu wageni kwa uhalifu, wapanga mpango wa kuwasaka mlango kwa mlango

Wameanza Na Nigerians huku ...watu wana all papers .... Wanawatreat as if Siyo waafrica wenzetu... Dah siyo powa
 
Wananyanyasa sana tuu ...Hujui lolote hujakaa/ishi na foreigners , hujafanya nao kazi ...

Nimeshuhudia Police wakiwatreat vibaya Foreigners As if hawqna makwao ... ni chi yangu ila Wanachofanya ni Upuuzi
Duh!
Hivi umewahi sikia watanzania wakiuwa au kunyanyasa mgeni zaidi ya serikali kufuata utaratibu Wa kisheria dhidi ya wahamiaji haramu?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Unaweza linganisha alichosema makonda na ule upuuzi Wa jaguar na ukaungwa mkono na wakenya? Bila serikali kuona tatizo ulitegemea nini kingetokea? Wacheni chuki semeni iliyo kweli!
 
Unavoongea personally as if unanifahamu we jamaa duh!
Police Tanzania wananyanyasa foreigner hiyo ni case tofauti kabisa na RAIA tunavoishi na foreigner's... Hao police wanachagua Wa kumnyanyasa nchi hii au huwajui? Huo upuuzi unaofanywa na RAIA huko south unataka ufananishe na hapa bongo? Unapenda ubishani bila shaka!
Wananyanyasa sana tuu ...Hujui lolote hujakaa/ishi na foreigners , hujafanya nao kazi ...

Nimeshuhudia Police wakiwatreat vibaya Foreigners As if hawqna makwao ... ni chi yangu ila Wanachofanya ni Upuuzi
 
Sasa unategemea unipeleke kwenye makazi ya kibera arafu njia nzima tunakanyaga maviii kisha nikae kimya??? How come!!

Unapelekwa kwenye hadhi yako ilipo, mlivyojazana kama omba omba huku....
 
Ila kuna wakenya wana roho nzuri sana, recently nimewashuhudia wakimjali mtanzania sidhani kama kuna mbongo angemjali mkenya that much, nitaanzishia thread yake, kumbe kuna manyang'au kama MK254 na mwenzie pingli nywe na janerose mzalendo na wema sana wapo wengi tu...
Wabarikiwe sana japo najuwa wewe ni nyang'au tu huwezi msaidia mtanzania utambeza tu ukimkuta anahitaji msaada!
Hiyo thread nikiiandika sitaacha kuwashukuru wakenya waliompa support kubwa sana Rose Muhando huku ndugu zake wabongo wakimbeza na kumhukumu, wakenya wanaompa support Mr. Nice, wakenya waliomsapoti Muna love, etc
Those guys are so kind and lovely wameonyesha utu na uungwana Wa kiwango cha juu sana kuliko wabongo walivowapotezea hao ndugu zao...
 
Wakenya tunapomsaidia mtu hatuangalii taifa lake, tunamuona yeye kama binadamu.
 
Back
Top Bottom