Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Duh!
Hivi umewahi sikia watanzania wakiuwa au kunyanyasa mgeni zaidi ya serikali kufuata utaratibu Wa kisheria dhidi ya wahamiaji haramu?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Unaweza linganisha alichosema makonda na ule upuuzi Wa jaguar na ukaungwa mkono na wakenya? Bila serikali kuona tatizo ulitegemea nini kingetokea? Wacheni chuki semeni iliyo kweli!
Wananyanyasa sana tuu ...Hujui lolote hujakaa/ishi na foreigners , hujafanya nao kazi ...
Nimeshuhudia Police wakiwatreat vibaya Foreigners As if hawqna makwao ... ni chi yangu ila Wanachofanya ni Upuuzi
Ila kuna wakenya wana roho nzuri sana, recently nimewashuhudia wakimjali mtanzania sidhani kama kuna mbongo angemjali mkenya that much, nitaanzishia thread yake, kumbe kuna manyang'au kama MK254 na mwenzie pingli nywe na janerose mzalendo na wema sana wapo wengi tu...Unapelekwa kwenye hadhi yako ilipo, mlivyojazana kama omba omba huku....
Ila kuna wakenya wana roho nzuri sana, recently nimewashuhudia wakimjali mtanzania sidhani kama kuna mbongo angemjali mkenya that much, nitaanzishia thread yake, kumbe kuna manyang'au kama MK254 na mwenzie pingli nywe na janerose mzalendo na wema sana wapo wengi tu...
Wabarikiwe sana japo najuwa wewe ni nyang'au tu huwezi msaidia mtanzania utambeza tu ukimkuta anahitaji msaada!
Hiyo thread nikiiandika sitaacha kuwashukuru wakenya waliompa support kubwa sana Rose Muhando huku ndugu zake wabongo wakimbeza na kumhukumu, wakenya wanaompa support Mr. Nice, wakenya waliomsapoti Muna love, etc
Those guys are so kind and lovely wameonyesha utu na uungwana Wa kiwango cha juu sana kuliko wabongo walivowapotezea hao ndugu zao...