Tanzania yalipiza kisasi tena, yafunga mpaka wake wa Holili baada ya Kenya kuzuia madereva wa Tanzania kuingia Kenya

Hahahaha, nchi yenye pesa haiwezi kupokea chakula cha msaada, ulishasikia nchi za Arabuni zikipokea chakula cha msaada?. Kenya inategemea Tanzania kwa mambo mengi sana
1)Chakula
2)Raw materials
3)As a gate way to access Southern African Markets.
4)Markets for its products
5)For investment

Taja ni kitu gani Tanzania inategemea kutoka Kenya?.
 
Kwa nyie wa tz wabishi kuna haja ya kujielimisha jinsi GOT inafanya kazi +sera yetu ya mambo ya nje!

any way kenya ataumia
atafte njia kuifikia sadec

wakati viwanda vyake vikiathirika na soko sie vyetu vitakua boom stage tz populatin n kubwa
mazao ya kilimo tutasafirisha nje wenyewe mwanza washaanza soon kia

apo bado kuna njia 87 za kuwaf ra ke
enzi za kuiona tz shamba la bibi zimefika mwisho
asaiv ni weka ugoko niweke jiwe mwendo n mguu wa shingo mguu wa roho ainaga kufail iyo!
 
You export flowers to EU,we export food in your country! Now,who will smile and who will weep when one blackmail the other?hahaha, huna akili,unalinganisha maua n chakula.
 
Danganya mafalamanga wenzio kwamba nyinyi ndio mlifunga wa kwanza,.
β€œNadhani wenzetu wana ajenda ya siri kutuhujumu kiuchumi, tumeshakubaliana dereva anapopimwa upande wa Tanzania aruhusiwe upande wa Kenya kwa cheti, sasa wamekiuka makubaliano, wakifika upande ule wanataka wawapime tena sijui wana maana ipi nashindwa kuwaelewa kabisa, tumeamua kuchukua hatua na haturudi nyuma,” alisema.
 
You export flowers to EU,we export food in your country! Now,who will smile and who will weep when one blackmail the other?hahaha, huna akili,unalinganisha maua n chakula.
fruits and vegetables are food products too ... or you don't know what i mean by "horticultural products"?
Kenya exports high value agricultural products all over the world ... from tea ,coffee, macadamia, avocados , daily products etc... i have never heard any Kenya saying we feed anyone ...

Its clear your understanding of simple commerce fundamentals is beyond you.. if we get anything from TZ, its in exchange for cash not donor aid...

Why are poor people so arrogant.?

The markets will adjust soon, our food dealers will shift..
 
What you export to Europe are not food per say in terms of your staple food, Kenya produces what it doesn't consume, and consumes what doesn't produce, that is very dangerous especially if what you produce can't generate enough money to buy what you consume.

In Kenya you consume maize, rice, legumes, potatoes, tomatoes, onions, fruits and meat, all these you import from others countries, your productions within Kenya can't match your demand.
 
We import food to fill a small percentage of the high demand... But get your facts right.. And by the way we produce more potatoes than TZ.. Tembea kinangop..
 
Hahaha, sababu ya kufungwa mlitaka muwapime madereva wetu,tukafunga mpaka fasta,hakuna Nugu kutoka Kenya kuingia TZ.l assure you,hamtampima dereva hata mmoja kutoka TZ,nyinyi hamna Hadhi ya kumpima MTZ,pumbav.u nyinyi.
Hadhi gani na tunawapima kila siku. We don't trust your certificates and anybody who doesn't want to be tested anakatazwa kuingia.
 
Tulifunga mwezi uliopita,hata kabla masaa ya masaa 24,balozi wako wa Tanzania kaitisha press conference ,Kenyatta kampigia simu Magufuli wanalia lia wafunguliwe mipaka.
Did you see Kenyatta calling Kinjeketile Ngwale? Those were just excuses to feel his egotism.
 
Wakenya wawe wavumilivu wakati huu covid19 ikisafirishwa kwenda kwao maana hakuna namna
 
Alafu siku tutataka hiyo border ifunguliwe wataifungua by forceπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
You have recorded more than 2,000 cases,TZ has only 4! Ndio maana mko desperated and the number keeps on tallying kila siku,mtakufa kwa wivu nugu nyinyi.
Mkipenda mtangazie dunia nzima kwamba wamebaki wagonjwa -20000 pekee Tanzania we won't care. What we are serious with is our safety, we must test Tanzanian drivers wapende wasipende and I repeat, we must test.
 
Did you see Kenyatta calling Kinjeketile Ngwale? Those were just excuses to feel his egotism.
I didn't see him but even his ambassador in Tanzania called press conference to blame Tanzania why they closed their border.As i know ambassador represent President.
 
Mkipenda mtangazie dunia nzima kwamba wamebaki wagonjwa -20000 pekee Tanzania we won't care. What we are serious with is our safety, we must test Tanzanian drivers wapende wasipende and I repeat, we must test.
Endeleni kutest hamjakatazwa cha msingi kila mtu ashinde mechi zake.
 
You export flowers to EU,we export food in your country! Now,who will smile and who will weep when one blackmail the other?hahaha, huna akili,unalinganisha maua n chakula.
Ungelewa kitu amesema hungekuja na huu ujinga wote hapa. What's wrong with your brain anyway?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…